Ipi ni sehemu muafaka ya kukutana na mume/mke

EJM_

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,836
2,093
Kumekuwa na mijadala mingi ya kuwa ni sehemu gani hasa ambayo unaweza kukutana na mtu ambaye huenda akaja kuwa mke/mume. Katika mjadala huo kumekuwa na misemo mingi baadhi yake ikiwa;
Utakapokutana na mke wako ndipo mtakapoachania (kama ni baa then mtaachania baa)
Mke/Mume mwema hutoka kwa Mungu nk.

Katika mapinduzi ya teknolojia nayo yameibua njia nyingine mpya ya kukutana kwa watu na baadae kuanzisha mahusiano, MTANDAO. Njia hii imekuwa inasemwa sana kwamba mahusiano yake huwa hayaaminiki sana (Dhana hii imewekwa na wahusika wenyewe) Hivyo kusababisha mahusiano mengi yanayoanzishwa na njia hii kuwa ya muda mfupi or "oneoff"

Sasa hebu tuambizane kidogo kwa mitizamo yetu ni wapi hasa au njia ipi ukikutana na mtu huko then anaweza kuwa mume/mke mwema.....
 
Hakuna sehemu maalum yategemea wewe unataka design gani na wapi zaidi unajihusha.
 
hakuna formula ama sehemu maalumu ya kukutana na mwenza ama mtu ambaye unategemea awe mume/mke wako mtarajiwa. Ni jinsi tu wewe na yeye mtakavyo kuwa mmeji.tune! Me nina mifano mingi ya watu waliokutana katika mazingira usiyotarajia na ni wanandoa mpaka sasa. kuna mwingine alikutana na mkewe baa tena huyo dada alikuwa baameid but now wapo ndoani tena ndoa yao ni ya mfano wa kuiga. mume mwenyewe ni wakili. mwingine alikutana na mkewe club na sasa ni wanandoa. so hakuna formula ya kukutana ndugu yangu!
 
Mapenzi ni accident, hutokea popote bila taarifa. Naungana na hao wachangiaji wa hapo juu, kuwa hakuna formula kwenye mambo haya.
 
Kwenye hayo mambo hakuna 'fixed acount' wala formula!!
Unaweza kukutana nae kanisani kwenye maombi ukafikiri umepata kumbe ndo ilikua mara yake ya kwanza kwenda church..unachopaswa kuangalia ni tabia ya mtu na sio venue mlipokutana..
 
Mara nyingi ukimfahamu mtu vizuri in and out inakuwa rahisi kumjua na kumfanya awe ur future.....Sasa basi,,mwanamke au mchumba anaweza kupatikana kutoka sehemu hizo hapo;-

1.Schools,Universitities hapa ndo kwa sana maana u stay with a person almost 2-3 years.Unamfahamu vizuri.

2.Kwenye maofisi pia...

3.Churches,msikitini..........

4.Mitandaoni which is very dangerous..But some wanajibahatishia humo..

5.From your closely people..Ambao una hang out nao,from here and there,ulio wajua kitambo ie friends...U mit be tempted to one of girls and decide to make her your future Mamaaaaa.

6.Popote pale..

164818_184441424918604_100000582431329_540286_438096_n.jpg

It is better to lead from behind and to put others in front, especially when you celebrate victory when nice things occur. You take the front line when there is danger. Then people will appreciate your leadership.
 
Mkuu sidhani kama kuna sehem yoyote maalum ambayo unaweza sema ni specific kwa ajili ya kukutana na mwenza wako
Inaweza kuwa kanisani, msibani, kwenye daladala, kwenye kivuko au mtumbwi au ofisini ay darasani kokote kule ujuapo
hakuna formula wala specific area unawez akusema ni maalumu maana hata huyo wa bar anaweza kutulia au hata yule anayefanya biashara unaweza kumpata na akawa mke bora
 
mmmmh kambi popote kaka mwambie
 
ni vizuri kama bado basi uvizie akiwa anaingia kanisani au msikitini ndio mkutane;
 
mimi wa jf ndo nitamkubali...
kwingine hapana

Ah sa mi si nipo jamani!

MadameX

Hakuna sehemu maalum yategemea wewe unataka design gani na wapi zaidi unajihusha.

Charminggirl
hakuna formula ama sehemu maalumu ya kukutana na mwenza ama mtu ambaye unategemea awe mume/mke wako mtarajiwa. Ni jinsi tu wewe na yeye mtakavyo kuwa mmeji.tune! Me nina mifano mingi ya watu waliokutana katika mazingira usiyotarajia na ni wanandoa mpaka sasa. kuna mwingine alikutana na mkewe baa tena huyo dada alikuwa baameid but now wapo ndoani tena ndoa yao ni ya mfano wa kuiga. mume mwenyewe ni wakili. mwingine alikutana na mkewe club na sasa ni wanandoa. so hakuna formula ya kukutana ndugu yangu!

Mh so haijalishi mlikokutana ila the way you feel for each other eeh
 
Makutano ni popote bana ilimradi mnapendana kwa dhati,wangapi mahusiano yao yameanzia kwenye kujiuza barabarani(machangu) na leo hii ni wake/waume halali wenye ndoa zilizotulia mpaka zinastahili kupewa tuzo!
 
Kwa mtazamo wangu waweza pata mwenza sehemu yeyote ile ila uwe na angalizo.

Point hapa, regardless ya eneo waweza pata mtu ambaye mnaendana kimtazamo na kitabia sehemu yeyote ile. Nafasi ya eneo ni kuongeza chances za kupata mtu wa kaliba yako. Kama una mitazamo ya kilokole kanisani chances za kupata aina yako inaongezeka, kama ni mtu wa starehe sehemu za starehe zinaongeza chances za kupata mtu wa aina hiyo.
 
Okay, katika majobu mengi hapa yanaonyesha kwamba kimsingi love starts anywhere. Ila nina wasiwasi kidogo na utekelezaji wa haya kwasababu kuna vitu tumejijengea akilini mwetu ambavyo kuvibreak inakuwa vigumu sana ingawa kama nilivyosema kusema kwa mdomo is easy.

Kwa mfano mi naenda club mara chache sana (could be 2 or 3 times a year lakini nikaenda katika hizo mara tatu nikakutana na binti nikavutiwa naye na baadae tukawa wapenzi na kuendelea. Hivi kwa kawaida yale mawazo ya where i met her and what kinda person she could be yanapotea kirahisi?
 
Katika mapinduzi ya teknolojia nayo yameibua njia nyingine mpya ya kukutana kwa watu na baadae kuanzisha mahusiano,
MTANDAO. Njia hii imekuwa inasemwa sana kwamba mahusiano yake huwa hayaaminiki sana (Dhana hii imewekwa na wahusika wenyewe) Hivyo kusababisha mahusiano mengi yanayoanzishwa na njia hii kuwa ya muda mfupi or "oneoff"

Sasa hebu tuambizane kidogo kwa mitizamo yetu ni wapi hasa au njia ipi ukikutana na mtu huko then anaweza kuwa mume/mke mwema.....

Mara nyingi njia za mitandao haidumu...nishaona cases nyingi sana ppo meet online hata mwezi haichukui washapigana chini..mimi i prefer watu wakutane face to face kabla hujaanza ku develop feelings na mtu...tatizo la kukutana online watu wanaanza kupendana au sijui ndio ku fall in love hata hawajakutana face to face..siku inapokuja wanakutana sasa ndio hapo..uliyodhania kumbe sie
 
Back
Top Bottom