je utapenda kuwa wapenzi,

maingu z

Senior Member
Apr 2, 2012
134
18
Anakaribishwa mwanadada mtu mzima kuanazia miaka 30 kwenda juu, kwa mahusiaono kimapenzi. Umri wangu ni miaka 41.sina masharti zaidi. Atakayekuwa radhi tafadhari niandikie private msg.
 
Dah! Kweli kupata mpenzi ni kaazi..Tangu umetoa hili tangazo hujapata tuu kakangu au umepata sema ndo vile hujawapenda??? Usijali utapata tuu.
 
Dah! Kweli kupata mpenzi ni kaazi..Tangu umetoa hili tangazo hujapata tuu kakangu au umepata sema ndo vile hujawapenda??? Usijali utapata tuu.

humu wengi ni wasanii dadangu. wapo lakini mnawasiliana siku mbili tatu amepotea humwoni tena.
 
Kuna jirani yangu yuko lonely, nitakufanyia connection ila yeye ni mwathirika
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom