Wito kwa kina dada wenzangu:- Nilidanganyika, nikatumia kanuni ya P. M. U, sasa NAJUTA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wito kwa kina dada wenzangu:- Nilidanganyika, nikatumia kanuni ya P. M. U, sasa NAJUTA

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bujibuji, Apr 5, 2012.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Apr 5, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,355
  Likes Received: 22,219
  Trophy Points: 280
  Jamani PMU ni pata mimba uolewe.
  Nimedanganyika mwenzenu mie, nina mimba ya miezi miwili, namwambia mheshimiwa juu ya huu mzigo, na kuanza michakato ya ndoa.
  Cha kusikitisha bwana kaka ananijibu, eti mie sina sifa za kuwa mkewe, ila nina sifa za kuwa girlfriend tu.
  Hivi sasa kichwa chaniuma, najiuliza NIZAE AU NITOE, sipati jibu.
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Apr 5, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Kwani mlikuwa mmepanga na kukubaliana mambo ya ndoa au hayo mawazo ya ndoa yamekuja baada ya jamaa kuchana nyavu?
   
 3. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #3
  Apr 5, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  zaa na mtoto ulee halafu anglia mbele ya maisha yko.
   
 4. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #4
  Apr 5, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  zaa ili usitende uovu wa kutoa mimba, kwani maisha yako wewe yanamtegemea mwanaume?
   
 5. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #5
  Apr 5, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Umeliona kosa lako na kulijutia lakini? lea mimba yako na mtoto atakuwa wako peke yako utoe ya nini una uhakika kwamba wewe una yai la kumpata mtoto mwingine?,mwisho nikukumbuhe kitu kimoja kuolewa si lazima,mume hatafutwi kwa PMU
   
 6. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #6
  Apr 5, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  Kubeba mimba ili uolewe...pole sana...usitoe huyo mtoto....mtunze uzae ulee....mama yako angekutoa ungekuwepo??

  Usiongeze kosa juu ya kosa.... waweza shindwa kuzaa huko mbeleni!!!
   
 7. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #7
  Apr 5, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Kwa nini ulazimishe ndoa?

  Tena kwa binadamu
  Kama unataka ndoa muulize mungu
  Kama alivompatia adamu mke na wewe atakupatia wa ubavu wako
  Pole sana
  Kuzaa sio kwamba ndo utaolewa tena
  Subiri mume wako toka kwa bwana
   
 8. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #8
  Apr 5, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Pata Mimba Ulee
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Apr 5, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Wewe umeokoka lini?
   
 10. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #10
  Apr 5, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  bora umemsaidia kumuelezea kirefu chake..
   
 11. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #11
  Apr 5, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  tokea kwaresma ilipoanza
   
 12. Shabhan

  Shabhan JF-Expert Member

  #12
  Apr 5, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 236
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hio mnapenda wanawake kuitumia. Hayo mambo ya kizamani.
  Hata mimi kama sijapanga kukuoa ukinilitea hizo nakubali mtoto kumlea lkn kwako mchozo unaishia hapo.
   
 13. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #13
  Apr 5, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo kwaresma ikiisha na wewe uokovu wako unamalizika?
   
 14. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #14
  Apr 5, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,355
  Likes Received: 22,219
  Trophy Points: 280
  Tumekuwa wapenzi kwa mwaka na miezi sasa, nikadhani nikinasa basi itakuwa rahisi kwa mwenzangu kutangaza ndoa
   
 15. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #15
  Apr 5, 2012
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  mh! smile...........!!
  i wish you...............
   
 16. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #16
  Apr 5, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,355
  Likes Received: 22,219
  Trophy Points: 280
  Shosti, yamekuwa hayooo!!!!
   
 17. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #17
  Apr 5, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  kazi kweli kweli, wa kukuoa wala haitaji mimba....wakati ukifika ataamua tu lile limpendezalo...lea mtoto wako Gilesi,unaweza na Mungu akusaidie!
   
 18. Eversmilin Gal

  Eversmilin Gal JF-Expert Member

  #18
  Apr 5, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 783
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  pole mwaya ila uctoe mimba ni dhambi na huwezi jua Mungu ndo kakupangia huyohuyo
   
 19. k

  kisukari JF-Expert Member

  #19
  Apr 5, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,761
  Likes Received: 1,051
  Trophy Points: 280
  pole,ila kubeba mimba sio ticket ya kuolewa,pengine wewe unawaza ndoa,yeye anawaza mchezo wa baba na mama na sio kukuoa.inauma ila songa mbele na maisha yako.wanaume wengine walivyokuwa wabaya,baada ya miaka kadhaa atamuulizia mtoto wake.ila kwa sasa hataki hata kusikia uja uzito.usitoe mwaya,mtoto ana raha yake
   
 20. Jephta2003

  Jephta2003 JF-Expert Member

  #20
  Apr 5, 2012
  Joined: Feb 27, 2008
  Messages: 3,596
  Likes Received: 1,899
  Trophy Points: 280
  Toa!,kwani malengo yako yameshindwa kutimilika!
   
Loading...