Kwanini baadhi ya wanandoa wapo hivi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini baadhi ya wanandoa wapo hivi?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by charminglady, Jul 5, 2012.

 1. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #1
  Jul 5, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,860
  Likes Received: 1,134
  Trophy Points: 280
  heshima mbele wanajamvi
  juzi kati nlikuwa safari. katika safari kulikuwa na wakaka wawili ninaofahamiana nao. 1 alifunga ndoa mwaka jana,mwingine mwaka juzi. basi kupiga chabo kwenye vidole vyao nikakuta wamevua pete zao za ndoa. wakati mida ya mchana walikuwa wamevaa kama kawaida. na baada ya kurudi home place nlishuhudia wakiwa wamezivaa tena. nilijiuliza maswali bila kupata majibu. . . kwenu wanajamvi, hivi ni kwanini ?
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Jul 5, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  wewe nae kwa umbea lol
   
 3. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #3
  Jul 5, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Washamba hao,wenye pete ndio wanatakiwa sana na wadada siku hz, tena utakuta mdada kabisaaa anaangalia kwanza kama kuna pete kidoleni
   
 4. Entuntumuki

  Entuntumuki Member

  #4
  Jul 5, 2012
  Joined: Dec 24, 2011
  Messages: 88
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndoa iko moyoni mwa mtu si pete! Na wewe hizo pete zinakuhusu nini?
   
 5. kapistrano

  kapistrano JF-Expert Member

  #5
  Jul 5, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,204
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Ni mamuzi ya muhusika kuva ama kuvua kwa hiyo sioni tatizo hapo.
   
 6. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #6
  Jul 5, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Well said wenye ndoa ni raha unakuwa free akiwa kwa mkewe kuliko kukaa na vijivulana single kutwa kushinda na wewe kila kona yuko mgongoni mwako na pia salio la wenye ndoa linaridhisha hamna longoX2!
   
 7. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #7
  Jul 5, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Pete has nothing to do with ndoa bana kikubwa maelewano ndani ya nyumba
   
 8. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #8
  Jul 5, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,860
  Likes Received: 1,134
  Trophy Points: 280
  mkuu,nlikuwa najaribu kutafakari kwa saut!
   
 9. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #9
  Jul 5, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,860
  Likes Received: 1,134
  Trophy Points: 280
  umeona eeh!
   
 10. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #10
  Jul 5, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,860
  Likes Received: 1,134
  Trophy Points: 280
  mkuu,imekutach nini? kama upendo upo moyon kwann sometym avae na smtym avue?
   
 11. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #11
  Jul 5, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,860
  Likes Received: 1,134
  Trophy Points: 280
  kwann avae awapo nyumban na akisafiri avue!
   
 12. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #12
  Jul 5, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,860
  Likes Received: 1,134
  Trophy Points: 280
  bas,ingekuwa vyema mtu kuamua 1. kuvaa milele ama kuvua milele!
   
 13. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #13
  Jul 5, 2012
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Labda waliingia chooni wakaogopa isichafuke!!!
   
 14. s

  shokad New Member

  #14
  Jul 5, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inaonesha ni jinsi gani wasivyo waaminifu..Wanavua ili kudanganya vidada
   
 15. petrinamwana

  petrinamwana JF-Expert Member

  #15
  Jul 5, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 258
  Trophy Points: 80
  Haha mhh
   
 16. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #16
  Jul 5, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,346
  Likes Received: 2,352
  Trophy Points: 280
  pete ya ndoa inapunguza soko kwa babies kwan we HULIJUI HILI?
   
 17. mito

  mito JF-Expert Member

  #17
  Jul 5, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 7,646
  Likes Received: 2,033
  Trophy Points: 280
  Yaani we Kunta Kinte umeamua kulegeza mbavu zangu, teh teh teh
   
 18. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #18
  Jul 6, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,860
  Likes Received: 1,134
  Trophy Points: 280
  teh teh,hlo nalo neno!
   
 19. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #19
  Jul 6, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,860
  Likes Received: 1,134
  Trophy Points: 280
  fo sho, afu waliporudi home kutoka safari wakavaa km kawa dah!
   
 20. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #20
  Jul 6, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,860
  Likes Received: 1,134
  Trophy Points: 280
  alaaa kumbe nlikuwa cjui!
   
Loading...