ah!!!! Jaman yamenikuta msaada plz

LOOOK

JF-Expert Member
May 17, 2011
3,389
672
nimekuwa katika mahusiano ya tempo kwa miaka kadhaa kutokana na kuwa na mpenzi ambaye sikuwa na makubalino naye ya kuoana, sasa hivi karibun nimepata bintii ambaye tulipo anza mahusiano tulikubaliana kuja kuwa mume na mke kwan kabl ya hapo tulishakuwa tunafahamiana ingawa si katika mahusiano, lakin tatizo ambalo naliona kwa huyu binti ni kwamba ana "k" pana sana ambapo huwa inanifanya nichelewe sana kufika na hata yeye pia huwa anachelewa kufika na ili afike ni lazima anyoshe miguu kabisa ndo anafika sasa hii hali inanifanya nisienjoy game kwan yanibid nijizuie kufika haraka ili afike yeye kwanza, kwan nhisi nkiwahi mimi ndo kwanza ntamuacha njian,na kama mnavo jua round ya pili ndo huwa kunapwaya zaid, nomba msaada wenu wa ushauri nifanye nini? au nimuache?kwan hata jmaa aliye kuwa naye mwanzo alimuacha ingawa sijui km sbabu ndo hii ama la.
 
Hilo lisikuumize kichwa huwa zinakaza baada ya muda mpaka inabaki kuwa size ya uume wako. Alafu ka unavaa mkapime uingie peku huenda ikasaidia mfike kwa pamoja mapema.
 
hahaha....eti jamaa aliyekuwa nae alimuacha...eh labda mwana nae aliona anatwanga maji kwenye kinu haha
wewe bana ukienda na fikra hiyo kila demu utaacha maana wengi wao walishawahi kuwa na majamaa na kuachwa. sasa hapa mwana itabidi utafute tuu style ipi kwa bed itawawezesha wote muweze kufika mwisho wa safari....ni maujanja tuu kaka hapa mbwaga.
 
Hebu google 'kegel exercise'
Ili kupata matokeo inachukua miezi 6+ lakini inasaidia sana. Mfundishe kufanya hilo zoezi na wewe pia ufanye itawasaidia kwenye kuji-control.

Kiufupi: wakati wa kutoa haka ndogo, hakikisha kibofu kimejaa (umebanwa). Achia haja kwa sekunde kadhaa, kisha ikate kabisa kwa sekunde 5. Endelea hivyo hadi utakapomaliza. Wakati uko bored kaza misuli na kuiachia (works when u ar talking to a boring person, safarini, kikaoni etc).

Urudi kutupa feedback (source: mzizimkavu) lol!
 
sijakuelewa vizuri
 
Hahahaa sasa hata kama ukipata mwenye k ndogo ukamuoa then akazaa watoto do you think ataendelea kubaki na k ndogo??utamuacha mke wako wa ndoa kisa k imeongezeka size?think big!!
 
Au kadude kako kadogo kuliko ya mtangulizi wako?

Anyway, fuata ushauri wa King'asti!
 
Last edited by a moderator:
Duh!Haya mambo nilikua siyajui,ubikra huu kazi kwelikweli.Hivi wenye k kubwa huwa wanafananaje vile?Na wenye ndogo je?Niambieni nijue nichague mwenye alama ipi!
 
Duh!Haya mambo nilikua siyajui,ubikra huu kazi kwelikweli.Hivi wenye k kubwa huwa wanafananaje vile?Na wenye ndogo je?Niambieni nijue nichague mwenye alama ipi!

ngoja tumsubiri mtoa mada atupe majibu.
 
Ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi kaka, ebu nenda kwa babu yako kama yupo hai atakueleza nini ufanye manake wengine
wanakosa elimu na darsa tamu kama hili, unaweza kua unamuona mwenzio ana hall kubwa kumbe wewe ndio machezo hujui...
 
Lakini wewe si mwanamke bana au?Huna ka uzoefu kidogo namna mlivyo?Utakua umenisaidia,nitakapochagua mke nijue!

Mimi kama mwanamke siwezi jua bhana,unless yy aniambie. but akiwa kimya saasa mi nitajuaje?
 
ni kukosekana kwa ufundi tuuuuh... maana hata ukkiwa na dushelele kama kidole kidogo na yeye awe na K kubwa u need to find friction hata kwa pembeni coz women are very sensitive so utamfikisha tuuuuu
 
Back
Top Bottom