Ilikuwa ni mwaka 1998 na ninaukumbuka vizuri sana huo mwaka, kwani ndio mwaka niliovunja ungo, ni kipindi hicho ambapo nilianza kushangaa maumbile yangu jinsi yalivyobadilika na nilikuwa nahisi...
Jamani kuna malalamiko toka kwa baadhi ya wanaume wa kitanzania kwamba wanawake/wasichana wengi wa kibongo hawajui maana ya kuolewa. Eti wanadhani ni kupata mahali pa ku-deposit matatizo yao...
Natafuta rafiki wa kike wakubadilishana mawazo, huku nikusubiri ajira baada ya kuhitimu masomo yangu. Awe na UPENDO NA UKARIM WA KWELI. Tuwasiliane kupitia malimangosha@yahoo.Co.Uk
Mimi ni kijana, umri miaka 34, nafanya kazi Dar es Salaam, Mkristo, natafuta mwanamke atakayekuwa mke wangu napenda awe umri kuanzia miaka 28 na kuendelea, mwenye hofu ya MUNGU, mkristo, na...
Wa kwanza ni tajiri yuko bize sana nyumbani anapatikana mara 2 tu kwa mwezi na utapata mahitaji yako yote. . . . . . Wa pili,tajiri yuko bize kiasi na anapatikana nyumbani kwa wiki mara 3 lakini...
Nimempa pesa nyingi sana..
Nimemlipia ada ya chuo..
Nimeingia chumvini...
Ufundi mwingi nimetumia...
Zawadi nyingi sana nimemnunulia...
Sehemu za starehe nyingi nimempeleka..
Na mambo...
Please nisaidie Dada! .ni kauli ya Meggy hiyo Kwangu.
Jamani mie namsaidiaje huyu rafiki ?
M & N Wamekuwa wapenzi for more than 5 years sasa long distance na wakikutana kila mmoja ana hamu...
Mimi ni mama wa watoto wawili nina umri wa miaka 31 ni mwajiriwa serikalini napenda kuwa wazi ktk jamvi kwani nimekuwa mpweke kwa muda mrefu hivyo basi nahtaji mwanaume mwenye sifa hizi -Awe...
natafuta msichana ambaye atakua anatumia facebook ili nipate kuchati nae, awe na sifa yoyote ile mi nipo tayari kuwa nae my facebook profile is www.facebook.com/mtaalam18
have you ever woken up so.. satisfied with the action you had in your dream and felt terribly embarrassed, guilty or scared??were you dreaming that you wre having sex or did you just wake up to...
Habari zenu wapenzi wa kona hii,
Nimekumbwa na na mkasa huu miaka sita sasa, nilimpenda dada huyu sana wakati nasoma pale udsm, yeye alikuwa famasist ubungo, nilikuwa nilitoka hosteli naishia...
Wanajamii mpo? Wameniozesha Dada wa mchumba niliemchaguwa!
Baada ya kukaidi wazee na kuowa mwanamke ambaye walihisi hakutulia,nilimfumania na bwana mwengine hivyo tukaachana. Kwa kufuata...
jamani nimepokea simu ya rafiki yangu akaniambia anatamani afanye maamuzi magumu lakini yuko kwenye dilemma anataka aachane na mume wake dilema iko kwenye mwanaye bado hajaweza kujitegemea...
ni kwamba nipo nje ya nchi kimasomo yapata miaka miwili sasa na nimeoa.huwa narudi kila baada ya mda fulani ili kutoa huduma kwa familia na kuepusha vishawishi kuingilia ndoa yetu. Mara ya mwisho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.