Nimejaribu nimeshindwa, Sasa nimeamua kuoa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimejaribu nimeshindwa, Sasa nimeamua kuoa!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by GAZETI, Jul 3, 2012.

 1. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #1
  Jul 3, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,534
  Likes Received: 1,021
  Trophy Points: 280
  Mpango wangu wa kutaka mwanamke wa kihindi umegonga mwamba.
  Nimejaribu kwa wanawake wanne akiwemo na yule aliyewahi kuniminya
  mkono kule posta, watatu wamenikataa huku mmoja akisita kutokana
  na hofu ya familia yake na kitisho cha kurudishwa India kama alivyofanyiwa
  dada yake ambaye alichumbiwa na Mpemba.
  Imeniuma sana maana zoezi lote hilo nimeambulia kujifunza kihindi tu
  kama nilivyoshauriwa na wadau hapa jukwaani.

  Kwa sasa nimepata mwanamke wa Msumbiji ambaye baba yake ni mreno (Hamjui)
  mama yake ni mwafrika. Na ninakukaribisheni (angalau muhudhurie kwa roho zenu)
  katika ndoa itakayofanyika Jumamosi ya Tar 29/12/ 2012 Mungu akipenda.
  Ndoa itafanyika Mweda au Nangadi kutokana na makubaliano ndugu wa bi Harusi
  mtarajiwa. KARIBUNI SANA.
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  mweda au nangandi ndo wapi huko?
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Jul 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  mmmh, chotara?
  Hongera ubadili mbegu ya ukoo.

  Neh neh!
   
 4. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #4
  Jul 3, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,534
  Likes Received: 1,021
  Trophy Points: 280
  Iko Msumbiji mkuu.
   
 5. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #5
  Jul 3, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Tuwekee na kapicha ka huyo shemeji yetu mkuu.
   
 6. Catherine

  Catherine JF-Expert Member

  #6
  Jul 3, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Huyo ndie chaguo lako kutoka kwa mungu. Hongera sana.
   
 7. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #7
  Jul 3, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Duuh uncle kumbe uliikataa kabisa rangi nyeusi, umezuga na wahindi bila mafanikio sasa unachotara wa kireno. Hongera ndugu.
   
 8. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #8
  Jul 3, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Acha hiyo ndio maana sisi mawifi tunapigwa ban nyumba za watu.
   
 9. l

  lugano5 JF-Expert Member

  #9
  Jul 3, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 4,342
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 5
  heko bana mimi mwenyewe nina mhindi anaitwa shreya
   
 10. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #10
  Jul 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  mie namsifia kaka, katubadilishia mbegu.

  Badala ya mchele wa kitumbo katuletea supa lol

   
 11. BABU CHONDO

  BABU CHONDO JF-Expert Member

  #11
  Jul 3, 2012
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 859
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Iko siku utarudi kwa wachina.

  Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
   
 12. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #12
  Jul 3, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  wadada weusi tulikufanya nini? :sleepy:
   
 13. L

  Lindongo Member

  #13
  Jul 3, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hongera kwa kupenda rangi. Kinachofuata ni kufungua kiwanda cha mbao sofala.
   
 14. L

  Lindongo Member

  #14
  Jul 3, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mwanamke wa nchumbiji raha, we nchomba utafaidi utamu. Hongera iko siku utakuwa shemeji au binamu wa christian ronaldo.
   
 15. by default

  by default JF-Expert Member

  #15
  Jul 3, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mimi nina chotara wa kifaransa.
  Ila jamaa asiwe kapata mmakonde anamwita mreno
   
 16. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #16
  Jul 3, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,804
  Likes Received: 1,118
  Trophy Points: 280
  Dah umenikumbusha ile story ya mine boy yule mbinti aliyekuwa na kauli hii I'm black outside, but I'm as white as Europeans inside me.
   
 17. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #17
  Jul 3, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Pole, kwani what is so special with Wahindi?
   
 18. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #18
  Jul 3, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,534
  Likes Received: 1,021
  Trophy Points: 280
  Subiri mambo yakiiva nitaweka nyingi tu.
   
 19. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #19
  Jul 3, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,534
  Likes Received: 1,021
  Trophy Points: 280
  Duh hongera mkuu!
   
 20. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #20
  Jul 3, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,534
  Likes Received: 1,021
  Trophy Points: 280
  Ah, hapana mkuu huko sijafikiria kabisa.
   
Loading...