vipi suprise maisha haya! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

vipi suprise maisha haya!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by afrique, Jul 9, 2012.

 1. afrique

  afrique JF-Expert Member

  #1
  Jul 9, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 495
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  hop mtakubaliana na mimi kuwa suprise ya kumtembelea mpenzi wako bila kumwambia ni nzuri kwa mpenzi wako ila inaweza zua balaa pia., utafanya nini utakapofunga safari na ukamfumania mpenzi wako ready handed!lets say mnakaa mikoa tofauti
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Jul 9, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  ufanye nini zaidi?
  Tafuta hoteli kalale kesho urudi ulipotoka....
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Jul 9, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  ready handed!!??

  Ngoja nifanye jaribio afu nijue ntafanyaje.
   
 4. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #4
  Jul 9, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 199
  Trophy Points: 160
  nimeipenda hii mkuu...
   
 5. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #5
  Jul 9, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,637
  Likes Received: 2,064
  Trophy Points: 280
  Kwani lengo la surprise lilikuwa nini? si tayari na wewe umefanyiwa surprise kwa kuwa umeingia kimyakimya hivyo hakuna kingine zaidi ya kujiuliza kwanini kimekutokea ili ujue tatizo ni nini kesho na keshokutwa tatizo lisirudie either kwa mpenzi wako huyo kama umemsamehe au kama utakuwa kwenye mahusiano mapya.
   
Loading...