Utajisikiaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utajisikiaje?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Safari_ni_Safari, Jun 4, 2012.

 1. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #1
  Jun 4, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 21,271
  Likes Received: 3,945
  Trophy Points: 280
  Endapo utakutwa na hali hizi:
  1. Umeingia katika ofisi au nyumba ya mtu na muda tu mwenyeji wako anapuliza air freshener?
  2. Unaongea na mtu nayeye anaziba mdomo na pua yake kwa mkono au na leso?
  3. Unafika katika nyumba ya mtu na kukuta rundo la viatu kizingitini?
   
 2. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #2
  Jun 4, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,846
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  1. Unanuka jasho invest in deodorant
  2. Unanuka mdomo, piga mswaki 3x a day au onana na dentist kuna ugonjwa kwa kunuka kinywa
  3. Kuna mwaliko, mean more guests in the house na vua viatu kabla hujaingia.
   
 3. promiseme

  promiseme JF-Expert Member

  #3
  Jun 4, 2012
  Joined: Mar 15, 2010
  Messages: 2,715
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Aga halafu jipeleleze..
   
 4. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #4
  Jun 4, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 21,271
  Likes Received: 3,945
  Trophy Points: 280
  huo ndio ukweli.............ila nilitaka kujua utajisikiaje?
   
 5. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #5
  Jun 4, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,727
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Nimekosa majibu!
   
 6. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #6
  Jun 4, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 46,385
  Likes Received: 1,128
  Trophy Points: 280
  ishawahi kukukuta nini?
   
 7. k

  kisukari JF-Expert Member

  #7
  Jun 4, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,560
  Likes Received: 798
  Trophy Points: 280
  sitorudi tena kwenye hiyo nyumba na nitahakikisha nafanya maamuzi kuhusu mwili wangu
   
 8. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #8
  Jun 4, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 21,271
  Likes Received: 3,945
  Trophy Points: 280
  Hapana haijawahi kunikuta
   
 9. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #9
  Jun 4, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 5,906
  Likes Received: 1,681
  Trophy Points: 280
  Nitajua jamaa ananiheshimu sana kiasi kwamba hataki niendelee kupata harufu mbaya ya ndani kwake
  Nitajua maongezi yangu yamemkera sana hivyo anataka kujiua, nitamzuia haraka maana kitendo hicho chaweza kupelekea kifo si unajua ukiziba pua na mdomo huwezi kupumua?

  Nitajua ana wageni wengi ndani
   
 10. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #10
  Jun 4, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,382
  Likes Received: 304
  Trophy Points: 180
  loh huyo mwenyeji ustaarabu ni zero
  naaga na kuondoka zangu
   
 11. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #11
  Jun 4, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,846
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Kujibu 1 & 2, jamaa atakuwa amenistahi kunipa uwazi. Lakini habari ndo hiyo kunanuka domo na kwapa....Sitokasirika, bali nitajifunza, waambiwa kama hujui kusoma hata picha huoni?
   
Loading...