huyu binti nilimpenda sana ila kutokana na makorokocho yake alonifanyia sitaki sitaki simtaki sipendi sipendi simpendi tena cha ajabu ananisumbua,nilimchukulia poa nikajitenga pembeni kuepusha...
Asalam Aleykum!
Kwa kweli I am rather a traditional African man, sticking straight to my roots...
Nimeikumbatia 'role' ya mwanamume wa kiasili wa kiafrika na sijaona tatizo kwenye majukumu ya huyu...
Jamaa yangu ana gf wake wanadai wanapendana, jamaa kinamuumiza hawezi kumwachia simu yake even for a minute,anadai eti kuna vitu ni private hawezi mwachia mtu.......jamaa kiujanja ashadakaga...
hop mtakubaliana na mimi kuwa suprise ya kumtembelea mpenzi wako bila kumwambia ni nzuri kwa mpenzi wako ila inaweza zua balaa pia., utafanya nini utakapofunga safari na ukamfumania mpenzi wako...
jamani naombeni msaada wenu wa kimawazo, hivi umemkuta mtu anamtoto wake (mke) na wewe ukazaa nae ila hujawahi sikia kuwa huyo mtoto amepigiwa simu na baba yake hata siku moja ghafla usiku wa saa...
Mpango wangu wa kutaka mwanamke wa kihindi umegonga mwamba.
Nimejaribu kwa wanawake wanne akiwemo na yule aliyewahi kuniminya
mkono kule posta, watatu wamenikataa huku mmoja akisita kutokana
na...
Aliwahi kuolewa kwenye familia ya waarabu akaachika kwasababu hazai. Nilipokutana naye kwa mara ya kwanza ukweli huo hakunieleza.Niliendelea naye hadi akapata ujauzitona kujifungua mtoto wa...
MWANAUME AKATWA MKONO
Naye Victor Bariety wa Geita anaripoti kuwa mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari ya Nyakamwaga wilayani hapa, amenusurika kifo baada ya kudaiwa kufumaniwa...
mara nyingi najiuliza mwanaume akitoka nje ya ndoa haipewi uzito sana kama ni kosa ingawa ni kosa,sasa upande wa wanawake akitoka nje ya ndoa jamii kwa ujumla inamwona ni malaya sana tena...
ninaishi katika ndoa sasa mwaka wa tatu nimejaliwa kuwa na mtoto mmoja kinachonishangaza mke wangu amebadilika sana ,kimapato hali yangu si mzuri ukilinganisha na awali ,kila siku kugombana tu...
Unazaliwa ukiwa peke yako na kulelewa na wazazi na ndugu zako wa karibu kwahiyo kwa hali halisi ungetakiwa kuwapenda zaidi hao kuliko mtu mwingine yoyote.
Lakini unakua na kufikia stage ambayo...
Ningependa ni mwanamke mwenye sifa sifuatazo:
1. Awe Mrefu au mwenye kimo cha wastani (sio mfupi), rangi yeyote ile....(mweusi,mweupe,maji ya kunde...poa tu).
2. Awe na Elimu kuanzia kidato cha...
nimekuwa katika mahusiano ya tempo kwa miaka kadhaa kutokana na kuwa na mpenzi ambaye sikuwa na makubalino naye ya kuoana, sasa hivi karibun nimepata bintii ambaye tulipo anza mahusiano...
Hivi sasa wataalamu wamegundua kwamba wanawake walio kwenye kusongeka kiakili hula sana kuliko wanaume. Katika kula huko, hujikuta wakinenepa kupindukia.
Mwanasaikolojia Robert Jeffery anasema...
Anakaribishwa mwanadada mtu mzima kuanazia miaka 30 kwenda juu, kwa mahusiaono kimapenzi. Umri wangu ni miaka 41.sina masharti zaidi. Atakayekuwa radhi tafadhari niandikie private msg.
Jamani mimi nimekua vya kutosha,nina miaka 30,
natuta binti wa kua aliekulia katika maadili yalo mema.
sifa sasa.
1.asiwe baunsa
2.mfupi sana na mnene sana sipendi.
3.shule si muhimu sana ila...
Pole
najua ulitaka kujuiuliza didy anavuta wa pili nini hapana airuhusu
kuna mtu katupigia jana kwenye maombi akiomba tumsaidie jamani na hilo tatizo
hapo juu ..najua ni gumu kulikubali lakini...
heshima mbele wanajamvi
juzi kati nlikuwa safari. katika safari kulikuwa na wakaka wawili ninaofahamiana nao. 1 alifunga ndoa mwaka jana,mwingine mwaka juzi. basi kupiga chabo kwenye vidole vyao...
uwa nikisikia au kona watu eti wanaoa au wanatangaza ndoa, uwa najiuliza mara kumi kumi ivi wanajua wanachofanya, hii inatokana na experience yangu na hawa viumbe, especially my last 3 failed...