Are you a man aged 33-40??

destiny1

JF-Expert Member
Jun 18, 2012
249
121
Mhhh sijui nianzie wapi ila kwa kweli kumpata a man of your dream ni bahati, basi na mimi katika pitapita zangu zote huko nilipotoka nimeishia kuumia bado sijampata wa sifa na vigezo vyangu na nikampenda na yeye anipende, japo wengi wanatangaza nia, ndio maana nimeamua nijitose hapa nibahatishe huwezi jua, Niko serious and specific kidogo mtanisamehe kwa hilo jamani kipenda roho hula nyama mbichi

Im looking for a man
1.With a heart to love truly, respect and care for the person he loves
2.The one with kid/kids and divorced/living alone atapewa kipaumbele
3.Christian
4.Don't care about the skin color, just good looking hahah, Should be confident about his look
5.not less than 33yrs not more than 40yrs
6.Should be employed or own business or both, a person with big dreams za maendeleo
7.Awe Faithful and straight asiwe muongo
8.Not less than 1.65M height not more than 1.85 (though not very important)
9.you could be drinking ocassionally or not ila usiwe Mlevi
10. Education not less than a diploma but with sharp mind
11. Anayejua kudeka na kudekeza

About me
1.I'm a woman with a heart to love truly, respect and care for the person I love
2.I have two kids from one man, I'm living alone
3.Christian
4.Light skinned, sio mnene wala mwembamba and good looking (lol)
5.Early 30s ( I look younger than my age)
6.Employed and run my own small business and dream so big
7.Faithful, straight sina na wala sipendi longolongo
8.Height around 1.56m-1.60m
9. I drink occasionally
10.Education- degree
11. I love to be happy all the time, I respect one's decisions and freedom

Walio interested na wanavigezo waniPM, maswali ya wenye vigezo tu ndio yatajibiwa, criticism is allowed lakini taratiiiibu jamani mhhh!! Watajibiwa wenye vigezo visivyopungua 80% tu. Asanteni na poleni kwa kuwachosha na maelezo marefu.
:peep:
 
kila la kheri dada...dah kigezo cha umri tu kimenitupa mimi nina miaka 30 jaman nifikirie hivyooo
 
Ahsante sana..ngoja nimalizane na huyu mkaburu tuwasiliane vizuri.
 
Hujawahi kuumizwa wewe, ungekuwa umewahi usingejitosa humu na kuomba mwanaume mwenye uwezo wa kuigiza. Mnakuwa na matatizo gani mpaka muombe kuolewa?

Hivi unataka nini zaidi ya kukumbana na msaniii? Mwanaume wa maisha hatafutwi mtandanoni. Mkristo wa wapi wewe mama? Sema una jina la kikristo, dini yetu haijaelekeza mwanamke kutongoza.

''the bible says that he that finds a wife finds a good thing, I take that to mean that it is the guys responsibility to go out and look in order to find the good thing they are looking for''
 
Mkuu tatizo liko wapi kwa yy kuelezea suala lake..hata humu mbona wanapatikana tu.
 
Hujawahi kuumizwa wewe, ungekuwa umewahi usingejitosa humu na kuomba mwanaume mwenye uwezo wa kuigiza. Mnakuwa na matatizo gani mpaka muombe kuolewa?

Hivi unataka nini zaidi ya kukumbana na msaniii? Mwanaume wa maisha hatafutwi mtandanoni. Mkristo wa wapi wewe mama? Sema una jina la kikristo, dini yetu haijaelekeza mwanamke kutongoza.

The bible that you are reffering to, inaruhusu kucritisize watu?? you dont know me and you are definetely not the one im looking for, ninayemtafuta atanielewa, its obvious this is not meant for you. na nakushangaa umefuata nini jukwaa hili?? if you can just excuse me!
 
Hujawahi kuumizwa wewe, ungekuwa umewahi usingejitosa humu na kuomba mwanaume mwenye uwezo wa kuigiza. Mnakuwa na matatizo gani mpaka muombe kuolewa?

Hivi unataka nini zaidi ya kukumbana na msaniii? Mwanaume wa maisha hatafutwi mtandanoni. Mkristo wa wapi wewe mama? Sema una jina la kikristo, dini yetu haijaelekeza mwanamke kutongoza.

''the bible says that he that finds a wife finds a good thing, I take that to mean that it is the guys responsibility to go out and look in order to find the good thing they are looking for''

The bible that you are reffering to, inaruhusu kucritisize watu?? you dont know me and you are definetely not the one im looking for, ninayemtafuta atanielewa, its obvious this is not meant for you. na nakushangaa umefuata nini jukwaa hili?? if you can just excuse me!
 
Baba wa watoto wako yuko wapi? Mna mawasiliano yoyote? Kwanini hamuishi pamoja. Jinsia ya watoto wako? Wana umri gani? Wasije wakaniharibia vibinti vyangu lol
 
Hi Aspirin, njoo PM unipe na vigezo vyako kwanza ndio nitakupa details nitakaporidhika na vigezo vyako, lakini kwa level hii naona hii information inatosha.
 
Kabla sijaenda PM waweza niambia hii relationship unayotaka ni ya kudate, kuishi pamoja mpaka kieleweke au ndoa? Samahani kama ntakuwa nimekukwaza kwa viswali vyangu mbuzi.
 
Wee mzee hukosekani popote?!
Heee!!! Vipi bana!!
 
Kabla sijaenda PM waweza niambia hii relationship unayotaka ni ya kudate, kuishi pamoja mpaka kieleweke au ndoa? Samahani kama ntakuwa nimekukwaza kwa viswali vyangu mbuzi.
hii itakuwa kwanza urafiki wa kawaida ukipass ni relationship ya kudumu na baadae tukiendana ndoa
 
Back
Top Bottom