The Privacy In Relationships...

super thinker

JF-Expert Member
Nov 16, 2010
370
109
Jamaa yangu ana gf wake wanadai wanapendana, jamaa kinamuumiza hawezi kumwachia simu yake even for a minute,anadai eti kuna vitu ni private hawezi mwachia mtu.......jamaa kiujanja ashadakaga facebook account ya huyo gf wake just out of curiosity, there was nothing suspicious,na akazidi kumwamini, demu alipojua hakufurahia. Kuvunja privacy jamaa anamwachia demu wake simu ajinafasi nayo ila demu anadengua akijua lengo la jamaa.........IS IT WISE,AU PRIVACY SHOULD BE RESPECTED INTO RELATIONSHIPS??!!?????!!!
 
This is complicated.

Nevertheless, honesty and transparency are almost always the best policy!
 
Haya ya Privacy ukiyaendekeza, utakatazwa kumchungulia akiwa anaoga.
Anyway, kila mtu na kifua chake cha kubeba mambo.
 
mimi najiuliza hiyo line ya privacy ikoje
ku demand password ya facebook na email za mpenzi wako ni
right au ndo mbaya kwani waweza kuonesha your insecurities zako
na je what if awe na facebook id ya siri?email za siri?
 
  • Thanks
Reactions: bht
Jamaa yangu ana gf wake wanadai wanapendana, jamaa kinamuumiza hawezi kumwachia simu yake even for a minute,anadai eti kuna vitu ni private hawezi mwachia mtu.......jamaa kiujanja ashadakaga facebook account ya huyo gf wake just out of curiosity, there was nothing suspicious,na akazidi kumwamini, demu alipojua hakufurahia. Kuvunja privacy jamaa anamwachia demu wake simu ajinafasi nayo ila demu anadengua akijua lengo la jamaa.........IS IT WISE,AU PRIVACY SHOULD BE RESPECTED INTO RELATIONSHIPS??!!?????!!!

mbona unajikanganya na wewe...jamaa yupi ndo yupi sasa?
 
mimi najiuliza hiyo line ya privacy ikoje
ku demand password ya facebook na email za mpenzi wako ni
right au ndo mbaya kwani waweza kuonesha your insecurities zako
na je what if awe na facebook id ya siri?email za siri?

That's why I said it's complicated. Manake kweli kabisa mtu anaweza akawa na accounts kadhaa za Facebook. Kuna mdada namjua ana account 4 huko Facebook. Email ndo usipime kabisa...nadhani anazo zote kuanzia Gmail hadi Ymail. So huyu anaweza akakupa access ya mbili au tatu kati ya zote alizonazo na wewe ukaingia mkenge kuwa yuko muwazi kumbe unapigwa changa la macho tu.

It's very complicated.
 
That's why I said it's complicated. Manake kweli kabisa mtu anaweza akawa na accounts kadhaa za Facebook. Kuna mdada namjua ana account 4 huko Facebook. Email ndo usipime kabisa...nadhani anazo zote kuanzia Gmail hadi Ymail. So huyu anaweza akakupa access ya mbili au tatu kati ya zote alizonazo na wewe ukaingia mkenge kuwa yuko muwazi kumbe unapingwa changa la macho tu.

It's very complicated.

au mtu jf anapewa password ya Bwan'chuchu...lol
si unamhurumia? lol
 
Nadhani hii ni privacy kubwa sana lakini watu hawaiogpi.
Wanaogopa vitu ambavyo mi naona ni vidogo vidogo sana.

Hii topic waweza patia phd kabisa.

hiyo privacy inaapply kwenye simu tu na fb? Kwenye kuvuliana kiguo cha mwisho na kujigyjigy hakuna privacy??????
 
Privacy gani?
Upuuzi mtupu
Mi mtu akitaka kuwa na mimi sharti no moja anipe simu yakesiku mbili
Hutaki chapa lapa
Sidanganyiki tena
Privacy wewe ni fbi
Kwenda huko
 
Huenda huyo gf wake hajamsoma vya kutosha kiasi cha kumwamini na kumwachia ajue taarifa zake, kwa maisha ya sasa watu wengi walio katika mahusiano(kabla ya ndoa) lazima wafanye utomaso, m2 anakuwa na marafiki au wapenzi zaidi ya mmoja anafanya uchambuzi hivyo ampe muda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom