Serious natafuta mwenza (msichana) wa kuanzisha nae familia. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serious natafuta mwenza (msichana) wa kuanzisha nae familia.

Discussion in 'Love Connect' started by mr.lonely, Jun 28, 2012.

 1. m

  mr.lonely New Member

  #1
  Jun 28, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nipo serious katika swala hili na nimeamua kwa dhati kabisa kutoka moyoni mwangu kutafuta mwenza wa maisha kwani maisha ya ubachela yana vishawishi vingi na masha ya kuruka ruka ni ya hatari. Nahitaji mwenza aliye serious na maisha na mwenye nia kama yangu ili tujenge malengo ya maisha na si kuchezeana na kupotezeana muda. Muhusika awe tayari kwa urafiki utakaoishia kwenye ndoa kama tukiridhiana. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26, mkristo na ni mwajiriwa. .Natafuta mwenza wa maisha kwa kuwa najua ni wakati wangu kufanya hivyo. SIFA ZA MLENGWA; umri asizidi miaka 25, awe mkristo au kama ni muislamu awe tayari kubadili dini, awe hajawahi kuolewa na asiye na mtoto, awe mvumilivu mwenye uwezo wa kuishi maisha ya aina yoyote, awe na malengo katika maisha, anayejiamini na aliye tayari kuishi sehemu yoyote. mengine tutaelezana baada ya kuwasiliana. Kama wewe ni msichna single na unahitaji mwenza wa maisha tuwasiliane kwa 0656380928. mawasiliano mengine baadae.
   
Loading...