Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

" D..Unaikumbuka siku ile? Takribani miaka 6 iliyopita, nilikutokea.. sikuwa mahiri katika kutongoza bali nilivutiwa na wewe kiasi kwamba nikaingia ujasiri wa ajabu na kuanza kumwaga sera. Ulikuwa...
4 Reactions
9 Replies
4K Views
Wapendwa hamjambo? Nimewamiss Kuna sehemu nimesoma eti matatizo ya mapenzi (Love problems) yanaweza pia kutokea iwapo mtu utaanza kuwa na mawazo ya "Je ninampenda zaidi ya anipendavyo? (do I love...
3 Reactions
84 Replies
6K Views
Labda kama sijui vizuri naomba leo Wana JF mnijuze vyema. Utawasikia Njiani, Sokoni, Makazini oooh nalea mie au watoto wangu nimewalea vizuri kweli, wakati ukweli ni kwamba wao na Waume wanaondoka...
0 Reactions
0 Replies
748 Views
Nipo serious katika swala hili na nimeamua kwa dhati kabisa kutoka moyoni mwangu kutafuta mwenza wa maisha kwani maisha ya ubachela yana vishawishi vingi na masha ya kuruka ruka ni ya hatari...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni jana ndoa ya bro wangu ilikufa kabisa. Chanzo cha kifo cha ndoa hiyo ni baada ya bro kumfungulia mkewe biashara na kumkabidhi ili ajipatie mahitaji yake sio mpaka mumewe ampe. Lakini cha...
1 Reactions
109 Replies
7K Views
Hai wanajamii! Asubuhi hii nimekutana na msemo huu: Sleeping with someone is sleeping with someone it does not mean you are a couple! Sasa najiuliza nini kinakufanyeni nyie muwe "couple"?
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Asalam aleykum (a.k.a Shalom) Kama weekend mbili hivi zilizopita tulikuwa na kijimtoko; mimi hun wangu na some friends in pairs. Sasa jamaa mmojawapo alikuwa single na alialikwa wa hawa wadada coz...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Wanamama wameanza kudai haki zao kwa stahili Mpya. Soma Biramu. I DIDN'T COME FROM YOUR RIB.... YOU COME FROM MY VAGINA. Kwa wenzangu na miye maana yake. SIKUTOKA KATIKA MBAVU ZAKO.... UMETOKA...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Shirika hili ni la dini ila hizi habari nimezisikia nataka kupata uhakika kama kuna tabia ya wakubwa kuwa na mahusiano na wafanyakazi wa kike. Chanzo chetu kinasema eti ili mwanamama upate...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hodi jamani humu ndani! mimi mgeni wenu naomba mnipokee. mnielekeze na kuniongoza mpaka niwe mwenyeji! sawa jamani? :lol: :juggle:
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Poleni kwa majukumu wana JF. Tarishi hauawi, naleta ujumbe kama nilivyoupata toka kwa mlengwa. Anayetafuta mchumba ni mwanamke mwenye sifa hizi: - Ni mrefu wa wastani, maji ya kunde - Ana umri wa...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Habari zenu wana MMU.Mtakubaliana nami kwamba mwana mmu mwenzetu, Mtambuzi, amekuwa mstari wa mbele katika kutusimulia visa,na kesi za kimataifa zilizokamata hisia za wengi kwa wakat huo...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kusema kweli japo kuwa sio wote lakini asilimia kubwa wanawake bado mmeshindwa kutambua kuwa dunia ya utegemezi imeishapitwa na wakati ni ukweli usifichika wanawake mmezidi kuomba omba pesa wengi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hodi hapa!nimetafakari sijapata jawabu,jana nilipata toto ndogo ndogo nikajisemea kwa moyo hapa lazima nitumie lub nisijepata kesi,ile kuingia2 lahaula!napapasa labda sikulenga kumbe wapi!ni mdomo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Dada P alikuwa na mchumba wake waliyedumu kwa muda wa miaka 5, mpaka akam-engage. now mkaka amemuacha solemba pamoja na kuwa kesham-engage. kisa ni kwamba mkaka alipigiwa simu na ndgu yake kuwa...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Ni wapenzi kwa muda wa mwaka mmoja sasa na wanapenda kweli, na hata sisi tulio karibu nao tunaona jinsi wanavyopendana, kijana anataka kutangaza ndoa, ila sasa mdada anamzidi mkaka miaka sita (6)...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Sasa kinapatikana kwenye Amazon.com na kwenye Kindle tafuta "Mwanakijiji" Kitapatikana Tanzania wakati wowote kuanzia sasa.... 1 KWA WIKI nzima Erica Tossi hakutoka...
1 Reactions
7 Replies
23K Views
Kitendo cha nyie kushoboka na wakaka wenye mamiili makubwa,ni kinyume na haki za binadamu na kinawafanya wale wenye miili midogo wawe infirior kwenu.nawaomba muonyeshe mapenz ya dhati kwa wakaka...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
naomba wadada wanijibu hili swali hata wakaka sio mbaya..nimegundua katika wasichana na wanawake ambao nimewahi ku-do now kwanini mara ya kwanza lazima nguvu kidogo itumike na nikisema niplay...
0 Reactions
67 Replies
6K Views
Mhhh sijui nianzie wapi ila kwa kweli kumpata a man of your dream ni bahati, basi na mimi katika pitapita zangu zote huko nilipotoka nimeishia kuumia bado sijampata wa sifa na vigezo vyangu na...
3 Reactions
123 Replies
9K Views
Back
Top Bottom