Usimfanye ajute kuwa mkeo /mmeo.........................! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usimfanye ajute kuwa mkeo /mmeo.........................!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by FirstLady1, Jun 1, 2012.

 1. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  1.Kila siku kuingia nyumbani ni kuanzia saa saba usiku kama si asubuhi
  2. Unakaa umenuna nuna bila sababu za msingi

  3. Unalalamika mwenzangu haniridhishi unajuaje kama wewe unamridhisha ?

  4.Unalalama mwenzangu mkorofi wewe umejichunguza kama si mkorofi

  5.Out kila unaenda peke yako utadhani mwenzio hapendi kutoka out

  6. Mkienda sehemu hamuongozani pamoja ..mmoja mbele mmoja nyuma utadhani hamfahamiani

  7.Ukipigiwa simu unakimbilia chooni kuongea kama si nje

  8.Kutwa hujiamini unahisi kuibiwa

  9.Namba za kina Asia /Johan umesave ..Fundi Bomba …Fundi Umeme…Baba Paroko

  10.Namba za Kina Joram /Hamis umesevu Msusi/Dada wa Viatu..

  11.Unaongea kama umefungwa Tape

  12.Kila siku Kulalamika mke /mme mchafu ..umechukua jukumu gani la kurekebisha matatizo?

  13. Kujisifia sifia ooh mimi ikawa vile matendo zero….
  14. Licha ya kurudi Night kali,vilevile shingoni LoveBite huku vifungo vya shati vikiwa vimepishana.
  15. Harufu ya pafyumu unayonukia mida hii,si ile uliyokuwa unanukia Alfajiri wakati unaondoka nyumbani.
  16. Mbaya zaidi na Nguo ya ndani umeigeuza wakati Alfajiri ulipoondoka ulikuwa umeivaa Fresh.
  17. Unajibaraguza,...ohoo....!!! Mke wangu unajua leo tulikuwa na ugeni mzito ofisini,wakati sijakuuliza.
  18. Unaikimbilia AirFresh ili ukapulizie ndani ya gari kwa madai eti ulimpa lifti rafikio aliyekuwa ananuka soksi,kumbe ni muongo unataka nisiinuse harufu ya Pafyumu ya mwanamke uliekuwa nae garini.
  19. Unafoka kwa hasira....hebu niongezee kitoweo...ala..!!!!,wakati Alfajiri uliacha Buku.
  20. Mbaya na kali kuliko zote,licha ya vituko vyoote ulivyonifanyia mchana kutwa, eti kitandani TUNALALA MZUNGU WA 4.
  21. Uliponiaga unakwenda kusalimia kwenu, nilipotoka kanisani nikakuona umekaa kibarazani kwenye nyumba
  uliyompangishia bibi mdogo huku umepakata katoto kachanga.
  Tunaendelea....... thanx Madame B and Mamndenyi
  weekend njema

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  ...mmmm!....ulilala wapi mrembo wewe?....njoo weekend nikupe liwazo maana inaonekana una stress...
   
 3. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Ruhazwe JR nadhani ndo utazidi kuniongezea stress ...
  Hiyo Psalms 71 inaeleweka?
   
 4. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #4
  Jun 1, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Hizi thread za kurushwa asubuhi asubuhi hizi......
  Haya mama tutajirekebisha.
   
 5. condorezaraisi

  condorezaraisi JF-Expert Member

  #5
  Jun 1, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 225
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Namba sita na saba zinahusu Bishanga na Asprin zinzwagusa sana

  Nini kimekusibu mama Mheshimiwa??
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #6
  Jun 1, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Mh nini tena mrng mrng madame...?
   
 7. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #7
  Jun 1, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Bishanga kwani una matabia niliyoorodhesha ?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #8
  Jun 1, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Erickb52 sina lililonisibu
  ni message tu bwana ..unajua ule wimbo wa Barnaba Magumegume..?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #9
  Jun 1, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  52 ! Miamko ikoje? Nakuuliza hivi Mhe. BAGAH mi nina siku simuoni Jeiefu au yuko nje ya nchi ? Au shem wetu kamzibiti ?
   
 10. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #10
  Jun 1, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  teh!,teh!,teh!....Mkubwa!usiogope mrembo FirstLady njoo upate vitu ambavyo hujawai kupewa,weekend ndefu ujue,njoo tu wala huta jutia..
   
 11. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #11
  Jun 1, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  harafu weye vitu gani na umri huu ambavyo sijawahi kupewa zaidi ya marudio ..? Ruhazwe JR Kweli JF ina mambo. harafu wewe usijenifanya nipigwe mawe njiani..Ngoja waje wahusika
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #12
  Jun 1, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hahahaaahhha naujua FirstLady1 ....
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #13
  Jun 1, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hahahaa yupo mbona sema tu kabanwa sana siku hizi....
  Kwani hujui kama BAGAH kaanzisha biashara ya maparachichi?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #14
  Jun 1, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  teh!teh!teh...njoobwana usiogope hawatuoni....mrembo kama wewe unapata stress mimi nipo we njoo
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #15
  Jun 1, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Ukiona manyoya ujue ashaliwa...
   
 16. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #16
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,046
  Likes Received: 6,491
  Trophy Points: 280
  Namba 3 unamhusu Asprin.
   
 17. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #17
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,129
  Likes Received: 4,994
  Trophy Points: 280
  Firstlady1 na hizi je:
  14. Licha ya kurudi Night kali,vilevile shingoni LoveBite huku vifungo vya shati vikiwa vimepishana.
  15. Harufu ya pafyumu unayonukia mida hii,si ile uliyokuwa unanukia Alfajiri wakati unaondoka nyumbani.
  16. Mbaya zaidi na Nguo ya ndani umeigeuza wakati Alfajiri ulipoondoka ulikuwa umeivaa Fresh.
  17. Unajibaraguza,...ohoo....!!! Mke wangu unajua leo tulikuwa na ugeni mzito ofisini,wakati sijakuuliza.
  18. Unaikimbilia AirFresh ili ukapulizie ndani ya gari kwa madai eti ulimpa lifti rafikio aliyekuwa ananuka soksi,kumbe ni muongo unataka nisiinuse harufu ya Pafyumu ya mwanamke uliekuwa nae garini.
  19. Unafoka kwa hasira....hebu niongezee kitoweo...ala..!!!!,wakati Alfajiri uliacha Buku.
  20. Mbaya na kali kuliko zote,licha ya vituko vyoote ulivyonifanyia mchana kutwa, eti kitandani TUNALALA MZUNGU WA 4.

  ....NAJUUUTA KUWA MKEO...!!!
  Kwanza mahari hujamaliza kulipa.
   
 18. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #18
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,046
  Likes Received: 6,491
  Trophy Points: 280
  21. Uliponiaga unakwenda kusalimia kwenu, nilipotoka kanisani nikakuona umekaa kibarazani kwenye nyumba
  uliyompangishia bibi mdogo huku umepakata katoto kachanga.
   
 19. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #19
  Jun 1, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  sobhuza sometimes ni manyonya tu yanakuwa yamedondoka
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #20
  Jun 1, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Pole lady.
   
Loading...