Kuishi na mtoto wa kambo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuishi na mtoto wa kambo

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by wamba, Jul 9, 2012.

 1. w

  wamba Senior Member

  #1
  Jul 9, 2012
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 174
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  jamani naombeni msaada wenu wa kimawazo, hivi umemkuta mtu anamtoto wake (mke) na wewe ukazaa nae ila hujawahi sikia kuwa huyo mtoto amepigiwa simu na baba yake hata siku moja ghafla usiku wa saa 3 anapiga anadai anatka kuongea na mwanae kupitia simu ya mke wako je nini unatakiwa kufanya ili kuyaweka haya mazingira vizuri?.
  naombeni msaada wenu wana JF.
   
 2. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #2
  Jul 9, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,431
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  mnampa tu simu awe anaongea na mwanae...
  pia kama roho inakuuma sana tafuta simu maalumu isiwe yako wala ya wife mumpe na number awe anaongea na mwanae muda wowote...inaweza kuwa ya dada hv...
  punguza wivu mkuu...angekuwa ana lengo baya angemtafuta mkeo kwa siri...relax
   
 3. H

  Hute JF-Expert Member

  #3
  Jul 9, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,045
  Likes Received: 3,916
  Trophy Points: 280
  mwambie mkeo akate simu alafu atumie simu yako wewe kuongea na uyo mtoto kwasababu wewe hapo ndo unamlisha na kutunza hivyo atumie tu namba yako. la sivyo, wanataka kukumbushia enzi hizo walivyokuwa wanatafuta mtoto, labda upendo haukufa wote.
   
 4. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #4
  Jul 9, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Saa 3 usiku sio muda mrefu sioni shida labda amemkumbuka mtoto. Lazima watu waaminiane saa nyingine, ukizaa na mtu uhusiano haufi labda in exceptional cases.
   
 5. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #5
  Jul 9, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  Zingatia kuwa mahawala huwa hawaachani. Na kama alimwachia na mtoto, umeliwa mkuu! Asikudanganye mtu wanawake sio watu! Mwanamke anaweza kuwa na mabwana hata zaidi ya 3 na wote anawaweka sawa!

  Shachoka mie na hawa viumbe.
   
 6. w

  wamba Senior Member

  #6
  Jul 9, 2012
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 174
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  thnkx for your opinion SMILE
   
 7. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #7
  Jul 9, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Nadhani mawasiliano yapitie kwako wewe baba mlezi na sio kwa mama!
   
 8. w

  wamba Senior Member

  #8
  Jul 9, 2012
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 174
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  Zingatia kuwa mahawala huwa hawaachani. Na kama alimwachia na mtoto, umeliwa mkuu! Asikudanganye mtu wanawake sio watu! Mwanamke anaweza kuwa na mabwana hata zaidi ya 3 na wote anawaweka sawa!

  Shachoka mie na hawa viumbe.

  Mbona unanitisha mtu wangu, ndiyo ni kweli na nilijaribu kuongea nae akasema km ningekuwa na nia mbaya ningekuficha hata haya mambo ningekuwa sikwambii kwakuwa mwanzo alimwita mtoto then akafunga mlango wa chumbani nilipotaka kwenda alinizuia nisiende, baadae nikagundua kuwa anaongea nae kwakuwa mwanzo hakuwa ananiambia au sijawahi kuambiwa kuwa mtoto huwa anaongea na baba yake ila imetokea nikiwepo na alikuwa mwenye wasiwasi sn, iliniuma sn kwakuwa muda mwingi nakuwa sipo ingawa jamaa anafanya kazi mkoa mwingine wa mbali lakini huwezi jua nini kinaendelea wakati mimi nipo kazini
   
 9. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #9
  Jul 9, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  km anajificha ficha io issue ingne....
  mweleze mapema kwamba aupend ukenge wake
   
 10. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #10
  Jul 9, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,943
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  mkuu wamba hapa naomba nkwambie hivi ingawa naweza kutofautiana na wenzangu wote.
  Kwanza kabisa ujue kuwa wewe ndiye unayeish hayo maisha and not anybody else so serikali yako ambayo ndio kichwa chako inatakiwa iamue.

  kwangu mimi mtoto wa kambo siyo ishu kabisa si mama alikwambia? na ukajua kuwa yuko kwa baba yake? na mkeo unaish naye wewe?sasa hapo tashwishwi yatoka wapi?

  kaka amini maneno yangu, mkeo hawez kukusaliti kwa staili hiyo na si kweli kwamba mahawara huwa hawaachani. na huyu hakuwa hawara bali alikua pengine hata mchumba ila haiku work out. kama mm wewe namwacha aongee na hata wewe unaongea naye na siku akifunga shue mwite mtoto aje kupumzika likizo ili pia amfurahie mama yake. nakwambia mpende huyu mtoto wala usiumie roho kwa kumuona anawasialana na mkeo.

  hapo ni busara tu inabidi kutumika wala siyo hisia za mapezi mkuu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #11
  Jul 9, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  habari yako Rose1980,mzima wewe?
  Kama mtoto ana uelewa wa kutumia simu mnunulieni mchinese wa elfu 25 awe anawasiliana na baba ake ili kuondoa utata wamba
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. L

  Lady G JF-Expert Member

  #12
  Jul 9, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 517
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Penda hii ushauri. Kamata like
   
 13. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #13
  Jul 9, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  Penye ukweli tuambizane ukweli, kama huoni asara yoyote kushare penzi na huyo jamaa, wala usijiangaishe kufuatilia. Ila ukifuatilia, mkuu utagundua mengi. Let it go to it's first choice. Jenga mazingira ya kulea mtoto wako.

  Swali: Kwa nini uliamua kuchukua used hadi yenye toto? Bora used isiyokuwa na mtoto,
   
 14. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #14
  Jul 9, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  isome vizuri mada weye!
   
 15. L

  Lady G JF-Expert Member

  #15
  Jul 9, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 517
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nimependa hii. Kamata like manual. No kuona kitufe
   
 16. L

  Lady G JF-Expert Member

  #16
  Jul 9, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 517
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hii nayo poa, kamata like
   
 17. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #17
  Jul 9, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Dear, yeye na mke wake ndio wanaishi na mtoto, halafu baba mzazi anawapigia sim usiku kwa kupitia sim ya madam, anataka kuongea na mwanae.
   
 18. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #18
  Jul 9, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  Umependa nini sasa? Au na wewe ni type hiyo ya kumdanganya mwenzio!!!
   
 19. L

  LaConsuelor Member

  #19
  Jul 9, 2012
  Joined: Jul 7, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kill ur self then
   
 20. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #20
  Jul 9, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  Akhsante kwa ufafanuzi wa summary!
   
Loading...