Mpenzi wangu amenigandisha kituo cha BASI(STENDI)

Adharusi

JF-Expert Member
Jan 22, 2012
14,402
7,310
Yamenikuta wana MMU jana nilikua na ahadi na mpenzi wangu baada ya kunimiss mwaka mmoja na nusu,tokea mwaka 2010 Disemba,,jana tulitaka kupasua raha..daah..!
Nimefika Dar ninamwezi sasa,mimi nafanya kaz MKOANI..na Demu wangu anafanya kazi Dar Hotelin(posta-mafuta house)alikua zanzibar mwaka jana.mwaka huu kahamia Dar..nilipofika nilikua nimeenda mikoa ya kusin..nilikua Bize kidogo..juzi akaniambia jumapili atakua free..tuonane,kuanzia asubuhi saa moja..nikamwambia poa..tukatana ZAKHEM mbagara kuna eneo liko poa sana(MINAZI INN),akasema poa.
Asubuhi nimetoka Sinza nikaenda Mbagara..nilipofika..nikapiga simu yake haipatikan..kuanzia saa moja mpaka saa kumi na mbili..nikatuma msg..ili simu ikiwa Hewan inionyeshe..saa moja ndo ikanionyesha msg ikawa delivad..mara akawa ananipigia..nikapokea(maongezi)
*mimi-vp ongea?
#Demu-mambo,samahan mwenzio nimepata matatizo
*mimi-matatizo gani?
#Demu-nilikamatwa na polisi..nikaweka ndani
*mimi-Polisi,polisi,Polisi..sababu,na kituo gan..na kosa lako.
#Demu-kituo ubungo,sababu,,keshia mwenzangu katoroka na Hela..ndo nikawekwa ndani.
*mimi-Huko wapi sasa hivi,nitakupigia nikifika nyumban(nilikua k/koo..naenda sinza saa mbili usiku)
#Demu-nipo mbagara kizuia,nipo na mama ndo kaniwekea Dhamana..naenda nyumban Mbagara kingugi
*mimi-nimefika home saa 4..usiku..nikampigia demu mara 5,hapokei,,mara ya sita kapokea bint mwingine..akaniambia mwenyewe amelala,nikamjibu kwa Hasira nikamwambia KOMAA!!!!mwambie mwenye simu asipopokea simu hii,iwe mwanzo na mwisho kunipigia simu,akakata simu,nikapiga tena Akapokea demu wangu mwenyewe,nikamuuliza kwa nini..ujapokea simu..akaomba samahani..nikamwambia niambie ukweli..ulikua unatumika wapi(kugogwa)niambie kituo gani ulikua ubungo..(urafiki Au UBT)..akasema Urafiki..nikamuuliza kwanini Ubungo isiwe Centre au ostabey,akakwama..nikamuuliza mama yako nani alimwambia,akadai niliwapa namba polisi,unajua kua jumapili ukiwekwa ndani kutoka mpaka juma tatu(leo)..akabaki kimya..nikamwambia niambie ukweli..nikamwambia kesho naenda Urafiki kuuliza..na kuna mshikaji wangu nitamuuliza anafanya kazi hapo..ila wewe umjui..akabaki kimya..nikakata simu..nikampigia simu mshikaji..mshikaji akaniambia hakuna jambo kama hilo..mara demu akanibip..nikampigia..akaniambia oooh samahan sikukamatwa na POLISI..naomba leo nikotoka kazin nije nikuone (Saa nane mchana)tuongee vizuri..niliogopa kukuambia.
=Wanajavi mnisaidie..hainiumi kugogwa na watu wengine..inaniumiza kutonipa Taarifa..Nikaa sana kituoni..mpaka saa sita mchana..nikaamua kuendelea na mambo mengine
"Vox Populi,Vox dei"
 
kaka usijiumize kichwa na kimeo kama hicho, achana naye inaonekana ana jamaa wengine kibao ukiachilia mbali wewe, au ni mke wa mtu au ana mahusiano tight ndio maana ikabidi akudanganye..pia anaonekana ana tamaa sana maana hataki kukupoteza, na wakati huo huo ana wengine huko...kaa naye mbali anaweza hata kuua mtu huyo...Omba Mungu atakujaalia mtu unayemhitaji katika maisha yako (kama unahitaji mke) na si milupo kama hiyo...pole sana, kuwa makini mjini matapeli ni wengi sana!
 
Yani kaka una subra sana mie naona ningesubiri saa ingetosha na wala nisingempigia cm wala nini ndio tungekua tushamalizana yeye ndio apige ajieleze ilikuwaje,asikumize kichwa wako tele wasokua na vituko kama vyake na wana nyenyekea wanaumezao, mwambie kama amepata bwana aende asijeakachelewa.
 
wew mwenyewe pia unamatatizo, tafuta mkeo uoe achana na tabia ya kurukaruka hovyo utakufa kabla ya wakati. Huyo dada aendelee kukudanganya hivyo hivyo. Mnataka ku2mia wanawake kama vyombo vya starehe! km ungemfanyia wewe ingekuwa kawaida lkn kwakuwa umetendewa wew umegeuza kua ni issue ya kujadili!
 
hakutaki na habari ndio hiyo, songa mbele unadhani ni rahisi kukaa bila kitu miezi yote hadi ikazidi mwaka.

usijisumbue kumtafuta anashindwa kukuambia, au ndo ana balansisha akiacha huko wewe uwepo bado. sio mpenzi wako huyu umeshaachwa.

acha kumtafuta. magonjwa yamejaa na hujui kama ni anaruka na wengi au la.
 
Inanikumbusha story ya figanigga aliyekutana na mdada kupitia jf,akapewa miadi wakutane zanzibar,mzee wa mia si kafunga safari,kufika znz hola,mdada anamwambia yuko arusha,kaaaazi kweli kweli.
Pole sana mtoa mada,kaza roho lakini mtaka cha uvunguni......
 
Mkuu kuwekwa standi toka asubuhi hadi saa sita na uongo wa kukamatwa bado tu unamfikiria kichwani mwako? Hapo hauna chako kabisa sizani mtu aliyecommitted kwako anaweza kukufanyia kitu kama hiki bila ya taarifa, kama kukamatwa wewe ungekuwa mtu wa kwanza kukutaarifu ukamwekee zamana.
No way mpe muda kumsikiliza sababu zake, mwisho wa utetezi unammwaga live bila chenga.
 
Hivi wanaume wengine mkoje, yaani demu anakuweka masaa kibao halafu anakupiga fix we bado umo tu unapoteza vocha zako za ngama, tambaa chukua totoz zimejaa kitaa.
 
Kwa kweli mabinti wengine pasua kichwa bro. hapo inatakiwa uwe na akili kumkichwa

      • :spit:

Mkuu kuwekwa standi toka asubuhi hadi saa sita na uongo wa kukamatwa bado tu unamfikiria kichwani mwako? Hapo hauna chako kabisa sizani mtu aliyecommitted kwako anaweza kukufanyia kitu kama hiki bila ya taarifa, kama kukamatwa wewe ungekuwa mtu wa kwanza kukutaarifu ukamwekee zamana.
No way mpe muda kumsikiliza sababu zake, mwisho wa utetezi unammwaga live bila chenga.
Nami naunga mkono kuwa amsikilize kama alivyoomba huenda hakuna jambo lolote serious. Mpe nafasi, please. Ukionana naye utaweza kuamua kama ana sababu za kushibisha au la.
 
Yamenikuta wana MMU jana nilikua na ahadi na mpenzi wangu baada ya kunimiss mwaka mmoja na nusu,tokea mwaka 2010 Disemba,,jana tulitaka kupasua raha..daah..!
Nimefika Dar ninamwezi sasa,mimi nafanya kaz MKOANI..na Demu wangu anafanya kazi Dar Hotelin(posta-mafuta house)alikua zanzibar mwaka jana.mwaka huu kahamia Dar..nilipofika nilikua nimeenda mikoa ya kusin..nilikua Bize kidogo..juzi akaniambia jumapili atakua free..tuonane,kuanzia asubuhi saa moja..nikamwambia poa..tukatana ZAKHEM mbagara kuna eneo liko poa sana(MINAZI INN),akasema poa.
Asubuhi nimetoka Sinza nikaenda Mbagara..nilipofika..nikapiga simu yake haipatikan..kuanzia saa moja mpaka saa kumi na mbili..nikatuma msg..ili simu ikiwa Hewan inionyeshe..saa moja ndo ikanionyesha msg ikawa delivad..mara akawa ananipigia..nikapokea(maongezi)
*mimi-vp ongea?
#Demu-mambo,samahan mwenzio nimepata matatizo
*mimi-matatizo gani?
#Demu-nilikamatwa na polisi..nikaweka ndani
*mimi-Polisi,polisi,Polisi..sababu,na kituo gan..na kosa lako.
#Demu-kituo ubungo,sababu,,keshia mwenzangu katoroka na Hela..ndo nikawekwa ndani.
*mimi-Huko wapi sasa hivi,nitakupigia nikifika nyumban(nilikua k/koo..naenda sinza saa mbili usiku)
#Demu-nipo mbagara kizuia,nipo na mama ndo kaniwekea Dhamana..naenda nyumban Mbagara kingugi
*mimi-nimefika home saa 4..usiku..nikampigia demu mara 5,hapokei,,mara ya sita kapokea bint mwingine..akaniambia mwenyewe amelala,nikamjibu kwa Hasira nikamwambia KOMAA!!!!mwambie mwenye simu asipopokea simu hii,iwe mwanzo na mwisho kunipigia simu,akakata simu,nikapiga tena Akapokea demu wangu mwenyewe,nikamuuliza kwa nini..ujapokea simu..akaomba samahani..nikamwambia niambie ukweli..ulikua unatumika wapi(kugogwa)niambie kituo gani ulikua ubungo..(urafiki Au UBT)..akasema Urafiki..nikamuuliza kwanini Ubungo isiwe Centre au ostabey,akakwama..nikamuuliza mama yako nani alimwambia,akadai niliwapa namba polisi,unajua kua jumapili ukiwekwa ndani kutoka mpaka juma tatu(leo)..akabaki kimya..nikamwambia niambie ukweli..nikamwambia kesho naenda Urafiki kuuliza..na kuna mshikaji wangu nitamuuliza anafanya kazi hapo..ila wewe umjui..akabaki kimya..nikakata simu..nikampigia simu mshikaji..mshikaji akaniambia hakuna jambo kama hilo..mara demu akanibip..nikampigia..akaniambia oooh samahan sikukamatwa na POLISI..naomba leo nikotoka kazin nije nikuone (Saa nane mchana)tuongee vizuri..niliogopa kukuambia.
=Wanajavi mnisaidie..hainiumi kugogwa na watu wengine..inaniumiza kutonipa Taarifa..Nikaa sana kituoni..mpaka saa sita mchana..nikaamua kuendelea na mambo mengine
"Vox Populi,Vox dei"

nimependa pisitivity yako arif,ingekuwa sharo b,angeshaangusha mvua ya machozi...
 
Achana naye huyo atakusumbua,alishazoea kua na wengi pengine wewe ni watatu au wanne.wapo wengi ila kua makini usiingie kubaya kuliko hapo.
 
pole bro. mi mwenyemwe nilishakutana na issue kama ii but mimi nilimfata demu mkoani alipokuwa ana fanya kazi kufika akajificha ata kwakwe akunionesha, ni kalala guest keshoyake morning nikageuza na sim no yake ni kafuta.
 
mkuu inauma sana,cha msingi ni kuchukua the right measures.it depends na jinsi unavyo mfeel.it seems kuna mtu ana strong feels nae,na jana ndio ilikuwa siku ya kushinda nae,at the same time alitaka akumbushie na wewe.pole mkuu
 
Back
Top Bottom