jaman mpenzi wangu alikuwa amezoea kutumia aina fulani ya lotion and she was look nice. sasa wik 3 nyuma, alikosa aina hiyo ya lotion dukan na kuamua kununua aina nyingine...unfortunately alianza...
Naomba tujadiliane juu ya haya mafunzo dada zetu wanayopewa siku kadhaa kabla ya ndoa, hususani huku mijini.
Je mafunzo hayo yanayotolewa kwa masaa kadhaa yanakidhi changamoto za ndoa? Kama kuna...
Ni Gf wa kaka yangu,juzi juzi kaka yangu kamkuta na hirizi kiunoni mwake..kumuuliza kwa nini anafanya yote yale,jibu alilompa ni kwamba anajiona c mzuri cna kama wanawake wa rafik wa kaka...
A new study carried out recently by psychology lecturers at the Western Canadian Undergraduate University, Canada, has disproved the myth that women gossip more than men. Studies have shown...
Hebu wapendwa tusaidie kuwachangia walau hata kipost 1 hawa wanaotafuta wenza humu,, kwakweli wengine inakua kama post zao zinazaraurika kbisaaa khaaa tusaidiane basi wapendwa!!! cheers
Sherri Dally
Michael Dally na Sherry siku ya ndoa yao
Michael Dally na Diana Haun
Diana, Michael na Sherry
Tokea mwanzo tangu taarifa za kupotea kwa Sherri Dally aliyekuwa na umri wa miaka...
Uutafanyaje endapo umeachwa na mtoto wa miaka 17 nyumbani na akaamua kusema kuwa umembaka? ni ndugu yake wa kike mkeo mtarajiwa na mkeo mtarajiwa anaamni kuwa kweli umefanya ivyo!nyumbani mliachwa...
Dear JF members, as we well know, dissemination of messages can be done using different methods/techniques, one of them is through pictures / illustrations, and this is usually very strong and...
Napenda kuwaomba samahani wakinadada wote wenye majina ya Angel,na pia kuhoji ni kwanini Angel tuu?Huku tunapoishi sisi mitaa kuna nyumba moja ya wageni(guest house) yote wamepangisha...
Napenda kuuliza kama ni kweli ili nawengine mkalifatilie hili.
utando huo hufanana kama maziwa mgando bt hutofautiana kati ya mwanamke mmoja na mwingine.Utando huo UMENISAIDIA SANA kugundua...
Kwanza kabisa niwasalimu wote na poleni na majukumu ya kujenga taifa letu;Nilikua na rafiki yangu wa kike,nilimpenda kweli awe mpenzi wangu ila sikuwahi kumwambia kwa kuwa tulikuwa tumezoeana sana...
Orville Lynn Majors
Wahanga waOrville Lynn Majors
Kila mgonjwa aliyewahi kukutana na muuguzi Orville Lynn Majors, alimuona kama nesi mpole na mwenye upendo wa hali ya juu na anayejua...
Mimi napenda sana warembo huo ndo ukweli, hata nikienda club nikawakuta wachache naona hapalipi.
1. Tatizo ni pale mpo mchezoni anaanza kuuliza "baby unanipenda, hutoniacha.. aah! tamu".
2...
Ukweli sijaujua kwa hili ivi kama utu ukiwa maarufu kwanini kila msichana au mvulana anataka kuwa na mahusiano na wewe? Hatakama ukiweka wazi kuwa una mke au mme bado tuu unasumbuliwa hivi hii ni...
Helo mimi ni mwanaume wa miaka 28 nina mchumba wa miaka 21 ambaye nimedumu nae kwa miaka miwili,juzi alinieleza kuwa baba yake hapendi aolewe na mtu wa kabila langu.Nilipotaka kujua msimamo wake...
Habarini za asubuhi wana jamvi... hope mko pouwa... leo nimekutana na hii nikaona nisiwe mchoyo nije kushare na wenzangu hapa......
Kuna kitu kinaitwa mvuto. Yaani hata kama mtu unampenda sana...
mmeakaje wanajamvi, me pouwa kabisa.
Iko hiv.Emma na Anna wamepishana mwaka 1 kiumr yan km Emma ana 28 Anna atakuwa na 27yrs.hawa wa2 waliwah kuwa wapenz bt kwa muda mfupi na kwa siri sana ambapo...
Wakuu poleni kwa majukumu ya kupambana na maisha.
Baada ya utangulizi pls naombeni ushauri juu ya linalonisibu.
Last year june nilikutana na binti1 mrembo sana machoni mwangu,nilipomfatilia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.