Mapenzi ni "KICHAA" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapenzi ni "KICHAA"

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by M'Jr, Jul 3, 2012.

 1. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #1
  Jul 3, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Unazaliwa ukiwa peke yako na kulelewa na wazazi na ndugu zako wa karibu kwahiyo kwa hali halisi ungetakiwa kuwapenda zaidi hao kuliko mtu mwingine yoyote.

  Lakini unakua na kufikia stage ambayo unaingia kwenye mahusiano na mtu mwingine ambaye umekutana naye tu, unajikuta unampenda zaidi ya hao wengine wote, mtu anayeweza kukufanya ukalia usiku kucha, usilale wiki nzima, usiweze kula na kibaya zaidi ukaamua kusitisha maisha yako kwasababu ya mtu huyo tu.

  Hivi hiki si ni kichaa?
   
 2. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Hiyo ni nature mkuu, na ndiyo ukweli wenyewe hatuna namna ya kupingana nao. Niliwahi kuona andiko mahali fulani linasema Mwanaume ataachana na ndugu zake, naye ataambatana na mkewe nao watakuwa mwili mmoja ...

  Hapo kwenye bold inaonyesha wazi kuwa Mapenzi na mahusiano ni kitu complex, maana unaachana na wazazi na ndugu kwenda kuungana na rafiki! Na wengine hufikia hata hatua ya kutukana na kugombana na ndugu zao kwa sababu ya wapenzi, ni nature hiyo ndugu yangu!
   
 3. Asabaya

  Asabaya JF-Expert Member

  #3
  Jul 3, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 1,317
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Yamekukuta yepi mwenzetu?
   
 4. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #4
  Jul 3, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Yeah nami nimekwishaliona hilo andiko mkuu, ingawa pia kuna zile amri za Mungi ile ya tatu inasema Waheshimu Baba na mama yako ili siku zako zipate kuwa......

  Ila hii hali ya kufikia kutukana na kuwatimua wazazi wako kwasababu tu umeoa (Kwasababu hii hutokea kwa wanaume zaidi) hapo ndipo mi ninapoona huo ni ukichaa
   
 5. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #5
  Jul 3, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Hahahahaa sijakutwa na lolote ndugu yangu ni tafakari tu
   
 6. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #6
  Jul 3, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Mapenzi ni complex, ili ni vzr tushauriane na kuelekezana namna bora ya kuyahandle haya mambo kwa kutumia busara, ingawa uzoefu unaonyesha bado si jambo jepesi kihivyo ....
   
 7. Asabaya

  Asabaya JF-Expert Member

  #7
  Jul 3, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 1,317
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Lakini kweli mie nilivyo mpenda mumewangu mwanzo duh nilikua sisiki wala sioni mpaka nikawa najiona kama zuzu,siunajua warabu koko wanavyopenda kuoana mtoto wa shangazi kwa mjomba nikaletewa mtoto mjomba aniowe loo! nilimwambia
  mwenzangu mie naona tutazaa nyani tuu bora wewe ujipange kama mke mie sikutaki tena nakusikia unanukaaa vibaya,
  basi bwana mjomba alisema mpaka akajitia kazimia sijakubali,mpaka nimeolewa na nnae mtaka,kuna wakati mwengine natafakari lakini jibu sipati kwanini wakati ule nilikua vile sijui utoto...
   
 8. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #8
  Jul 3, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Sijaelewa sana lakini kama nimeelewa kidogo unataka kusema sasa hivi hupendi kama ulivyokuwa unapenda zamani?
   
 9. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #9
  Jul 3, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Kiswahili lugha ya watu, kama wewe mwarabu koko ungetuandikia kiarabu tukatafuta mkalimani, labda tungeelewa zaidi. Rightly speaking lost in translation.
   
 10. Asabaya

  Asabaya JF-Expert Member

  #10
  Jul 3, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 1,317
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Shosti unahilo tuu au unajengine?
   
 11. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #11
  Jul 3, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 730
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  M'jr nakubaliana na wewe, no coherent expalnation zaidi ya "Ukichaa"
   
 12. Catherine

  Catherine JF-Expert Member

  #12
  Jul 3, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Tena kichaa cha dogi
   
 13. mito

  mito JF-Expert Member

  #13
  Jul 3, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 7,642
  Likes Received: 2,030
  Trophy Points: 280
  There are things you can't share with those you call ndugu including wazazi, and that's where complexity starts. Ila sijasema uwadharau/uwatukane/uwatimue wazazi kwa sababu hii. Ukifanya hivyo ujue unamjukiza Mungu. Kwa wakristo nadhani mnajua hii amri "waheshimu baba yako na mama yako ili upate baraka na kuishi miaka mingi hapa duniani". Hii ni amri ya kwanza yenye ahadi
   
 14. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #14
  Jul 3, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,836
  Trophy Points: 280
  Pole sana mkuu kwa yaliyo kukkuta! Mimi mwenyewe-----------------------------------------------------------------------
   
 15. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #15
  Jul 3, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hata sio kichaa hata kidogo!
  Kwanza kama ulivyosema mambo yanakwenda kwa stage.
  Pili kama ulivyosema kila mtu ana aina ya mambo ya kukufanyia na inapofika hawezi kukufanyia inabidi utafute wa kukufanyia.
  Na tatu kama ulivyoengwa na wazazi wake unahitaji nawe umiliki chako il uenge kwa nafasi yako.
  Hayo pamoja na mengine yanakufanya uwe karibu na yule unaeona atakuwa mwenza katika utaratibu mzima, jee hutompenda?
   
 16. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #16
  Jul 3, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  endeleeni kupendana, nipo nyuma yenu naja!! lolest!
   
 17. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #17
  Jul 3, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Kweli kuna times kwenye mapenzi unakua husikii wala huoni!
   
 18. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #18
  Jul 3, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Na ndio maana nasema ule wakati ambao mtu anakuwa ana act kiuchizi uchizi (nahisi wakati huo hata yeye huwa haelewi kama anakuwa ana act hivyo) ndio maana nikasema nahisi mapenzi ni kichaa
   
 19. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #19
  Jul 3, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,129
  Trophy Points: 280
  Exactly mkuu.
  Uwatakase kwa ile kweli, neno lako ndio kweli.
   
 20. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #20
  Jul 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Wamwekutenda???????
   
Loading...