1.Kila siku kuingia nyumbani ni kuanzia saa saba usiku kama si asubuhi
2. Unakaa umenuna nuna bila sababu za msingi
3. Unalalamika mwenzangu haniridhishi unajuaje kama wewe unamridhisha ...
Kumekuwa na mijadala mingi ya kuwa ni sehemu gani hasa ambayo unaweza kukutana na mtu ambaye huenda akaja kuwa mke/mume. Katika mjadala huo kumekuwa na misemo mingi baadhi yake ikiwa...
Hi,kwa kutambua umuhumu wa mwanamke kama mfariji,mlezi,mshauri na mama,natafuta msichana mwenye umri kati ya miaka 20-26, Awe mkristo,mweye umbile la kati ili awe mke wangu,mimi ni mvulana mwenye...
nimetimiza miaka 30 sasa, huko nyuma nilitamani sana kuolewa nanilikuwa namlilia mungu sana anijalie nipate mume bora hiyo ndio ilikua
dua yangu kubwa kwa mungu, imekua bahati mbaya sijaolewa...
Mamboz!kuna ctuation hapa:watu wawil wanaopendana bt the boy z 24 n the gal z 24 pia...their both graduates n wanafanya kazi:kinachomcmbua mwanamke ni je kutakua na ndoa kweli hapo? n kama ikiwepo...
Una mke wako wa ndoa ya Serikali/Kanisani/Kimila na huenda Mungu amewajalia mukapata mtoto/watoto. Lakini katika ndoa yenu mkeo anataka arudiane na mpenzi wake wa zamani. Unamwambia nikupe Talaka...
Nna Girlfriend wangu,yuko busy sana..naona kama naanza shindwa kuwa nae.msaada wandugu.Yeye ratiba zake zinabadilika at anytime.Mnaweza mkawa nae mnapata vinywaji.hapo hapo anapigiwa simu anaitwa...
Kwanza samahani kwa kutumia jina la kabila kwenye kichwa cha habari, nimeweka ili kupata maoni barabara sababu mitazamo ya kutorosha binti ili kumuoa inaweza kuwa inatofautiana kati ya kabila na...
Habari zenu wana jf,
Nimeoa na nina miaka 4 ya ndoa yangu, kadri siku zinavyokwenda napunguziwa dozi ya mapenzi, zilizopita ilikuwa 5 mpaka 6 per month sasa hivi ni 1per month na anakuwa mkali...
wana jf leo yamenikuta mwenzenu.
Jamani leo nimejikuta naharibiwa siku yangu na katibu tawala wilaya ya ...................... baada ya kurusha ndoana yake kwangu leo ofisi kwake. Loh...
Ni miezi mitatu sasa naenjoy maraha tele ya binti wa kitanzania aliye masomoni Netherland.
usiku tunajinafas vya kutosha kwa kuoneshana kila kitu.
Kwangu hoja ya distance relationship doesnt work...
Mwanamke mmoja raia wa Marekani amewashangaza wengi baada ya kuandaa harusi na kujioa mwenyewe kwa kula kiapo mbele ya kadamnasi.Mwanamke huyo kwa jina Nadine Schweigert mwenye umri wa miaka 36...
1. He makes me notice him because he looks good.
2. He makes my head turn because he smells good.
3. And now he has my attention I can watch his nails, hair and beard and he makes me smile...
wakuu mi nataka kujua kabla sijachukua maamuzi magumu pia sitaki nionekana kitofauti na jamii inayonizunguka, nataka jua kama huwa na lazima uwe na best man/woman kwenye harusi hasa ukumbini....
Leo ningependa kuwaambia wanawake ambao wanafanya kazi, ambao wameajiriwa katika kazi zinazowaondoa nyumbani asubuhi hadi usiku, huku waume zao nao wakiwa makazini kwa muda kama huo au zaidi...
Endapo utakutwa na hali hizi:
Umeingia katika ofisi au nyumba ya mtu na muda tu mwenyeji wako anapuliza air freshener?
Unaongea na mtu nayeye anaziba mdomo na pua yake kwa mkono au na leso...
( Habari zenu wanajamii,
Natumaini mu wazima na mko kwenye majukumu yenu ya kila siku katika kujenga taifa hili, kisha linakuja kubomolewa na wengine.
Any way that is not what I want to say though...
Yamenikuta wana MMU jana nilikua na ahadi na mpenzi wangu baada ya kunimiss mwaka mmoja na nusu,tokea mwaka 2010 Disemba,,jana tulitaka kupasua raha..daah..!
Nimefika Dar ninamwezi sasa,mimi...
Jamani PMU ni pata mimba uolewe.
Nimedanganyika mwenzenu mie, nina mimba ya miezi miwili, namwambia mheshimiwa juu ya huu mzigo, na kuanza michakato ya ndoa.
Cha kusikitisha bwana kaka ananijibu...
Ndugu zangu hapa jamvini naamini mko wazima kabisa! Kuna tabia ya kina dada ambayo inanichosha mno ya INVOICE. Nadhani kwa vijana wengi wa mjini hiyo term "INVOICE" imekuwa maarufu sana. Ukimtokea...