Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

MWANAUME AKATWA MKONO Naye Victor Bariety wa Geita anaripoti kuwa mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari ya Nyakamwaga wilayani hapa, amenusurika kifo baada ya kudaiwa kufumaniwa...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
mara nyingi najiuliza mwanaume akitoka nje ya ndoa haipewi uzito sana kama ni kosa ingawa ni kosa,sasa upande wa wanawake akitoka nje ya ndoa jamii kwa ujumla inamwona ni malaya sana tena...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
ninaishi katika ndoa sasa mwaka wa tatu nimejaliwa kuwa na mtoto mmoja kinachonishangaza mke wangu amebadilika sana ,kimapato hali yangu si mzuri ukilinganisha na awali ,kila siku kugombana tu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Unazaliwa ukiwa peke yako na kulelewa na wazazi na ndugu zako wa karibu kwahiyo kwa hali halisi ungetakiwa kuwapenda zaidi hao kuliko mtu mwingine yoyote. Lakini unakua na kufikia stage ambayo...
3 Reactions
57 Replies
6K Views
Ningependa ni mwanamke mwenye sifa sifuatazo: 1. Awe Mrefu au mwenye kimo cha wastani (sio mfupi), rangi yeyote ile....(mweusi,mweupe,maji ya kunde...poa tu). 2. Awe na Elimu kuanzia kidato cha...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
nimekuwa katika mahusiano ya tempo kwa miaka kadhaa kutokana na kuwa na mpenzi ambaye sikuwa na makubalino naye ya kuoana, sasa hivi karibun nimepata bintii ambaye tulipo anza mahusiano...
0 Reactions
95 Replies
8K Views
Hivi sasa wataalamu wamegundua kwamba wanawake walio kwenye kusongeka kiakili hula sana kuliko wanaume. Katika kula huko, hujikuta wakinenepa kupindukia. Mwanasaikolojia Robert Jeffery anasema...
4 Reactions
69 Replies
8K Views
Anakaribishwa mwanadada mtu mzima kuanazia miaka 30 kwenda juu, kwa mahusiaono kimapenzi. Umri wangu ni miaka 41.sina masharti zaidi. Atakayekuwa radhi tafadhari niandikie private msg.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani mimi nimekua vya kutosha,nina miaka 30, natuta binti wa kua aliekulia katika maadili yalo mema. sifa sasa. 1.asiwe baunsa 2.mfupi sana na mnene sana sipendi. 3.shule si muhimu sana ila...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Pole najua ulitaka kujuiuliza didy anavuta wa pili nini hapana airuhusu kuna mtu katupigia jana kwenye maombi akiomba tumsaidie jamani na hilo tatizo hapo juu ..najua ni gumu kulikubali lakini...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
heshima mbele wanajamvi juzi kati nlikuwa safari. katika safari kulikuwa na wakaka wawili ninaofahamiana nao. 1 alifunga ndoa mwaka jana,mwingine mwaka juzi. basi kupiga chabo kwenye vidole vyao...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
uwa nikisikia au kona watu eti wanaoa au wanatangaza ndoa, uwa najiuliza mara kumi kumi ivi wanajua wanachofanya, hii inatokana na experience yangu na hawa viumbe, especially my last 3 failed...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Sio vibaya ukiweka neno hapa.. Imgekua Binti yako ungefanyaje?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
NIMEKUA NIKIJIULIZA SANA KUHUSU TREND ZA MAHUSIANO YA KIMAPENZI KWA MIAKA YA HIVI KARIBUNI: Mdada anaweza akawa na boyfriend lakn bado anatoka na mtu mwingine na hata wakikosana si ajabu kuona...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
A small congregation in the foothills built a new sanctuary on a piece of land willed to them by a church member. Ten days before the new church was to open, the local building inspector...
0 Reactions
0 Replies
814 Views
mimi ni mtumishi wa umma na mke wangu nimeishi naye miaka 7 na tumezaa mapacha na wengine 2,mama watoto anatabia ya kutoka nje ya ndoa ni kama amelogwa,nikitaka kumuacha nashindwa mana anajituma...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Wapenzi wana mmu najitokeza mara ya kwanza hapa jukwaani nikiwa kama memba baada ta kuingia kama mgeni ka siku nyingi sana. leo hii kilichonifanya nitamani kuingia humu ni hiki hapa, niko...
2 Reactions
57 Replies
6K Views
Jamani ninaye mpenz wangu, nampenda sana na naamin na yy ananipenda pia. Najitahd kumpenda na kuwa mkweli na muwazi tena pasipokumsaliti ingawa mm na yeye tunaishi mbali kwa zaidi ya kilometa...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Naandika habari hii nikiwa na masikitiko yaliyochanganyikana na hasira zilizopitiliza.Leo asubuhi baada ya kupata kifungua kinywa, nilanza kujiandaa kufua nguo zangu kama mnavyojua leo siku ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom