Madai ya Usawa - "Sijatoka Ubavuni Mwako" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madai ya Usawa - "Sijatoka Ubavuni Mwako"

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bazazi, Jun 27, 2012.

 1. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 2,025
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  Wanamama wameanza kudai haki zao kwa stahili Mpya.

  Soma Biramu. I DIDN'T COME FROM YOUR RIB.... YOU COME FROM MY VAGINA. Kwa wenzangu na miye maana yake. SIKUTOKA KATIKA MBAVU ZAKO.... UMETOKA KATIKA K#M@ YANGU.


  • Sijui wanaelekea wapi, na wanataka nini.
  • Kila siku wanalia na kudai haki zao.
  • Haki gani wanazotaka zaidi ya kupendwa na kutendewa kwa haki na usawa.
  • Kama biramu lao ni sawa na kweli, Je siye mimi niliyeingia mwenyewe katika k#m@ na kukaa ndani kwa miezi tisa kisha kutoka (ni mtazamo tu).
  • Tunaelekea wapi? Kwa kweli Bazazi! hajui
  Bazazi ni Bazazi!
   

  Attached Files:

 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Kweli Bazazi ni bazazi
   
 3. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2012
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 2,025
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  Kongosho! Jamani nini tena unanishamulia? Nimekosea wapi? Kwani Biramu hujaliona ? Usininyanyapae mtoto wa wanamke mwenzio.

  Ndimi Bazazi!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Jun 27, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Ngoja wenyewe waje watakung'oa nywele leyo

  Umewaambia sio ubavu wako?

  Ila hizi haki hazina mashiko kabisa, mie sizipendi ila basi tu

   
 5. Blaine

  Blaine JF-Expert Member

  #5
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 2,285
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  LoL! i thought this was a troll thread until I saw the pic.
   
 6. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #6
  Jun 27, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  ile ilikuwa beijing baazazi, hiyo ni wapi nijiandae kwenda! lolest! Young_Master am coming for u!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #7
  Jun 27, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,943
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  Bazazi ma bro lakini sijui hawa wanaongelea era ipi manake wakati wa uumbaji tulktoka ubavuni, na baada ya anguko la dhambi mambo yakawa tofauti kwani tunatoka kwa uume wa baba na kuingia tumboni mwa mama kupitia uke wake mama na kisha tuzaliwapo tunapitia uke wa mama.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #8
  Jun 27, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Wanawake wanadai haki waliojipokonya wenyewe.....................................
   
 9. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #9
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Hahahaaaaaaaa...........
  Basi mkubali kwamba tuliwaruhusu muingie into our ........
  Namimi nikachangia kutungwa kwako
  nikakuweka tumboni mwangu for 9months huku ukinipa tabu
  nikaruhusu utoke tena kwa maumivu
  sasa hii ya kutoka kwenu kwenye mbavu zenu inatoka wapi?
   
Loading...