Kwako Mtambuzi:Tuchimbulie kisa cha mtoto aliyeliwa na mbwa(Dingo) huko Australia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwako Mtambuzi:Tuchimbulie kisa cha mtoto aliyeliwa na mbwa(Dingo) huko Australia

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by SHIEKA, Jun 22, 2012.

 1. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,129
  Likes Received: 943
  Trophy Points: 280
  Habari zenu wana MMU.Mtakubaliana nami kwamba mwana mmu mwenzetu, Mtambuzi, amekuwa mstari wa mbele katika kutusimulia visa,na kesi za kimataifa zilizokamata hisia za wengi kwa wakat huo zilipotokea na mpaka sasa bado zinasisimua. Binafsi sitasahau ile kesi ya mzungu mmoja wa Afrika ya Kusini aliyepanga njama ya kumtupa mfanyakazi wake kwenye zizi la simba.Pamoja na visa vingine kadhaa. Asante sana Mtambuzi kwa kujitolea kutupakulia stori hizo. Sasa leo nakuja na ombi maalum kwako Mtambuzi. Huko Australia kuna mama mmoja(Mrs Chamberlain) alikuwa anashutumiwa kwamba alimwua mwanawe mchanga (Azaria)aliyekuwa na umri wa miezi nane. Lakini baada ya muda mrefu iligundulika kwamba huyo mtoto hakuuwawa na mamae bali alichukuliwa na mbwa mwitu wa Australia wajulikanao kwa jina la Dingo Mtambuzi, ninakuomba utupakulie kisa hiki cha mtoto Azaria.Natanguliza shukrani zangu za dhati.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. mkomatembo

  mkomatembo JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 1,466
  Likes Received: 502
  Trophy Points: 280
  Hiki kisa kitaumiza sana maana unaimagine mtoto kaliwa na mbwa mwitu duh!
   
 3. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #3
  Jun 27, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Mkuu HYGEIA samahani leo ndio nimeuona huu uzi,
  Nitakitafuta hiki kisa na kukiweka hapa siku zijazo, naomba unipe muda nitawasilisha simulizi hiyo kwa kadiri nitakavyopata muda....

  pamoja daima
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #4
  Jun 27, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,129
  Likes Received: 943
  Trophy Points: 280
  Nausubiri huo mkasa kwa hamu sana Mtambuzi. Ubarikiwe!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...