Wanalea nini

Edmund

Senior Member
Jul 17, 2009
123
62
Labda kama sijui vizuri naomba leo Wana JF mnijuze vyema.
Utawasikia Njiani, Sokoni, Makazini oooh nalea mie au watoto wangu nimewalea vizuri kweli, wakati ukweli ni kwamba wao na Waume wanaondoka nyumbani saa 11 Alfajiri na kurudi saa 1 hadi 3 Usiku.
Sasa najiuliza kulea ni kulala na Mtoto usiku tu ( tena masaa kama 6 tu), na wengine hata kadi zaKliniki zinalala chumbani kwa "Mahausigel" wao.

Nawasilisha.
​
 
Back
Top Bottom