Kwanini wanawake huonekana malaya zaidi wakitoka nje ya ndoa

joel amani

Senior Member
Nov 22, 2011
100
8
mara nyingi najiuliza mwanaume akitoka nje ya ndoa haipewi uzito sana kama ni kosa ingawa ni kosa,sasa upande wa wanawake akitoka nje ya ndoa jamii kwa ujumla inamwona ni malaya sana tena huchukiwa,najiuliza wote wanaleta magonjwa ndani wakifanya hivyo,sasa kwanini mwanamke huonekana amekosea zaidi? mbaya zaidi utakuta mwanaume anatoka nje mara nyingi na mwanamke akifanya mara moja tu huonekana ni mchafu zaidi,wana jf hii ni sawa na haki?
 
Mwanamke ni mpokeaji wa tendo zima la ngono (sperms)...hata last result kama itatokea mimba mwanamke ndiye mbebaji.mimi nahisi kwa njia hii ndio maana mwanamke huonekana malaya zaidi.
 
mara nyingi najiuliza mwanaume akitoka nje ya ndoa haipewi uzito sana kama ni kosa ingawa ni kosa,sasa upande wa wanawake akitoka nje ya ndoa jamii kwa ujumla inamwona ni malaya sana tena huchukiwa,najiuliza wote wanaleta magonjwa ndani wakifanya hivyo,sasa kwanini mwanamke huonekana amekosea zaidi? mbaya zaidi utakuta mwanaume anatoka nje mara nyingi na mwanamke akifanya mara moja tu huonekana ni mchafu zaidi,wana jf hii ni sawa na haki?

Ni mtazamo ambao tumerithi toka enzi za mababu. Ishu ni kuwa mwanaume alipewa ruksa ya kuoa zaidi ya mwanamke mmoja tofauti na mwanamke ambaye alipewa nafasi ya kuolewa na mwanaume mmoja. Inawezekana, jamii kumfikiria mwanaume akitoka nje kwamba ni halali yake au yuko kwenye mchakakato wa kutafuta wa pili au tatu (kutegemea na mila) na ni tofauti na mwanamke ambaye huonekana malaya moja kwa moja!

Ila cha msingi hapa ni kuwa wakweli kuwa mtazamo huu si sawa, ni vyema kila mtu akahukumiwa kwa tabia yake bila kujali jinsia yake.
 
men are polygamy by nature...mie nkisikia dingi anakula toto fulani sioni kinyaa...ila nikisikia mother kaliwa duh............
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Huenda mwanamme amepata kibali machoni mwa MUNGU !!
Thats why utasikia mke mwenza na si mume mwenza.Lakini isiwe sababu ya mwaname kutoka nje ya ndoa.
 
Back
Top Bottom