Mambo ya harvard ,threesome na kadhalika..lol

The Boss

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Messages
37,809
Points
2,000
The Boss

The Boss

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2009
37,809 2,000
Kwanza kwa wale wasiofahamu...hiki Chuo cha Harvard huwa kinatajwa kama
'the best in the world' au tuseme the best in America...baadhi ya waliosoma
hapo ni Obama,Bill Gates na wengineo..ma scientist wakubwa,wafanyabiashara wakubwa
wa dunia,marais wa Marekani weeengi tu the list is endless....

Sasa kuna utaratibu hapo chuoni ambapo wanafunzi huwa wanaandikisha club zao mbali mbali
ambazo zikishakuwa zinatambuliwa na chuo...uongoziwa chuo hutoa misaada inayohitajika
ikiwemo pesa za kusaidia shughuli za club hizo.......

Sasa mwanafunzi mmoja ameenda kuandikisha club yake ya wale
'wanaopenda strange sex' akiamini labda yuko peke kumbe wapo tele lol

hii imezua gumzo mno pande hizo...wengine wakipinga na wengine wakiona ni sawa

Nimejikuta na connect hilo na siku nilipoleta mada hapa nikataja 'threesome' na
na reaction yake kumbe huko Harvard washatangulia zaidi lol
threesome haipo kwenye hata list ya strange sex lol

Swali hapa je unafikiri watu wenye 'akili saana' au 'wasomi saana'
wanakuwa zaidi na appetite ya 'strange sex'??

Harvard Gives BDSM Sex Club Official Campus Recognition
 
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
82,378
Points
2,000
Age
29
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
82,378 2,000
Swali hapa je unafikiri watu wenye 'akili saana' au 'wasomi saana'
wanakuwa zaidi na appetite ya 'strange sex'??

Harvard Gives BDSM Sex Club Official Campus Recognition
Hard to tell.

First we'll have to define what strange sex is.

Secondly, strange per who? Who sets that standard?

Thirdly, if there is strange sex that means there is also normal sex.

So what is normal sex?

And is there any 'sex' that is in between normal and strange?

If so, what is it?
 
The Boss

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Messages
37,809
Points
2,000
The Boss

The Boss

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2009
37,809 2,000
Hard to tell.

First we'll have to define what is strange sex.

Secondly, strange per who? Who sets that standard?

Thirdly, if there is strange sex that means there is also normal sex.

So what is normal sex?

And is there any 'sex' that is in between normal and strange?

If so, what is it?

Haha haa NN haya maswali yako ni very interesting...
lakini wewe umechukuliaje hii club ya wanafunzi hawa?
mfano we ni mzazi na mtoto umemlipia pesa ndefu huko Harvard...
hutashikwa na wasiwasi wa huyo mtoto kurudi 'amejifunza' menginee kabisaa?
ukichukulia jinsi watu wa Harvard walivyo 'vichwa'??????
 
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
82,378
Points
2,000
Age
29
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
82,378 2,000
Haha haa NN haya maswali yako ni very interesting...
lakini wewe umechukuliaje hii club ya wanafunzi hawa?
mfano we ni mzazi na mtoto umemlipia pesa ndefu huko Harvard...
hutashikwa na wasiwasi wa huyo mtoto kurudi 'amejifunza' menginee kabisaa?
ukichukulia jinsi watu wa Harvard walivyo 'vichwa'??????
Ili mradi hawaumizani basi acha wafanye kile ambacho wapendacho.

Wote si ni watu wazima bana. Halafu huko vyuoni kunakuwa na unfettered freedom sana.

Kwa hiyo ukiamua kumpeleka mwanao huko kwa kiasi kikubwa unakuwa umempa hiyo freedom.

Sasa kama hutaki ajifunze mambo kama hayo huko kwa wenzetu kuna hadi colleges ambazo wanafunzi hu-sign 'no sex-pledge'. Mpeleke mwanao huko.

Harvard na hizo Ivy Leagues zingine ni colleges ambazo ni extremely liberal.
 
snowhite

snowhite

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Messages
15,793
Points
2,000
snowhite

snowhite

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2012
15,793 2,000
mule mule tu!ikija kwenye swala la raha ya mwanadamu walahi sishangazwi na lolote!
pesa utafute kwa manati hata raha ya jinsia nayo iwe kwa ngama!mradi ndo wanaskia raha POA TU!
 
Neiwa

Neiwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Messages
732
Points
225
Neiwa

Neiwa

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2012
732 225
Strange sex ipo zaidi kwa wale ambao wapo really active in sex. Hupenda kitendo hicho cha ngono na kulifurahia hasa linapohusisha kitu nje ya kilicho ordinary kiasi kwamba anataka ajaribu zaidi ya hapo kuona kama raha inaweza vuka hapo hata zaidi ya hapo. Its all about experimenting I guess.
 
The Boss

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Messages
37,809
Points
2,000
The Boss

The Boss

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2009
37,809 2,000
Ili mradi hawaumizani basi acha wafanye kile ambacho wapendacho.

Wote si ni watu wazima bana. Halafu huko vyuoni kunakuwa na unfettered freedom.

Kwa hiyo ukiamua kumpeleka mwanao huko kwa kiasi kikubwa unakuwa umempa hiyo freedom.

Sasa kama hutaki ajifunze mambo kama hayo huko kwa wenzetu kuna hadi colleges ambazo wanafunzi hu-sign 'no sex-pledge'. Mpeleke mwanao huko.

Harvard na hizo Ivy Leagues zingine ni colleges ambazo ni extremely liberal.

Juzi juzi hapa JF kulikuwa na threads zinazungumzia
wanafunzi wa UDOM wanajiuza....na kulikuwepo hata baadhi ya matamko ya 'wafukuzwe' na kadhalika
huoni hawa tunaweza pia kuwaita kuwa wako kwenye strange sex pia?
since kujiuza sio lazima ni kwa njaa.labda kupenda kubadilisha?
na wengine waliwaona labda 'akili hawana'....kumbee hata huko Harvard kuna mengii kama hayo..
 
The Boss

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Messages
37,809
Points
2,000
The Boss

The Boss

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2009
37,809 2,000
mule mule tu!ikija kwenye swala la raha ya mwanadamu walahi sishangazwi na lolote!
pesa utafute kwa manati hata raha ya jinsia nayo iwe kwa ngama!mradi ndo wanaskia raha POA TU!

Kumbe wachungaji na mimi muumini
wote sisi ni 'vichwa vya Harvard kabisa' lol
 
The Boss

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Messages
37,809
Points
2,000
The Boss

The Boss

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2009
37,809 2,000
Mchungaji wa Kinaija kummega dada mgumba huku akimlisha neno na kumwaminisha hiyo ndiyo tiba ya ugumba wake siyo ajabu?
Tunaweza anzisha hiyo group for research..lol

wadada wanaopenda 'sex huku na maombezi ya kinigeria ....lol
na labda kuna club tayari hatujui lol
 
Catherine

Catherine

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2012
Messages
1,263
Points
0
Catherine

Catherine

JF-Expert Member
Joined Jun 30, 2012
1,263 0
enh ndio wanadiscuss!
wanadiscuss styles
wanadiscuss nani hatoi mipwenti
wanadiscuss nani anategea
wanadiscuss nani mkali wa point
basi mradi tu ni zaidi ya seminar presentation!mweh!
basi hapo fresh... Wakigraduate wanakuwa na full maujuzi ya ziada.
 
N

Neylu

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2012
Messages
2,707
Points
1,225
N

Neylu

JF-Expert Member
Joined May 28, 2012
2,707 1,225
mule mule tu!ikija kwenye swala la raha ya mwanadamu walahi sishangazwi na lolote!
pesa utafute kwa manati hata raha ya jinsia nayo iwe kwa ngama!mradi ndo wanaskia raha POA TU!
Poa tuu eeh??

Hata ukisikia mwanao anafanya hayo madudu kwako itakuw poa tuu??
 
snowhite

snowhite

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Messages
15,793
Points
2,000
snowhite

snowhite

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2012
15,793 2,000
Tunaweza anzisha hiyo group for research..lol

wadada wanaopenda 'sex huku na maombezi ya kinigeria ....lol
na labda kuna club tayari hatujui lol
mupenzi wako wa biblia hukubali na namba yake !walahi angekuwa bonge la mwanachama!ambacho ningempendea ni vile angelazimika kutumia realia ili wanachama tuelewe vizuri!lol
 
Forum statistics

Threads 1,294,754
Members 498,027
Posts 31,187,127
Top