Kuzidiwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuzidiwa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by PetCash, Jul 9, 2012.

 1. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #1
  Jul 9, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,679
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Asalam Aleykum!
  Kwa kweli I am rather a traditional African man, sticking straight to my roots...
  Nimeikumbatia 'role' ya mwanamume wa kiasili wa kiafrika na sijaona tatizo kwenye majukumu ya huyu mwanamume.
  Pamoja na hayo I am open to change kwa kweli...
  Ndio maana kuna vitu vingine ladies wanavipoint out kwenye hili swala la 'Usawa' na mimi navisupport kabisa.
  Ila hili swala dogo tu ambalo nikifikiria logically hakuna tatizo lakini bado halijakaa sawa kwangu.
  Hivi mke wangu mtarajiwa na hivi alivyonizidi significantly kwa kipato itakuwaje kama juhudi zangu ninazofanya za kumpita zikigonga ukuta na akaishia kunizidi for the rest of our life?
  Kwa kweli hilo ndilo hunisumbua kila asubuhi nikiamka kwenda kazini.
   
 2. MASELE

  MASELE JF-Expert Member

  #2
  Jul 9, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 706
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  usihofu, muelewesha tu akupaite ATM kadi yake, yaani wewe uwe mtawala wa masuala yote.
   
 3. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #3
  Jul 9, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  There is say that 'a success man is one who earns than his wife can spend and successful woman is the one who can find that man'

  In this case we would consider her to be unsuccessful, in bold you're replaceable!
   
 4. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #4
  Jul 9, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  mnashindana kipato?
  mwanaume jiamini.....
   
 5. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #5
  Jul 9, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,740
  Likes Received: 12,808
  Trophy Points: 280
  Usijali kama ana kupenda kweli haijalishi una kipato kidogo au lah.

  Muhimu ni kujiamini tu kwenye mahusiano yako!
   
 6. L

  LaConsuelor Member

  #6
  Jul 9, 2012
  Joined: Jul 7, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tafuta house gal uoe u'l be safe within ur inferiority complex!
   
 7. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #7
  Jul 9, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,679
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Sasa bibie? Hii inahusiana nini na kujiamini?
  I never doubted her commitment na wala hainifanyi kuwa less of a man.
  I am just saying I am fighting to fit in my role as the family's super bread winner as per traditional African man specifications
   
 8. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #8
  Jul 9, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,679
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  You are not getting my point. We are a perfect couple, its just me and my quest to fit in my traditions.
   
 9. KIKUNGU

  KIKUNGU JF-Expert Member

  #9
  Jul 9, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 853
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  It is rather a challange to you mate but try your best and don't give up your dream as yet.Ni wanawake wachache wanaobakia kuwa humble wakati wamekuzidi kipato hasa kipindi ambacho mambo hayaendi sawa socially au kuna kutofautiana direction ya maisha.
  Ila kumbuka maisha hayana formula inaweza ku-work out kwako yakagoma kwa mwengine.
   
 10. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #10
  Jul 9, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Endelea kustrugle utafanikiwa! Honestly kwenye jamii nyingi za kiafrica mke akimzidi mume kipato hata akichelewa kurudi nyumbani siku moja mume akawahi ataambiwa anafanya hivyo kwa sbb ya pesa zake! Kila atakachokifanya hata kama ni kwa nia njema ataambiwa ana jeuri kwa sbb ana pesa kumzidi mumewe! Jitahidi sana kwa kweli haipendezi mke kuonekana superior kuliko mume!
   
 11. kapistrano

  kapistrano JF-Expert Member

  #11
  Jul 9, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,204
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  mkuu kama ulivyosema kuwa bado unapambana na kama umegundua anakuzidi kipato tayari umeshatatua tatizo wewe endelea na kazi yako lkn utafute shughuli ya ziada km biashara ili uwe na akiba ya kutosha kwani waswahili wanasema tajiri ni yule ambaye anaweza kusave pesa zake.
   
 12. Blaine

  Blaine JF-Expert Member

  #12
  Jul 9, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 2,285
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  LoL, kumbe hata wanaume tuna inferiority complex.. hakuna tatizo kama mke anakuzidi kipato as long as mnaheshimiana. huwezi kujua ya Mungu mengi, hapo baadae unaweza kupata promotion au kazi mpya na kumzidi...

  Food for thought:
  imagine kama mkeo angejaribu kutimiza her 'traditional african woman role' mngeishi maisha gani? wake up its 2012
   
 13. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #13
  Jul 9, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  Sijajua unataka kumzidi mkeo ili iweje!Nitakupa mfano,kwenye klabu za mpira wa miguu kila mchezaji ana malipo yake na mkataba wake tofauti na mwingine,lakini ni TIMU MOJA na wanacheza kwa UMOJA.Wanajua majukumu yao na tofauti ya vipato vyao havileti tofauti baina yao.Wewe una tatizo,hujiamini.Unajua ili uwe kidume kwenye nyumba ni lazima umzidi mkeo kipato.Huu ni uongo na unakutesa sana.Mwanaume ni yuje anaejitambua yeye ni nani na kumheshimu mke wake na yeye kujiheshimu pia aiheshimu familia yake!
   
 14. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #14
  Jul 9, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,679
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Mkuu Eiyer, kwenye timu ya mpira ili ujue utalipwa kiasi gani ni lazima ujivalue kulingana na unavyochangia mafanikio ya timu na ndio maana rooney aliweza kupush hadi akaongezewa mshahara! Really did you ever sit somewhere where you have dinner and thinking out of my salary I can not spare money to dine here every friday (Yani sina hela za kufanyia hivyo)....Then mwenzio anakuambia kwa level yangu natakiwa kudine hapa... She is not asking for your money but uko pale knowing its not your level and then you are the family bread winner!
  Its not a biiiig deal but that is a potential threat to the traditional african man role...(kama false no. 9 ya kina messi na fabregas inavyotishia kufutika kwa traditional no. 9 kwenye futiboli)
   
 15. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #15
  Jul 9, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  PetCash,huna haja ya kujihangaisha.Mfano niliokupa umeshindwa kuuelewa,nilichozungumzia ni UMOJA wa wachezaji katika kucheza KITIMU bila kuangalia tofauti zao kimapato,na kutoa mchango kila mmoja kwa UWEZO WAKE,nani alikuambia mchango kwenye familia ni fedha pekee?Unamfahamu Russell Simons na aliekua mkewe Kimora Lee?Mafanikio aliyoyapata Simons yalitokana na mawazo ya mkewe,hii inamaana kuwa mkewe alikua anatoa wazo mume anatoa hela,mpaka wanatengana Simons alikua anamheshimu sana mkewe kwa kujua kuwa ni mwanamke wa shoka,sio kwa kuwa ana hela.Hata wewe hata kama huna hela mchango kwenye familia sio hela peke yake!
   
 16. D

  Dina JF-Expert Member

  #16
  Jul 9, 2012
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 2,824
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Sijaelewa, super bread winner ni mpaka mshahara wako umzidi wifey? Wewe cha msingi lipa ada za watoto, hakikisha mezani pamekaa sawa, watoto wanavaa bila kumsahau wifey mwenyewe. Nina amini utakuwa super baba.
   
 17. BJEVI

  BJEVI JF-Expert Member

  #17
  Jul 9, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 1,360
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  kipato chako ni jinsi unavyofikiria..ukifikiria kwa ngazi ya juu zaidi ya hpo ulipo (strategic planning) na kipato chako kitaongezeka tu....mfano, kuku huangua vifaranga kulingana mayai umpayo..ukimpa yai moja kifaranga kimoja,2,3,5,7,8,9,12,16 the same vifaranga 16.usitegemee kujaz banda la kuku wakti unampa mayai 2..kwa hiyo ukiwaza kutegemea kazi uliyonayo ikupe mshahara wa kuweka mezani na kushindana na wa mkeo you won't marry..waza mbali,ondoa utegemezi n.k.Mungu ni mwaaminifu ndo maana ana mpango wa kukupa mke mwenye kipato kizuri ili uwaze mbali (uwekeze) maadam mtakuwa mwili mmoja.
   
 18. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #18
  Jul 9, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Jiamini, does not make any difference! As long as mnaelewana na kuwa kitu kimoja!
   
Loading...