*** Wakuu, nimepokea email to kwa Bwn Joachim wa Magu, Mwanza anaomba ushauri kwa kisa hiki ***
Miaka michache nyumba nilipata msichana ambaye tulipenda sana na kukubaliana kuoana. Kabla ya...
kama mnavyokumbuka ile thread ya rafiki yangu anayetaka kufanya maamuzi magumu leo tena kanipigia simu analia eti alikua na mme wake wanacheka mume wake akamuuliza lini unaondoka halafu kamtajia...
Nampenda sana huyu msichana <mwanamke> lakini kila ninachofanya naona yeye hana imani na mimi............nimemvisha pete,lakini bado anahsi nitamuacha.....tatizo ni kuwa ANAHISI IPO SIKU...
Jana majira ya saa tatu unusu nikiwa najifanyia kazi zangu kwenye laptop, huku nikipitisha macho kwenye TV, ghafla nikaona kipindi cha Mikasi kinachorushwa na EATV na kuongozwa Salama Jabir...
Loh! Kuna hii TV inaitwa Sibuka. Wanaongelea mapenzi na Amani Misana (nilikuwa namsikiliza sana wakati nikiwa
secondary Times FM) Wanasema mambo yatakayomsaidi mwanamke afike kileleni. . ...
Poleni na majukumu yanayowakabili,
Mm ni msichana mwenye umri wa miaka 26,kwa mara ya kwanza najiunga na jf nikiomba ushauri wenu
Nina mpenzi wangu nampenda sana na hatuna mda mrefu, tuna miezi...
Naitaji ushauri wa dhati kutoka kwenu wadau
Nilikuwa na mpenzi niliekuwa nampenda sana sana lakini mwisho wa siku aliniacha na kufunga ndoa narafiki yangu kipenzi.
From there sijawai kuwa...
Hali niliyokuwa naitegemea kuwa mtu akisoma huwa anaongeza maadili na maarifa lakini nilipofika chuo sio vile katika suala la mahusiano, ni kawaida kwa wanachuo kila mmoja anapofika chuoni kuanzia...
Nipo mahali hapa na majamaa ambao wote wake zao ni wanasheria. Tulianza kuongelea ishu za Ndoa. Kifupi hawa jamaa wote wawili wanajuta kuoa wanasheria, mmoja ndio alimsomesha mwenyewe mkewe sheria...
Mara nyingi nimeona thread zimeandikwa natafuta mchumba/mke/mume.
Swali langu ni je mchumba,mume,mke ndio unaoanza au ni urafiki maana nijuavyo mimi ni lazima muanzie kwenye urafiki ndio mhamie...
Poleni na majukumu yanayowakabili,
Mm ni msichana mwenye umri wa miaka 26,kwa mara ya kwanza najiunga na jf nikiomba ushauri wenu
Nina mpenzi wangu nampenda sana na hatuna mda mrefu, tuna miezi...
Woman who spent $15,000 on illegal bottom and hip injections admits she's lucky to be alive after her obsession could have killed her
Vanity Wonder admitted on This Morning she didn't know what...
Habari zenu wadau wa MMU?Nilikuwa na boyfriend kwa miaka mitatu, tukaachana ktk hali ambayo iliniumiza sana moyo wangu, nikawachukia wanaume.Nikakaa kwa miaka miwili bila boyfriend. Sasa akatokea...
:eek2:Awapongeza viongoz mbl mbl wa kitaifa kwa ushirikiano kipindi cha ajali na msiba...
1. Pongezi......Mwenyezi Mungu, CHADEMA, Jakaya Kikwete, William Lukuvi, Anna Makinda, Agrey Mwandri...
Ebu nishaurini,nina mke ambaye tumeona kama miezi sita hivi imepita..katika hari ya uchumba wetu tulikuwa na mapenzi ya kawaida,si ya moto wala baridi katika kipindi cha miaka minne...
Kuna tabia ya zamani kidogo ambayo sio nzuri, eti mtu anakwenda na hawara nyumbani kwa mke wake au mume wake na kumtambulisha kwamba huyu ni wifi yako au shemeji yako.
Hivi kweli huu ni uungwana...
Geri Halliwell akihojiwa.....................
Hivi karibuni nilibahatika kusoma mahojiano ya Mwanamuziki wa kundi la zamani la muziki, maarufu kama Spice Girls la nchini Uingereza Geri Halliwell...
Heshima mbele wanaMMU
Ninayoiweka hapa ni mada ya ukweli ambayo rafiki yangu aliniletea tuidisscus..sasa katika kuidiscuss kuna mawazo ambayo nilimpa na of course kuna mengine ambayo tulishindwa...
Ninaishi Arusha mtaa wa Ilkiurei,Mfanyakazi mmoja wa ndani hapa mtaani kwangu amekamtwa usiku wa leo majira ya saa saba na dk 40 akiwanga ndani ya nyumba anayofanya kazi kama H/G!
Alikamatwa...
I've been told by many of my friends and the most trusted people that "THERE MUST BE FIRST REJECTION WHERE THERE IS TRUE LOVE" about a week ago i met a girl at seminar somewhere,infact i was...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.