Binti anatafuta Mchumba

Idimi

JF-Expert Member
Mar 18, 2007
14,965
10,460
Poleni kwa majukumu wana JF.
Tarishi hauawi, naleta ujumbe kama nilivyoupata toka kwa mlengwa.
Anayetafuta mchumba ni mwanamke mwenye sifa hizi:
- Ni mrefu wa wastani, maji ya kunde
- Ana umri wa miaka 26
- Elimu, ana diploma ya mambo misitu na ana mpango wa kujiendeleza kielimu
- Ni mkristu mcha Mungu
- Amejiajiri
- Alipo kwa sasa: Dar

Mchumba anayemtaka
- Awe Mcheshi na awe na upendo wa kweli.
- Awe msomi wa ngazi ya diploma na kuendelea
- Awe mrefu 155 cm na zaidi
- Asiwe mnene sana
- Awe amejiajiri au ameajiriwa na awe serious na maisha
- Awe Mkristu

Mawasiliano
Mwenye vigezo husika hapo juu amtumie email mhusika kwa 'faith.andrew10@gmail.com', akiambatanisha na picha. Namba za simu na picha za mhusika zitatumwa kwenye email kwa mwenye vigezo.
Nawasilisha
 
Mkuu Idimi, kwa nini wewe usichukue hicho kifaa, au unapungukiwa vigezo? Wengine tunaogopa usije ukawa unatuuzia mbwa wa mwitu aliyejivika ngozi ya kondoo halafu tukaja kulia na majuto baadaye.
 
Power, mie nisha-'wowa' kitambo. Kwa hoja nyingine, tumeni email, atawajibu
 
Last edited by a moderator:
mmh nithani hilo swala la kutafuta nchumba ni nyet
na angefany mwenyewe, 1. kwanini kakushirikisha?
2. Hujamchakachua bado?
3. Mlikuwa mazingira gani hadi mkapeana info private hivyo?

ukijibu haya ntatuma email fasta because i qualify!!
 
Edo,
Ondoa shaka kabisa. Najua suala la mchumba ni nyeti ndio sababu kanishirikisha mie ndugu yake na si wengine. Yeye si mwana JF, hana access ya kupost chochote, ndio sababu muda ninaandika hiyo post nilikuwa naye. Ni ndugu yangu wa damu, hayo mengine hayahusiki. Kama upo serious mtumie email
 
Ivi uyo muombaj kwa nin asitafute hata uko mtaan ,kanisan,kazin.aje uku mmmh hapa kuna walakin kabisaaa !
 
Edo,
Ondoa shaka kabisa. Najua suala la mchumba ni nyeti ndio sababu kanishirikisha mie ndugu yake na si wengine. Yeye si mwana JF, hana access ya kupost chochote, ndio sababu muda ninaandika hiyo post nilikuwa naye. Ni ndugu yangu wa damu, hayo mengine hayahusiki. Kama upo serious mtumie email

kama anaweza kujibu email, ameshindwa nini ku-join na jf.
Mwambie ani-pm
 
Nadhani naye ungemwekea picha yake wadau waione! Sasa yeye anataka atumiwe picha wakati yeye yake hajaweka! Pia ni vizuri ukamfungulia account huku kwa JF then ukamwandikia toka ktk account yake. Inakuwa rahisi wadau kum-pm then mkaziona fasta.
 
Edo,
Ondoa shaka kabisa. Najua suala la mchumba ni nyeti ndio sababu kanishirikisha mie ndugu yake na si wengine. Yeye si mwana JF, hana access ya kupost chochote, ndio sababu muda ninaandika hiyo post nilikuwa naye. Ni ndugu yangu wa damu, hayo mengine hayahusiki. Kama upo serious mtumie email

Haya tudokeze kidogo basi,how does she looks like? kwa mtazamo wako
 
Binti yangu!Mume mwema anapatikana kwa BWANA lakini pia kabla hujafikisha meseji hapa ulifanya maombi ya kumuliza MUNGU?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom