Anahitaji ushauri

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,250
12,868
Dada P alikuwa na mchumba wake waliyedumu kwa muda wa miaka 5, mpaka akam-engage. now mkaka amemuacha solemba pamoja na kuwa kesham-engage. kisa ni kwamba mkaka alipigiwa simu na ndgu yake kuwa dada P ana uhusiano na mkaka mwingine. basi huyo mchumba wa dada P akachukua uamuzi wa kuachana naye na inasemekana mkaka ameshatafutiwa mchumba mwingine toka kijijini.... so anahitaji ushauri je afanyeje? na mwanaume kashikilia msimamo wa kuachana?
 
charminglady kisichoriziki hakiliki.Angekuwa mume ningesema atetee but mchumba akae pembeni kuepusha msongamano. Mungu ana watu wengi sana wengine wakipanda mlima wengine wanashuka upo hapo?
 
Last edited by a moderator:
sasa kama mwanamme kishashikilia msimamo wa kuachana hakuna cha kufanya.
 
charminglady kisichoriziki hakiliki.Angekuwa mume ningesema atetee but mchumba akae pembeni kuepusha msongamano. Mungu ana watu wengi sana wengine wakipanda mlima wengine wanashuka upo hapo?

thnx gfsonwin,kuna kitu nllisahau.yan hapo mr. X alikuwa ashatoa mahari na ilikuwa inatambilika kuwa dada P ni mke mtarajiwa wa mr. X kilichokuwa kimebaki ni kuhalalisha kwa maana ya ndoa. lakini mpk sasa mr.X kashikilia msimamo wa kutaka kurudishiwa mahari y
 
Last edited by a moderator:
Huyo mwanaume amefanya utafiti kwa alichokisikia au amekurupuka tu kufanya huo uamuzi?? Angekuwa na mapenzi ya dhati kwa huyo dada angafanyia uchunguzi alichokisikia.. ! Nampa pole huyo dada ila nampa pole zaidi huyo kaka kwani inaelekea anaishi kwa kusikiliza maneno ya watu.. Huyo dada asijali atapata mume ambaye ametoka kwa Mungu..
 
charminglady mahari ilikuwa ni indicator kwamba anamposa awe mke but it didn't work out unafikiri what next? najua kuumia kupo sana tu, tena si kipolepole but anapaswa ajue si kwamba maisha ndio yameisha, au si kwamba amekuwa nusu mtu la hasha. y

yeye ni binadamu na anatakiwa aendelee na maisha mengine. Mtie moyo, mfariji kuwa naye karibu hasa kwa outing and so forth ili asahau manake hana jinsi.tena amtoe moyoni mazima ili awe huru. hiyo pete aipeleke kwa sonara aitengeneze iwe hereni ama chochote kingine asivae pete ya uchumba akajizibia riziki
 
Last edited by a moderator:
Huyo mwanaume amefanya utafiti kwa alichokisikia au amekurupuka tu kufanya huo uamuzi?? Angekuwa na mapenzi ya dhati kwa huyo dada angafanyia uchunguzi alichokisikia.. ! Nampa pole huyo dada ila nampa pole zaidi huyo kaka kwani inaelekea anaishi kwa kusikiliza maneno ya watu.. Huyo dada asijali atapata mume ambaye ametoka kwa Mungu..

hakufanya utafiti kwan mpka sasa anaendelea na process za kuoa mwanamke mwngne. ye alivopigiwa cm tu akatake action na kumnyang'anya vitu vyote
https://www.jamiiforums.com
 
dada yetu gfsonwin nakushukuru sana kwa ushaur wa kutia moyo. dada P aliumia mpk akapungua. bt nw kaanza kupata ahuen kidogo! make tumejitahd sana kumfanyia counselling. . .
 
Dada P alikuwa na mchumba wake waliyedumu kwa muda wa miaka 5, mpaka akam-engage. now mkaka amemuacha solemba pamoja na kuwa kesham-engage. kisa ni kwamba mkaka alipigiwa simu na ndgu yake kuwa dada P ana uhusiano na mkaka mwingine. basi huyo mchumba wa dada P akachukua uamuzi wa kuachana naye na inasemekana mkaka ameshatafutiwa mchumba mwingine toka kijijini.... so anahitaji ushauri je afanyeje? na mwanaume kashikilia msimamo wa kuachana?

nadhani kaka hajashikilia uamuzi wa kuachana bali ameachana. dada P hana cha kufanya zaidi ya kuikubali hii hali, ni mambo yanayotokea, tena ni magumu kuelezea. ninaamini hili la kuwa dada P ana mahusiano na mtu mwingine ni kisingizio tu

tukumbuke kuwa kila mmoja hapa duniani anapenda kuishi na mtu ambaye ana sifa tunazo zipenda , kilichotokea hapo ni kuwa kaka P ameona kuna kitu kimepungua au kimejitokeza , ambacho hataweza kuvumilia. hawezi kumwambia dada P ukweli. jambo hili linaweza kumtokea yoyote, huenda hata Dada P angeliweza kumuacha huyu kaka sku moja. isipokuwa inapotokea inaumiza sana. nakushauri tu umfariji dada P, umuone kama mfiwa, ktk kipindi hiki kwani anamajonzi kumpoteza mpenzi wake
 
Kindimbajuu sidhani kama uko sahihi hapo kwa red, anayejua ukweli ni mhusika mwenyewe hivyo hatujui upande mwingine wa shilingi, inaweza kuwa kweli au si kweli
 
samahani, nilipaswa niseme yaweza kuwa ni kisingizio
 
dada yetu gfsonwin nakushukuru sana kwa ushaur wa kutia moyo. dada P aliumia mpk akapungua. bt nw kaanza kupata ahuen kidogo! make tumejitahd sana kumfanyia counselling. . .

Charminglady mnapoendelea na counselling msisahau pia kumpa ushauri wa kumjenga hata kama ni mchungu kuutamka, yaani ikiwa tuhuma hizo ni za kweli next time (akipata mchumba mwingine) asifanye hivyo. I know ni marafiki wachache (wakiume au wakike) wanaweza kufanya hivyo.
 
Dada P alikuwa na mchumba wake waliyedumu kwa muda wa miaka 5, mpaka akam-engage. now mkaka amemuacha solemba pamoja na kuwa kesham-engage. kisa ni kwamba mkaka alipigiwa simu na ndgu yake kuwa dada P ana uhusiano na mkaka mwingine. basi huyo mchumba wa dada P akachukua uamuzi wa kuachana naye na inasemekana mkaka ameshatafutiwa mchumba mwingine toka kijijini.... so anahitaji ushauri je afanyeje? na mwanaume kashikilia msimamo wa kuachana?

Jibu mbona liko wazi???.....amwache manake hakunaga mapenzi ya kulazimishiana!.......atapata wake aliyepangiwa na Mungu
 
Kindimbajuu, dada P hakuwa na mahusiano na mtu mwngne bali mr.X alikuwa anatafta sababu ya kumuacha dada P kwan inakuwaje mtu umuamche mchumba wako uliemu-engage thn ndan ya mwez uanze process za kumuoa mwingne? hapo huon km mr.X alikuwa ana mahusiano mengne?????
 
Last edited by a moderator:
Charminglady mnapoendelea na counselling msisahau pia kumpa ushauri wa kumjenga hata kama ni mchungu kuutamka, yaani ikiwa tuhuma hizo ni za kweli next time (akipata mchumba mwingine) asifanye hivyo. I know ni marafiki wachache (wakiume au wakike) wanaweza kufanya hivyo.

asante mito, umesomeka!
 
Last edited by a moderator:
hadithi haijakaa sawasawa
je huyo dada kwa nini asimuite aliemzushia akamuuliza?
what if its true?
 
kuwa na subira usiwe na haraka najua hizo ni hasira sikiisha atajirudi, miaka mitano ni mingi sana hivyo hawezi kukuacha kirahisi hivyo.
 
so mwanaume kalipa mahari na kutangaza kwa watu anaooa halafu
aghairi bila kuwa convinced kuwa kuna hakiko sawa?
huyo mdada anajua alichokifanya
huyo mwanaume sio mjinga
 
Back
Top Bottom