Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Members, Sijui ni mimi mwenyewe nakerwa na haya mambo au kuna wenzangu pia mnakereka. Juzi Ijumaa Jioni Kuna rafiki yangu mmoja amekuja kunitembelea na kunisihi angalau Tutoke twende club...
0 Reactions
41 Replies
7K Views
Naomba mnisaidie, nina shoga angu ameniomba nmshauri nami cnabudi kulileta kwenu.Rafiki yangu ana boyfriend wake kwa muda mrefu sana,bt kwa sasa hawaelewan kwa kua huyo shemeji yangu amekuta sms...
0 Reactions
51 Replies
5K Views
habarini wazee wa jamvi nina mchizi wangu anakademu kake kapo hot sana,anavodai,yaani kanamzuka sana kwenye mambo yetu ya 6x6 ila tatizo mchizi akiingiza tu anamwaga?sasa anaomba maujuzi kwa...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Ndugu, kweli mwenzenu ni na shida na sijui zitaishaje. Juzi tu nilikuwa na tatizo la mke wangu na bado halijakwisha. Likaja hili la GF wangu wa zamani. Lakini, ninao watoto wawili nje ya ndoa...
0 Reactions
143 Replies
10K Views
Hii swali ni limetokana na mada ya Wimbo. Mie sijasomea saikolojia, lakini kwa kutazama aliyoandika, nahisi bado ana kovu bichi kabisa moyoni. Naweza kuwa nimemsoma isivyo sahihi pia...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Kwa huku kwetu ni wanaume wachache sana wanaomsaidia mwanamke bila lengo la kumpata mwanamke huyo. Hata hivyo sio wanawake wengi wanaokubali kulipa fadhila kwa njia hiyo, lakini wanaume wengi...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Huyu Baba Mkwe simuelewi kabisa, saa sita au saba usiku eti anampigia simu bintie, kha, umelala usingizi unashtuka simu inaita au mtu anaongea na simu, haya mwenzetu nani huyo usiku huu, oooh Baba...
3 Reactions
90 Replies
13K Views
Matokeo ya uchunguzi wa DNA uliofanywa na TBS umethibitisha kwamba zaidi ya asilimia hamsini ya watoto waliopimwa DNA zao na TBS waligundulika kuwa si wa baba waliodhaniwa kuwa ndiyo baba zao...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Huyu jamaa anaishi na mwanamke wake kinyumba,ni kama mke na mume. " Wakati wanakutana,mwanamke alikua tayari ana watoto wawili aliozaa na wanaume wawili tofauti. " Tatizo ni kuwa mwanamke...
1 Reactions
30 Replies
2K Views
Hay wanaMMU Usiombe yakutokee akama yalivyonitokea rafiki yangu imefikia kuandika hapa ili wanaMMU wamsaidie huyu mtu, ni afadhali ujiaachishe kuliko kuachwa katika mataa, wala usiweze kujua namna...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Msemo wa kwamba mwanamke na muhimu uwe na sura nzuri na uumbike kwa uwiano mengine yote juhudi yako umeenea sana katika maongezi ya kina mama. Hii hutokea wakati wakijadiliana wao kwa wao...
0 Reactions
50 Replies
9K Views
Kwanza kwa wale wasiofahamu...hiki Chuo cha Harvard huwa kinatajwa kama 'the best in the world' au tuseme the best in America...baadhi ya waliosoma hapo ni Obama,Bill Gates na wengineo..ma...
7 Reactions
109 Replies
10K Views
Every girl wants to be engaged by a serious man and wish to get married but what kind of man will want to engage a babe with status' like :: Ladies night loading" Liquids loading" Elegushi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Thi is jamiiforums collectivize for all the peoples in the world. because of negotiations difference think. It is necessary to be rapture. we must to be comprehensible our messages .any time...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Waswahili wanasema ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni. Sielewi skins Dada Hawaii wana matatizo ya kisaikolojia au no wendawazimu umewasukuma kujichanganya NA Wayne WA wenyewe. Ndio kwanza...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Nimegundua wafanyakazi wengi wa Dsm na miji mingine mikubwa hawana utamaduni wa kupelekana majumbani. Vikao mara nyingi huishia kwenye nyamachoma. Je kwanini hali hii? Mimi hapa ofisini kwangu...
4 Reactions
60 Replies
6K Views
Jamani leo naona jirani yangu niliyezoea kumuomba 'lift', nadhani huenda baada ya 'kunichoka' kutokana na katabia kangu ka kumuomba lifti wakati wa kwenda kazini. Huenda aliamua kunitolea...
18 Reactions
155 Replies
14K Views
Jaman me na mchumba wangu my wife to be, kuna jamaa ambaye najua anamfuatilia na nishamwambia my girl kuhusu huyo people na kumuonya astop communicatn nae bt cha ajabu nikishika phone yake call...
0 Reactions
52 Replies
4K Views
Wana MMU habari zenu,Nina rafiki yangu wakike kipenzi tatizo lake anapenda boyfriends wa kizungu ambao wanaishia kumla tunda na kumuacha tu keshatembea na kama nane nnaowajua.Alikua na Bf mwenye...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
Roho inauma baada ya kugundua mpnz wangu anamtaka rafiki yangu nimejaribu kuuliza anadai its just joke tu ivi kweli kwny swala kama hilo kuna utan?nisaidien bandugu
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Back
Top Bottom