Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Swali hili nimepewa leo na dada ambae tunaishi nae hapa uswazi,ndo nikagundua kumbe wanawake wana mbwembwe nyiiiingi lakini mawazo yao ni hapoo! . . . . . . . . . . . . . . . .. . . . . . . . ...
0 Reactions
52 Replies
4K Views
Umewahi kujiuliza hili umewahi kujua nan anakupenda nani akupendi..............,hivi kwa nini watu wanafurahia sana waakati wanapooana lakini wakiwa wanaachana unakuta wengi wanafurahia kimoyo...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Hi,naitwa Sean nipo Dar,napenda kuogelea,kuimba,beach na kusafiri,I am Fun,Charming,easy to get along with&gentle. Nina miaka 27,elimu ya chuo(IFM). Asanteni.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mimi ni kijana miaka 27 mwajiriwa ktk idara 1 serikalini, vilevile nko mwaka wa mwisho ktk moja ya chuo kikuu hapa mjini. Natafuta rafiki wa kike ambaye atakuja kuwa mwenza wa maisha hapo baadae...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Utakuta mkeo kawaagiza mashosti na ndugu zake anatafuta binti wa kazi wa ndani wakiletwa zaidi ya mmoja anachagua asiye na mvuto kuliko wengine eti ili asije akamuibia mumewe.Yaan hawa viumbe...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Kama unatamani kufanikiwa katika uhusiano wa kijamii, ni muhimu ukakubali ukweli kwamba si kila mtu atakupenda, si kila mtu atavutiwa na ujio wako na hasa kwa mara ya kwanza. Kila mtu anacho...
5 Reactions
20 Replies
3K Views
Mimi Mwanamume mwenye miaka 40, nimeachwa na Mke wangu kwa sababu nimekata kuokoka kwa Mwingira. Natafuta mwanamuke mwenye sifa zifuatazo: Awe na Umri kati ya miaka 30 na 35. Awe tayari kuzaa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
eti unakuta wakaka wanatambiana mie tangu nianze mahucano ya kimapenz na mabinti hadi sasa naweza jaza coasta mbili mwingne anasema ww coasta mbili tu mie najaza mohamed trans tatu..,wat z ths?
1 Reactions
67 Replies
6K Views
Kuna kitu kimoja kinantatiza sana wanawake wengi kama si wote wakifika stage wakawa na conflict na mpenzi wake wana revenge kwa kutembea na mtu/ watu wengine na mara nyingi kipindi hicho ndo...
0 Reactions
90 Replies
8K Views
nipo naye kwenye uhusiono yapata mienzi sita.kiukwel nampenda tena sana na nina malengo nae mazur tu ya kuwa mume na mke.tatizo ambalo linanikera ni wivu wake.kwa siku hunipigia simu zaidi ya mara...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Kwenye Biblia,Mw 2:18 imeandikwa;"BWANA Mungu akasema,Si vema huyo mtu awe peke yake,nitamfanyia msaidizi wa kufanana nae".Ndipo akamletea wanyama kibao lakini hakuonekana wa kufanana nae,Mw...
2 Reactions
83 Replies
7K Views
Wakuu maji yamenifika shingoni,mwaka jana mwshoni,nlikutana na binti mmoja,mwanafunzi wa mwaka wa pili chuo kikuu kimoja dodoma,baada ya siku kadhaa,nikatembea nae,lakini sikuwa na mapenzi...
1 Reactions
75 Replies
8K Views
Swala sio kupata mtoto swala ni ile damu uliomwaga ama ulishiriki ama ulijaribu kutoa msada ukisoma somo la damu ya yesu utaona kumbe damu inaongea ...na sishangai hata haya matatizo ya madk...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
helo my dearests... basi bwana nilikuwa kwenye kikundi tulikuwa na semina ya kujifunza ujasiriamali maledies mjini hapa... si mnajua maisha magumu mishahara yenyewe kidogo wanaume wenyewe...
6 Reactions
91 Replies
15K Views
Ukisikiliza watu weengi wanavyowazungumzia wazazi wao ni nadra sana kusikia wakizungumza in a negative way mara nyingi utakuta wanawasifia sana wazazi wao hata kwa vitu ambavyo hao wazazi walikuwa...
5 Reactions
31 Replies
3K Views
nafafuta mchumba wa kike mwenye sifa zifuatazo 1.awe na hofu ya mungu mean ana sali 2.mkristo 3.awe na elimu kuanzia diploma na kuendelea(understanding) 4.good looking chocolate colour au mweupe...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Siku za hivi karibuni kumekua na migomo ya sekta nyeti sana inayohusu uhai wa bindamu,Udaktri.Wapo waliounga mkono wapo waliopinga migomo hiyo iliyotokea kwa nyakati tofauti.Lakini pia wapo...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Someni hii nimeinyaka toka gazeti la leo la 'mwananchi' uk wa 20: Mtoto amtundika ujauzito mama mzazi: Kijana mmoja huko zimbabwe ameripotiwa kuwa na mahusiano na mama yake mzazi na amemtia...
0 Reactions
53 Replies
6K Views
Huyu Kijana ni fundi ujenzi, anasimamia project yangu moja ya nyumba, sasa jana nimefika home nikakuta yuko nyumbani na mke wake, eti kaja kuniaga amepata safari ya ghafla anakwenda Mwanza kuna...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Back
Top Bottom