Where is the world going? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Where is the world going?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by PetCash, Jun 27, 2012.

 1. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,679
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Asalam aleykum (a.k.a Shalom)
  Kama weekend mbili hivi zilizopita tulikuwa na kijimtoko; mimi hun wangu na some friends in pairs. Sasa jamaa mmojawapo alikuwa single na alialikwa wa hawa wadada coz ni rafiki yao. Wakati tuko kwenye mchakato wa kuogelea nikaamua kutoka one time kuchukua drinks…Ile narudi nikamkuta yule jamaa kamkiss kidogo my hun kwenye lips hadharani. Moyo ukapiga pa(hizi presha ndo cjui ukiwa mzee zinakuwa stoke?)! nashangaa watu wote tuliokuwa nao wanaona kawaida, eti ndo uzungu!
  Nilipokuwa na hun peke yetu nikamuuliza, ‘I thought friendly kiss huishia kwenye cheeks?’
  Akanijibu as always nacomplicate mambo kama mara zote nilizoona akiwatext marafiki zake akitumia maneno hunpie, sweetie, my love, mpenzi!
  I don’t mind pale recipients wanapokuwa wa kike but hata wakiume? Hata rafiki zangu wanaambiwa hivyo! Imefikia sehemu hata nikiitwa hayo maneno I don’t spot the difference nayaona hayanifanyi kuwa any special person to her….
  Ladies mnijibu please (Hata gents wenye uzoefu wao), what words do you reserve for your special one? Kiss za friends huishia wapi? Manake huu uzungu nakoma nao mbona?

   
 2. T

  The Infamous JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2012
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 719
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  siwezi ruhusu upumbavu kama huo...
   
 3. N

  Neylu JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 2,650
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Ooh Noo.... Lazima tofauti iwepo kati ya mpenzi wako na rafiki yako wa kawaida... Siwezi kumkiss rafiki yangu wa kawaida mdomoni.. Hata kama ndio udhungu huo mmh.. Huko amefika mbali huyo bibie. Ila kwa sababu mapenzi ni makubaliano ya watu wawili, mwambie msimamo wako, wewe unataka mapenzi yenu yaweje na mipaka ya hao rafiki zake iishie wapi. Nina hakika atakuelewa na ataacha huo udhungu wake..
   
 4. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #4
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Kama ni kawaida kwake na wewe jaribu siku moja kumkiss mwanamke as she did uone reaction yake.
   
 5. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #5
  Jun 27, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,184
  Likes Received: 566
  Trophy Points: 280
  Mmhhh kiss ya kwenye lips no hapo ni kwenda zaidi ya inavyotakiwa
  Yaani hata kama ni uzungu sio kihivyo aise
  Mwambie mipaka ya mapenzi yenu na ni nini unataka kwake
  haya mambo ya kuiga uzungu ni noma sana
   
 6. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #6
  Jun 27, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  mi mwanaume ambusu mwenzi wangu kwenye lips naua....
   
 7. Deo Corleone

  Deo Corleone JF-Expert Member

  #7
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 14,657
  Likes Received: 2,517
  Trophy Points: 280
  huo udhungu wafanye hukohuko, mbele yangu ni kutafuta ugomvi tu!
   
 8. N

  Nyakwec's Bro JF-Expert Member

  #8
  Jun 27, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 819
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  mzee huyo kafika mbali,hata hilo swala la kuitwa majina hata mimi cpendi kuitwa jina ambalo kila m2 anaitwa huyo ninamashaka naye mimi,mimi huwa naitwa daddy nani mimi na baba mkwe tu ndy tunaitwa hivyo akiitwa mwingine tayari nishaingizwa chaka!....
   
 9. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #9
  Jun 27, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  ndo umeanza kuwa bushoke
   
 10. e

  ejogo JF-Expert Member

  #10
  Jun 27, 2012
  Joined: Dec 19, 2009
  Messages: 994
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Anakuchanganyia mambo thio! Ndio humohumo anaingiza na mambo yao yale! Limitation inatakiwa.
   
 11. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #11
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160

  exactly!

  zilianza messages za mpenzi,sweetie etc zimekuja kiss mbele yake katulia tu?! asubiri kuletewa kitoto cha kichina hata hio itakuwa ni uzungu tu.....:A S confused:
   
 12. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #12
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,872
  Likes Received: 6,222
  Trophy Points: 280
  huyo hun' wako mmmmmh shtuka
   
 13. m_kishuri

  m_kishuri JF-Expert Member

  #13
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 27, 2010
  Messages: 1,489
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kuwa makini. Vinginevyo utakujanunua mbuzi ndani gunia.
   
 14. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #14
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  No komenti!
   
Loading...