Misemo ya Mitaani unayopata ukiwa HOT and SEXY!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Misemo ya Mitaani unayopata ukiwa HOT and SEXY!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Erotica, Jun 17, 2012.

 1. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Leo jumapili ilikuwa nzuri sana. Nikiwa boad nimejikongoja na kuamua ninyoshe miguu mitaa
  ya Sakina hapa A-Town. Yaliyo nikuta huko imenipa picha na negative yake kuwa ukitaka kujua
  jinsi gani upo hot and SEXY, ukitaka kujua kama umependeza au umechekesha siku hiyo pita mitaa
  ya uswahilini. Utapenda! Huitaji kioo. Kumbe ni kupita tu uswazi ukutane na vijana kibao wasiogopa
  kumsifia mwanamke mzuri kama mimi. Ndio narudi sasa nikaona why nisishee na wana MMU, hizi
  habari zilizonitasabamisha jioni nzima, zikanifanya niliporudi nivue nguo niende kwenye kioo
  nikajiangalie upya. Nafikiria kutoa shoo ya kuonesha mwili wangu; inaweza nilipa sana – kama
  kuna PR mzuri hapa mmu nafasi iko wazi. Hio imekuja leo hii mimi Erotica
  nilivopita nimepata hizi comments.

  Kwa vijana wa vijiweni-Duh… wakubwa wanafaidi. Huyu ukiwa nae pressure tu hizo za
  kujitakia-vijana wengine kijiweni. maradhi hayo-wazee kibarazani. Kwa mtindo huu Ukimwi
  hautaisha babake-dereva taxi. Dada kweli wewe ni mzurii… ngoja nikatafute pesa nitajirike
  nitakutafuta-mbeba tenga kichwani. Shemeji leo kaka kakuachia utembee kwa miguu?
  Mamaaa!-haka katoto naona ndio kame balehe. Weweeeee!-kijiwe kingine.
  Hao hata kwetu wapo hao! Dada mambo? Uongo kazi umependeza! Na miruzi.
  Ilifika time nikawa natabasamu hata sikumbuki mengine.  Mwaaaaah! I feel SEXY! :A S-heart-2:
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Ebu tuwekee na picha yako ili tuamini.
   
 3. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #3
  Jun 17, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,405
  Likes Received: 81,433
  Trophy Points: 280
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #4
  Jun 17, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  sifa za kijinga. hakuna cha like wala nini...... Chukua hii:A S thumbs_down:
   
 5. Junior. Cux

  Junior. Cux JF-Expert Member

  #5
  Jun 17, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 5,305
  Likes Received: 1,226
  Trophy Points: 280
  ata mi nlikuona.. ulitokea ka goriati
   
 6. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #6
  Jun 17, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0

  Kaa mkao wa kula usiondoke.
   
 7. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #7
  Jun 17, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  BAK sion kitu, kuna nini hapa?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #8
  Jun 17, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0

  teh teh teh. inahuu? as if like yako itafanya nipungue uzuri.

  hata usipo nisifia wewe wapo wa kunisifia. nikikosa najisifia kwa raha zangu.
   
 9. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #9
  Jun 17, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0

  teh teh teh.
   
 10. Ambitious

  Ambitious JF-Expert Member

  #10
  Jun 17, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Thank you for the newsflash..
   
 11. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #11
  Jun 17, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  unafanya na mimi niwe curious now lol
   
 12. M

  Mbilimbili Senior Member

  #12
  Jun 17, 2012
  Joined: Mar 17, 2012
  Messages: 172
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dah, na mimi uckute nimekuona eeh. Nipo Triple A hapa ulifika huku?
   
 13. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #13
  Jun 17, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0

  teh teh teh. wat do you think?
   
 14. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #14
  Jun 17, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0

  teh teh teh. hivo hivo unavofikiria The Boss.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #15
  Jun 17, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  bora nusu shari kuliko shari kamili lol
   
 16. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #16
  Jun 17, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0

  ungekuwa umeniona wala hata usingeuliza. hapa ungesema tu nilivokuwa

  nipo nimevaa. hakuna ambae aliniona atanisahau en time soon.
   
 17. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #17
  Jun 17, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0

  teh teh teh. mbona hapa fulu amani?
   
 18. M

  Mbilimbili Senior Member

  #18
  Jun 17, 2012
  Joined: Mar 17, 2012
  Messages: 172
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  totozi zilikuwa nyingi, ukitegemea leo weekend. Kila mtu anataka atoke kivingine zaidi, kweli wakubwa wanafaidi.
   
 19. MUSONI

  MUSONI JF-Expert Member

  #19
  Jun 17, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 554
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Sio lazima mitaani..popote tu...Juzi nilikuwa hapo Arusha Brazil Lounge niliona kituko cha mwaka na naomba vijana wa Arusha maanze kujifunza ustaarabu alipigwa kijana wa watu kidogo Disco watu wauane n SIJUI HALI YAKE IKOJE HADI LEO KISA cha kipuuzi tu .....mambo hayo ya wasichana.
  Tuwe wastaarabu hasa ARUSHA.
   
 20. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #20
  Jun 17, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  kama mwanamke no hot na mjuzi kitandani hiyo ni nusu shari tayari
  shari kamili utaipata ukimuweka ndani lol
   
Loading...