Help me save her from the woman she has become | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Help me save her from the woman she has become

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by PetCash, Jun 1, 2012.

 1. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,679
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  ( Habari zenu wanajamii,
  Natumaini mu wazima na mko kwenye majukumu yenu ya kila siku katika kujenga taifa hili, kisha linakuja kubomolewa na wengine.
  Any way that is not what I want to say though kila nikiangalia salary slip yangu huwa mawazo ya kizalendo hunijia na hasira za hapa na pale... )<<----hii issue ntaipeleka jukwaa la politiki

  Ok tuanze, My love ni msichana mtaratibu, mpole sana, mstaarabu, mwenye heshima na very hard working...Ana interest sana na research na projects zake za wild life na biolojia ya viumbe ambapo hutokea kupishana na mimi kwa sababu mimi na baadhi ya viumbe ni mbalimbali lakini si neno maisha yanaendelea...

  Huwa yuko arbsobed na shughuli zake kiasi kwamba ana mahusiano madogo sana na watu na pia ana marafiki wachache..mwanzoni nilidhani ni kwa sababu yuko busy na kazi zake ila nikajagundua vitu vingine vinavyochangia.

  Ana mahusiano machache si kwa sababu ni mgomvi hapana ila huchukulia vitu watu wanavyomwambia seriously wakati vingine sio, na vingine ni mitazamo tu ya watu. Labda anaweza kukosea kidogo mtu ukamwambia, 'Wewe ni mzembe sana'. Basi neno hilo litamwingia akashinda siku nzima hana raha! Kesho yake anafanya kazi too much ili kujaribu kufidia kasoro yake hiyo ya uzembe ambayo ni mtazamo tu wa mtu..

  Yani most of the times akinijia huwa mnyonge kutokana na alichoambiwa huko atokako..
  Nimejaribu kumuelewesha asichukulie kila kitu seriously kwa kumuambia jinsi alivyo na tabia positive kwa asilimia kubwa kwenye kila category.

  Matokeo yake I'm her best best friend...yani she will tell me everything hata vingine ambavyo mimi nadhani angehitaji msaada kutoka kwa rafiki zake wa kike but she doesn't trust watu wengi..labda unaweza kuta confidant wake wa kike yuko mbali na anahitaji advice ya karibu..

  Nimejaribu kumuencourage kuanzisha urafiki na baadhi ya wasichana ninaowaona wataendana lakini ni mgumu sana kuwa close na mtu..

  Kwa kweli inapendeza sana ukiwa the best of friends kwa mwenzi wako na nnafurahi sana, lakini she really could use a good friend from among girls...

  Naomba mnishauri nitumie mbinu gani kumtafutia rafiki kwa sababu kila nnayemtafuta wanakuwa hawako close enough ili nimsaidie awe na a lot of girlfriends labda ndo atakuwa na furaha ili nipungukiwe na kumbembeleza...
  (Sisemi ni mzigo ila inapendeza saa nyingine mtu akija na tabasamu-hata kama unastress zinaweza kusubside )
   
 2. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Aisee mbona hata mimi niko hivyo, l don't have confidant au best girlfriend. Mara karibu na zote confident wangu ni mpenzi, ndugu wa karibu, Jesus na kidogo JF!

  Ndivyo maumbile, huwezi badilisha!
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  mmmmmmmh.........
  kwanza binti anajitambua?
  anajua weakness zake?
  mwambie kuwa aishi vile atakavyo na si vile watu wasemavyo...
  watu kitu gani? maisha yenyewe mafupi asijistress kwa maneno ya mtu...

  umejaribu kutoka nae out mara kwa mara? mtoke out mkiwa pamoja kutana na hao "marafiki" unaomtafutia kama mara mbili tatu mpaka awazoee, then wanaweza kuwasiliana wenyewe............. ingawa hili sio guarantee sana....
  ingawa kwangu mie nilivyosoma tatizo la mpenzi wako sio kuwa na marafiki wachache, tatizo ni kuchukua maneno ya mtu/watu kama yalivyo na kuruhusu yamuumize...... akiweza kulivuka hilo, akiweza kujifunza kupotezea, akiweza kuchukulia vitu easy n simple ataenjoy life yake ile mbaya...

  anyway....

  mbona hata sie wengine tuna marafiki wachache? ofcourse unaweza kujua watu wengi(ile za kupeana hi mkionana barabarani) ila si kila mtu anaweza kuwa rafiki yako...... si kila mtu unaweza mwambia siri zako kwa sababu tu ni rafiki no!!! kuna mama mmoja aliniambia(Mungu ampumzishe kwa amani) kuwa "rafiki wa kweli duniani ni mama yako tu....."
   
 4. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #4
  Jun 1, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  There's nothing like best friend! I dont trust them kabisa, tena when it comes to my man, ndio kabisa! Nipo hivi nilivyo, na nitabaki hivi nilivyo! Period! ( ni mtazamo wangu tu).
   
 5. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #5
  Jun 1, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hivyo kuna kitu gani chake cha siri ambacho wewe hutakiwi kukijuwa? Mtafutie rafiki awe anamuamini kama anavyokuamini wewe uone mambo yatakavyobadilika.
  Kwa mfano huyo rafiki yake huweza akapata matatizo na mwanamme na akajumuishawanaume wote. Sasa huyo wako akiamini kuwa wanaume si waaminifu, nini itakuwa faida kwako?
  Shukuru kuwa umempata mtu anaekuamini wewe peke yako!
   
 6. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #6
  Jun 2, 2012
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Be her best friend, don't push her to other people..Inaleta raha mkishibana kirafiki na mapenzi pia...kitu gani unachokiogopa wewe kusikia toka kwake? huna kifua ina maana??
   
 7. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #7
  Jun 2, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  dah we mtafutie shangingi awe best yake
  'akamkuwadie wajanja wa town'

  if it aint broke,don't fix it
   
 8. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #8
  Jun 2, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,945
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  nakushauri achana na swala la kupush awe na marafiki wa kike first and fore most hakunaga urafiki kati ya wanawake na pia hakunaga urafiki akisha ingia mtu wa 3 unless kama mlianza wote but wa kuingilia kati, ni mbaya sana atawachanganya sana.

  kwanza kabisa tabia za wanabiolojia entomology, na species diversity zinaoccupy almost 90% ya mawazo so huwez kuwa mtu wa kuongea sana. Mara nying mathalani mm napenda kuwa close na wa moyo wangu incase of bad or good we share together. kama nikiboreka zaid na sitak kumuumiza natafuta shughuli za kijamii nafanya like nachat tu humu jf atleast siku ipite. vInginevyo nitashiriki kazi za kijamii na kwenda outing.

  kamwe usimkaribishe shetani manake binadam wa 3 akiingia hapo tayari huyo ni shetani
   
 9. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #9
  Jun 2, 2012
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,274
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  mbona tuko wengi wa dizaini hiyo.mimi best friend wangu ni mpenzi wangpt akisaidiwa na dada yangu.mambo ya ushosti siyawezi mie
   
 10. Ronn M

  Ronn M JF-Expert Member

  #10
  Jun 2, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 1,283
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Well, I don see the problem at all! If you are not tired of being her confidant then soldier on! And if you are tired, the love you had is starting to get fainting!
   
 11. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #11
  Jun 2, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  huyu dada yuko right maana marafiki wengine ndio kabisa akili zao hazifanyi kazi sawasawa na ndio chanzo cha kumpoteza. naona ni mbora akaishi hivyo alivyo
   
 12. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #12
  Jun 2, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Mjengee confidence in herself, lakini ni ubinafsi kumsukuma kwa marafiki wengine. Kuwa rafiki yake na umjengee uwezo wa kukabiliana na mikiki ya maisha. Muambie 'she defines her own standards'
   
 13. Kizamani

  Kizamani JF-Expert Member

  #13
  Jun 2, 2012
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 419
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kama kweli unahitaji awe na rafiki wa kike mweke awe karibu na dada yako au ndugu yako wa kike wa karibu. hao marafiki wa kike unaomtafutie unajikaanga mwenyewe kwa mafuta yako. Wewe uwe rafiki yake wa kwanza na wa karibu, best. Wadada siku hizi unaweza kukuta hata wanamgrind.
   
 14. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #14
  Jun 2, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,696
  Likes Received: 8,232
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #15
  Jun 2, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  PetCash omba wafunge tu sred. mapwenti ya msingi yote

  yamemwagwa. me nime like post zote ni za ukweee.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #16
  Jun 2, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,696
  Likes Received: 8,232
  Trophy Points: 280
  Erotica, niaje?? nimekumiss...mwenzio naumwa...nid ur company!!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. jokate

  jokate Member

  #17
  Jun 2, 2012
  Joined: May 9, 2012
  Messages: 56
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Be her friend.Don't find somegals to be her fnd,especial kwenye advice issues,like wat she did.
   
 18. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #18
  Jun 2, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  Dah! kweli tuko tofauti, mimi huyu wangu nataka nimwanzishie sredi kwasababu yeye kila kitu anatafta ushauri/anaanzia kwa mashosti, akitaka ushauri kwangu ujue ameskia nimepokea ka posho. hehehhe Kaka niPM tubadilishane
   
 19. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #19
  Jun 2, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0

  nikuletee dawa gani Mentor? me ni good nurse, comin.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #20
  Jun 2, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0

  kwa hiyo umeona usinianzishie sred unianzishie post? ndio mana leo nalala kwa Paxman.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...