Nimeharibiwa week-end yangu.... lol!

gfsonwin

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
18,274
20,673
wana jf leo yamenikuta mwenzenu.

Jamani leo nimejikuta naharibiwa siku yangu na katibu tawala wilaya ya ...................... baada ya kurusha ndoana yake kwangu leo ofisi kwake. Loh nimekasirika sana.

nilikwenda huko baada ya kuwa nilihitajika kusainiwa barua zangu za job kama ujuavyo adha za waalim ukipandishwa cheo hadi uanze kupokea mshahara mpya ni ishu.

Jamani hivi ninyi wanaume mna nini? kwanini hamuheshimu hizo ofisi tena za umma? kwanini pia mnapenda kudhalilisha wanawake? au mnataka hadi tuekeane bifu kwa kuwaitieni takukuru?

Jitu lenyewe tumbo lipo kama anakunya humo humo mod nisamehe ni hasira tu. ila kaniboa sana. Na ukweli wanawake tunadhalilishwa sana.
 
pole sana....
Mijanaume isiyojielewa na kujitambua..tena ile midomozege isiyokuwa na staha na wapungufu wa ustaarabu hudhani wakitumia shida ya mwanamke ndo watafanikiwa kumpata....

Pole sana
 
Hahaha, Pole sana bibie ndo hali ya dunia ilivyo. Lakini nna swali la kizushi.
1.Je angekua hana kitambi kama anaku... humo humo ungesema???
2.Je ulikua unacheka cheka nini ndomana akaamua kurusha ndoana yake.

Usinielewe vibaya nauliza tu,

Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
 
Well gfsonwin
I hope hukukubali :A S-baby:
 
Last edited by a moderator:
Kawaida kutongozwa usipo tongozwa utajiona kama una kasoro :coffee:
fazaa hata kama ni kawaida but siamini kuwa waweza kumtongoza client wako. kweli tena ofisini pasi kuwa na woga?
 
Last edited by a moderator:
pole sana...!

inaonekana tumbo lake lingekuwa six pack ungempa nafasi
Teamo sina maana hiyo kwani mimi ni mtu mwenye familia yangu, ila nimejikuta namchukia ghafla naenda na mambo yangu aniidhinishie kupandishiwa salary yeye ananitongoza au ndistaili ya wanaume?
 
Last edited by a moderator:
me wala sioni ajabu kumbe kakutongoza sio kakubaka so una hiari ya kukubali au kukataa.
 
Msipotongozwa mnaenda kwa maganga kutafuta dawa za mvuto
mkitongozwa mmezalilishwa na kubakwa itakua ni nini? Mi nafikiri hapo
hamna kosa kwa maana kulikua hamna shinikizo lolote kama ndo hivyo
basi itafikia sehemu hata ukimtongoza mtu njiani atakuitia polisi.

pole kama umekasirika ila mi nafikiri kwamba wewe ni mrembo na mwanaume hushindwa kujizuia
 
Well gfsonwin
I hope hukukubali :A S-baby:
sijakubali na nilisha sema sitomkubali kuisaliti ndoa yangu. But ninyi wanaume mnamaudhi sana jiulize anatongoza wangapi? halafu si ndo hawa wamechaguliwa juzi tu kweli kikwete hakuweza kupata cv za watu wazur hadi atuletee watongozaji?
 
Smart lady. Sasa nakupa mambo. Siku ukirudi kamsalimie halafu uwe friendly kabisa halafu muanzishe mawasiliano hadi uhakikishe mnapanga kwenda kula tunda. Huku nyuma wewe andaa takukuru na media. Maliza kazi.
 
pole sana....
Mijanaume isiyojielewa na kujitambua..tena ile midomozege isiyokuwa na staha na wapungufu wa ustaarabu hudhani wakitumia shida ya mwanamke ndo watafanikiwa kumpata....

Pole sana
BADILI TABIA siku hizi wanaume wanatake advantage ya kuwa kwenye ofisi za serikali basi wao kazi ni hiyo tu. hakunaga kufanya kazi nyingine
 
Last edited by a moderator:
Wanawake bana! Wasipotongozwa wanaenda kwa wachina, isipowasaidia wanaenda kwa kalmanzila, wakitongozwa, wamedhalilishwa!? Kaaz kwel kwel!
 
Hahaha, Pole sana bibie ndo hali ya dunia ilivyo. Lakini nna swali la kizushi.
1.Je angekua hana kitambi kama anaku... humo humo ungesema???
2.Je ulikua unacheka cheka nini ndomana akaamua kurusha ndoana yake.

Usinielewe vibaya nauliza tu,

Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
asrams yaani kamwe nisingeweza kumkubali hivi katika mazingira ya ofsi unategemea nini? au ndo anataka kuwapa wenzie kashfa za kwenye mitandao na magazeti ya udaku?
 
Last edited by a moderator:
Wanawake bana! Wasipotongozwa wanaenda kwa wachina, isipowasaidia wanaenda kwa kalmanzila, wakitongozwa, wamedhalilishwa!? Kaaz kwel kwel!
Filipo haiko hivyo, hata kama tunapenda kutongzwa ndo unitongoze ofisini tena ofisi ya serikali? kaziutafanya saa ngapi?
 
Last edited by a moderator:
Ukitaka nikuhudumie lazima uje na mwenzako la sivyo no huduma! Kwangu haingii mtu mmoja mmoja! hatuzungumzi siri kwenye ofisi! Tukutane huko baa ma kwenye grocery tukatongozane humo siyo ofisini kwanguuuuuuuuuuuuuuuuuu! Ukija mwenyewe tokaaaaaaaaaaaaaa kaje na mwenzako! Fuuuuuuuuuuul stop
 
Smart lady. Sasa nakupa mambo. Siku ukirudi kamsalimie halafu uwe friendly kabisa halafu muanzishe mawasiliano hadi uhakikishe mnapanga kwenda kula tunda. Huku nyuma wewe andaa takukuru na media. Maliza kazi.

hii sasa umenena vyema lakin kaiwea barua yangu nje manake ilikuwa ni nakala ya barua ambayo nilishaandika so nilitaka kujua kama imepitishwa naye sasa kaniambia nirudi jumanne sijui kama atafanya hii kazi yangu au la.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom