Is it mandatory kuwa na best man/woman kwenye harusi?

The Infamous

JF-Expert Member
May 11, 2009
731
121
wakuu mi nataka kujua kabla sijachukua maamuzi magumu pia sitaki nionekana kitofauti na jamii inayonizunguka, nataka jua kama huwa na lazima uwe na best man/woman kwenye harusi hasa ukumbini....
 
best man na mwenzie ndo wasimamizi wa ndoa...aka walezi wenu wa ndoa........

Kuhusu uwepo wao ukumbini itanoga kama wakiwepo, maana si tu kwamba watawasaidia hapa na pale bali mtapata kampani pale jukwaani, vilevile mkeo akitaka kwenda msalani nani ataenda nae? Zikitokea emergence nani atacover?

Wana umuhimu wao hao.....
 
Back
Top Bottom