He is 24 n she z 24...kutakua na ndoa kweli hapo!? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

He is 24 n she z 24...kutakua na ndoa kweli hapo!?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Qt B, May 29, 2012.

 1. Q

  Qt B Member

  #1
  May 29, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Mamboz!kuna ctuation hapa:watu wawil wanaopendana bt the boy z 24 n the gal z 24 pia...their both graduates n wanafanya kazi:kinachomcmbua mwanamke ni je kutakua na ndoa kweli hapo? n kama ikiwepo imagine the gal atasubiri miaka mingap mpk aje kuolewa na kama 2navojua wanaume wanavochelewa kuoa ckuhizi...ni ctuation imempata mtu hiyo n inamtatiza haswaa...
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  May 29, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,111
  Likes Received: 3,031
  Trophy Points: 280
  kwani tatizo liko wapi hapo.......?
   
 3. Q

  Qt B Member

  #3
  May 29, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  ..hofu ya kuchelewa kuolewa n maybe anaeza akasubir then mwanaume akagair while ye atakua keshaenda age sana,itamcost...
   
 4. E

  ESAM JF-Expert Member

  #4
  May 29, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 962
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Mbona hamna tatizo hapo? Mbona mimi nilimwoa mke wangu akiwa 34, na hapo alikuwa amefanya kazi kwa miaka 9. Ndoa sio umri bali ni upendo wa kweli na maelewano basi
   
 5. E

  ESAM JF-Expert Member

  #5
  May 29, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 962
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Tatizo lenu vijana wasiku hizi mnakimbiliana kufanya ngono watu ambao hata hamjui wana nia gani na nyie, kama mngekuwa kama wakati wetu ambapo hakuna kugusana mpaka baada ya ndoa kusingekuwa na tatizo, maana mtu hata asipokuoa si bado uko pure una wasiwasi gani, na isitoshe Mungu anakuwa upande wako maana hungemkosea na wakati unapofika anakupatia wa kwako. SASA HUYO DADA KAMA ANAWEZA KUJITUNZA ASIWE NA WASIWASI NA HUYO AGEMATE WAKE, AHAKIKISHE ANAMPA TUNDA SIKU YA NDOA NA SIO VINGINEVYO
   
 6. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #6
  May 29, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  uyo dada ana mawazo ya kitoto.ajakua.
  so anataka kufanya uamuzi wa kuolewa na mtoto kisa anahofu ya kuolewa?DAH ET MTU MWENYEWE ANA MIAKA 24..nan alimwambia kuwai kuolewa ndo dili?..nan alimdanganya HAKUNA MAISHA BILA NDOA?


  mwambie atulie....kuolewa the same age ni hatar mbelen...utazeeka wakat mwenzako akiwa yank na kuanza kurun na vschana uko nje kwa kukuona wewe ajuza....apo utaumia moyona utajiunga kanisa la kakobe bilakupenda

  wanaume weng wanachelewa kukua/kumature so kuwa na mtu wa miaka 24 ni sawa na kuwa namtu wa miaka 22 kifikra so apo tegemea mizozo isokwsha...cz AJAKUA BADO MWANAUME WA KUJUA YOUR POSITION NA POSITION YAKE....BT ukiolewa na aliyekuzid umri eg miaka 4 ,5,6 hali inakuwa shwar cz at least anajua position yake na ivyo migongano ya kila mtu kutaka kuonyesha mkubwa zaid ya mwenzake inakuwa imepungua
   
 7. mbalu

  mbalu JF-Expert Member

  #7
  May 29, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mi nina 37yrs na wangu 36 na tuna mpango wa kuwowana maana tunapendana.
   
 8. Blaine

  Blaine JF-Expert Member

  #8
  May 29, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 2,285
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  sioni tatizo hapo, kama wanapendana waweza kufunga ndoa.

  baadhi ya wanaume huchelewa kuoa ili wajipange kimaisha bcoz wadada wengi wasomi siku hizi hawapendi mwanaume lofa
   
 9. franktemu123

  franktemu123 JF-Expert Member

  #9
  May 29, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 775
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 80
  aache woga huyo unless ana tatizo lingine. age aint nothing, but a number.
   
 10. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #10
  May 29, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,866
  Likes Received: 6,217
  Trophy Points: 280
  huyo mwanamke yupo desparate sana na ndoa eeeeeh?
   
 11. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #11
  May 29, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Inayoona miaka au watu...as long as is above 18, ruksa!
   
 12. N

  Neylu JF-Expert Member

  #12
  May 29, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 2,650
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Huyo dada wala asiwe na hofu..Haya maisha ya mahusiano hayatabiriki hata kidogo..Anaweza akawa na 24 akampata mkaka wa 32 na vile vile asiolewe naye.. Cha muhimu hapo ni mapenzi ya dhati na suala la kulingana umri wala sio ishu.! Kama ana sababu nyingine aseme..
   
 13. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #13
  May 29, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,003
  Likes Received: 3,180
  Trophy Points: 280
  ka ni ivo mwanaume aende akafoji cheti cha kuzaliwa aonekane ana miaka 28 au 30.
   
 14. R

  RushwaNiAduiwaHaki Member

  #14
  May 29, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  inawezekana kabisa.
   
 15. Mapi

  Mapi JF-Expert Member

  #15
  May 29, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 6,871
  Likes Received: 167
  Trophy Points: 160
  kwani ndoa ni umri? Kama yeye anataka umri, aje mtaan kwe2 wapo wa 40+
   
 16. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #16
  May 29, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  Nothing is an issue unless you make it an issue then it becomes an issue no matter how small of an issue it is...

  Kwahio kama wanaona mambo madogo madogo hayo kwao ni tatizo then ni tatizo.., kipenda roho na watu tupo tofauti, ila uzuri kuna choice hivyo ni kuchagua kila unachopenda na kuona kipo sawa
   
 17. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #17
  May 29, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  Si amuulize huyo boyfie, mpango wake wa baadaye?
   
 18. Ennie

  Ennie JF-Expert Member

  #18
  May 29, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 7,145
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Sasa si amuulize huyo mkaka yeye ana mpango wa kuoa lini then atajua kama anaweza kusubiri au la.
   
 19. HP1

  HP1 JF-Expert Member

  #19
  May 29, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 3,353
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Ndoa ni zaidi ya umri
   
 20. Q

  Qt B Member

  #20
  May 29, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Asanten wapendwa:msgz zenu zote zmemfikia mlengwa,sasa final decision imebaki kwake mwenyewee na mupenz wake...
   
Loading...