Ananionesha kila kitu SKYPE!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ananionesha kila kitu SKYPE!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by leroy, Jun 1, 2012.

 1. leroy

  leroy JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2012
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 60
  Ni miezi mitatu sasa naenjoy maraha tele ya binti wa kitanzania aliye masomoni Netherland.
  usiku tunajinafas vya kutosha kwa kuoneshana kila kitu.
  Kwangu hoja ya distance relationship doesnt work ni kama hoja isiyo na mashiko.
  Naenjoooooooooy!
   
 2. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  hahah haya bwana wewe jienjoy kijana wala usipate tabu.
  sasa hapo mwisho wajidanganya...wewe wala kwa macho wapo wanao tomasa na kuonja utamu halisia na sio via skype!
   
 3. Uda'a

  Uda'a JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2012
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 221
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Angalia usiishie kuona tu, kula wale wengine... Shaurilo!!!

  Sent from my BlackBerry Porsche using JamiiForums
   
 4. leroy

  leroy JF-Expert Member

  #4
  Jun 1, 2012
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 60
  Potelea Mbali, Naridhika
   
 5. asrams

  asrams JF-Expert Member

  #5
  Jun 1, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 4,025
  Likes Received: 1,394
  Trophy Points: 280
  Hahahaha!!! Ama kweli penzi ni kitovu cha uzembe, kaka unaambiwa unakula kwa macho unasema " potelea mbali"???? Haha


  Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
   
 6. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #6
  Jun 1, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Chembelecho cha watani wangu "Waona ganda tu ndizi ya wenye kupanda"
   
 7. leroy

  leroy JF-Expert Member

  #7
  Jun 1, 2012
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 60
  Tena kaniambia atakuja mwezi August, sipati picha,...
   
 8. b

  bia JF-Expert Member

  #8
  Jun 1, 2012
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  enjoy bna kwa mda ulopo nae jiachie nae akija ondoka uwe umefurah angalau,mwambie akuonyeshe hadi 0717
   
 9. Imany John

  Imany John Verified User

  #9
  Jun 1, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,777
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Wasukuma wa busanda hawaijui hata iyo skype,jamani tz haijaendelea kiivyo,kama unamudu ujue mpo wachache in tz.
   
 10. kizoleo

  kizoleo Member

  #10
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mambo ya kuji-express mwenyewe hayo du! haya bwana.
   
 11. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #11
  Jun 1, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Ukimaliza kula kwa macho unatumia sabuni gani kupiga bao
   
 12. TWIZAMALLYA

  TWIZAMALLYA JF-Expert Member

  #12
  Jun 1, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 398
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Angalia sasa usije ukawa unapiga punyeto baada ya hapo
   
 13. Gwandalized

  Gwandalized JF-Expert Member

  #13
  Jun 1, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 222
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  wee chukua dhambi za kibwege tu,moto unakusubiria
   
 14. by default

  by default JF-Expert Member

  #14
  Jun 1, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  unauliza makofi polisi hapo ni fulu uzinzi ,ivi wewe uone viungo vya uzaz vya jinsia tofauti tena mnakuwa mnaongea usipopga basi we si riziki alaa
   
 15. b

  bigbumper Member

  #15
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jipange mkuu bora uangalia porno za cherokee zinaraha kidogo hapo si anakulocha tu
   
 16. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #16
  Jun 1, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  endelea kula ugali kwa picha ya samaki...
   
 17. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #17
  Jun 1, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Hivyo eeh?

  Basi na mimi sent from my nokia tochi yusing meseji of kawaida.


   
 18. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #18
  Jun 1, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  unakula ugali kwa picha ya samaki? loh......
   
 19. mzurimie

  mzurimie JF-Expert Member

  #19
  Jun 1, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 6,151
  Likes Received: 1,604
  Trophy Points: 280
  Kama unaridhika pouwa vumilia inaonekana mnaridhishana na wewe unajisaidia kuja pia.
  Ila duh mwanamke huyo ana moyo, labda pale mjini Amsterdam red district ndio home kwake.
  Pia unaweza ukaja ukapenda mambo mkikutana, kama unamzungusha yeye anategemea mtaenda mbali na wewe unaandika kujiringia eti long dist huwezi basi mwambie unavyotaka.
   
 20. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #20
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Mkuu naona kama unajidanganya tu, wakati wewe unaonyeshwa tu wenzako huko aliko wanakula live. Hata wa kuonyeshwa pia unaweza ukawa si peke yako, fahamu kwamba na wengine waonyeshwa pia.
   
Loading...