Nani zaidi ya mwingine? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani zaidi ya mwingine?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Billie, Jun 20, 2012.

 1. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #1
  Jun 20, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,341
  Likes Received: 2,351
  Trophy Points: 280
  Kumekuwa na mijadala mingi sana humu MMU kuhusu kuvunjika kwa ndoa,wapenzi kuachana,kusalitiwa na kusaliti,kupigwa kibuti na yote haya ni matokeo ya mahusiano ya watu wa aina mbili tofauti yaani MWANANAMKE na MWANAUME leo nataka nijue ratio ya nani anaongoza kwa kusababisha mahusiano yafike mwisho.Tukianza na mimi mi naona kwa hapa Tz wanaume ndio source kubwa kufanya mahusiano yafike mwisho.Asilimia za usababishi nazoweza kutoa ni 70%wanaume na 30% kwa wanawake.je wewe unaonaje?
   
 2. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #2
  Jun 20, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145

  Hapo kwenye nyekundu, hizi takwimu umezitoa wapi?
  Hapo kwenye nyeusi, hiyo ratio unayotaka kuijua ni ya nini? Kwa nini tusichambue sababu na namna ya kupunguza au kuondoa tatizo?
   
 3. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #3
  Jun 20, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  hahaha...unajua mie naweza ichukulia hivi; wanawake wengi sana wanapenda kumfanya mwanaume afanyie kazi K kwa kumzungusha zungusha na basi mambo kibao...so inafika wakati sasa mwanaume ata ile kum-like gal kunaanza potea na jamaa sasa anataka ampate amle na kusepa kama vile kumkomoa..so hapo mwanamke anasababisha.

  lengine ni kwamba wanawake ukiwaambia ukweli kuwa tuwe na mahusiano ya kupeana UTAMU wanasema eti umewadharau hivyo kumfanya mwanaume adanganye kuwa anakupenda kumbe anakutamani tuu
   
 4. Binti Magufuli

  Binti Magufuli JF-Expert Member

  #4
  Jun 20, 2012
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 7,460
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Kweli kabisa, mtu akiambiwa ukweli anaona kama ameshushwaaaa kumbe ni heri uambiwe ukweli lakin ujue where u a heading. Lakin pia mwaweza muanze kama kupeana utamu alafu on the way mkaweza afikiana na kila mmoja kumuona mwenzake kuwa anamfaa kwa maisha ya ndoa.
   
 5. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #5
  Jun 20, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 730
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Billie maisha yamebadilika sana mahusiano kuweza work ni pande zote mbili... Sijui labda nakosea. Mie huwa naona mwanamke ana hope kubwa ya kupata mwanaume anayefaa; kiasi kwamba hata kama hafai anaweza kabisa mbadilisha mwelekeo ukawa chanya (endapo huyo mwanaume akatambua kuwa huyo mwanamke ni genuine; thou it does not always work that way). Hata hivo kwa upande mwengine nakubaliana na wewe... sasa hivi mwanaume ana uwezo wa kutongoza wanawake kumi kwa siku na wote wakakubali or labda tu 1/2 wakamchenga. Hivi hata wewe hapo umemuona huyo m/ke kwa mara ya kwanza unamtongoza, weekend mnaonana na unalala nae... unategemea kudumu nae zaidi ya kumtema? hicho ndio hufanya idadi ya wanaume iwe kubwa...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #6
  Jun 20, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  yeah bora wewe umeliona hilo...ningependa kuuliza kwa jinsi navyojua mie pamoja na kuwa na mahusiano ya kupeana utamu inatokea kuwa mmoja ananogewa na kutaka sumthing serious...sasa hapo unashauri nini ili ku-avoid hilo kujitokeza?
   
 7. Binti Magufuli

  Binti Magufuli JF-Expert Member

  #7
  Jun 20, 2012
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 7,460
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Swala la msingi ni kustik kwenye makubaliano, kama mlikubaliana kuwa ishu ni kupeana raha ni vyema kila mmoja aheshimu, ikitokea akanogewa na kufikiri uwezekano wa future sasa hapo inabidi mkae kama kamati na muelezane. kama mwenzako nae ataafiki na kuona unafaa kwa matumizi ya nyumbani powa tu hamna kweri, ila kama mwenzako atakuwa hajakolea na hvo anaamua kustik kwenye utamu hapo hapana lawama na ni vyema makubaliano yaheshimiwe.

  Nishakuwa na mahusiano ambayo makubaliano yalikuwa kupeana utamu ila mwenzangu bdae aliona kama kuna uwezekano tukamilishe mambo ili kuwa na future but mimi sikupenda future iwepo kwa mahusiano yale kwani kuna baadhi ya mambo sikuyapenda kwa yule mwenzangu, so muda ulipofika basi ilibidi nimweleze tu kwamba inatosha na aangalie ustaarabu wake na mie niangalie wangu. Inawezekana kabisaaa kuishi kwa makubaliano kama kila mmoja wetu atayaheshimu
   
 8. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #8
  Jun 20, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280

  duh!! wee dada kweli una msimamo wa ukweli na niseme u are open minded. so wewe naona utakuwa ulishakubaliana na hali halisi kuwa men will always go taste nje lol. sasa je ulikuwa wapata utamu kwa huyo tuu ama kulikuwa na wengine?
   
 9. Binti Magufuli

  Binti Magufuli JF-Expert Member

  #9
  Jun 20, 2012
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 7,460
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Makubaliano yetu ilikuwa ni kuwa waaminifu hadi kila mmoja wetu atakapopata anayeona anamfaa kwa maisha ya mbeleni basi awe muwazi na tutawanyike.....!! but mie nlipoona siwez kuwa naye kimaisha hata pamoja na kupropose nkaona tunazibiana rizki so ikabidi yaishie hapo japo yeye alilaumu na kuona kama sikumthamini
   
 10. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #10
  Jun 20, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  haya dada naona wewe u very true to urself....na pia kuwa ni kweli kutakuwa na mmoja ambaye atakuwa dissapointed...ulimpa game ya ukweli nini mpaka mwana akaona a-propose hahaha
   
 11. Akagando

  Akagando JF-Expert Member

  #11
  Jun 20, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 536
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kuvunjika kwa uhusiano unategemeana ktk pande zote mbili,hebu fikilia kwanza sababu za kuvunjika kwa Mauhusiano mengi hapa Tz,ndio ujue takwimu sahihi!
   
Loading...