Kuna nyumba moja hv nimepanga maeneo ya hapa mjini.
Pale jirani kwetu kuna dada nae kapanga. Dada ana watoto watatu wote wa kike.
Watoto wawili kazaa na mwanaume mmoja na mwingine kazaa na...
what type of a fruit are you??
1.MANGO: happy married
2.ORANGE: single and searching
3.LEMON: having a sex partner, no strings attached
4.STRAWBERRY: in a relationship or married but in love with...
Ukimpenda mtu kwa moyo wako wote, akakusaliti
na kukuvunja moyo usiendelee kujitesa na
kujiharibu kwa pombe, sigara au mahusiano ya
kulipiza kisasi. Hukufanya kosa kupenda, endelea
kujipenda...
Cousin wangu alikuwa na girlfriend almost 5 years .Tulimpenda walikuwa wanapendana watu wote tulijua wataoana,suddenly Jana nasikia anaoa kwa mdada aliyekutana naye Kwenye ndege na amemjua for a...
Katika kipindi cha njia panda cloudsfm mchana huu! Kimenigusa sana.
Mimi kama kijana ambaye najiandaa kuingia katika maisha ya ndoa siku za usoni. Natumia muda mwingi kujifunza kwa namna...
JE HII INAWEZA KUWA SABABU YA KUMFANYA MWANAUME AKAKOSA NGUVU YA KIUME???
Wanawake wengi hasa waliopo kwenye ndoa, wanapuuza ujuzi kwenye tendo la ndoa. Hawajishughulishi kumsaidia mwanaume...
Habari wana jf,Mimi mr ngapu nipo zenj miaka yangu 33 mimi mfanya biashara nipo poa maisha poa napenda watu wote napenda kufanya ibada kusoma qur.an.natafuta mschana mchamungu pia miaka kuazia...
Wakubwa zangu shikamooni!
Karibuni katika MMU EXCLUSIVE INTERVIEW!!!!!!!!! Mimi penda nyinyi sana!
Topic: Keeping it real in Marriage over 10YRS
Host: Lara 1
Backstage: Zinduna
Guest...
wana jamvi leo na mimi nimeona niweke uzi tuuchangie kidogo, kwa mtazamo wangu na research ambayo sio rasmi sana naona kama asilimia kubwa ya men ambao ni ma-HB na wale ambao ni Playboys huwa...
Dear Admin,
i am a 23 years gal.
Have been in a relationship with
my sisters husband for 5 years
now without my sisters noticing,
sometimes we stay together,
sometimes i stay away from them,
it...
Jamani Hii siku ya Ukimwi duniani umejipangaje mwenzangu.Na takwimu zinaonesha hakuna familia/koo hapa nchini Tanzania ambayo haijaguswa na tatizo hilo.
Chukua hatua hizi kuahikisha unajipa furaha...
Wazima wana jamviiiiiiii?????!!!!!!????
Kuna rafiki yangu ana mtoto wa nje ya ndoa, huyu mtoto amezalia baada ya yenye kuwa ameshaoa,yule mwanamke aliye mzalia huyu mtoto wake anataka kumpa...
Anazo sifa ambazo kamzidi mke wako kwa mbali. Ukianzia Upeo wake wa kimaisha wa kawaida, ustarabu wake na hasa ana vitu ambavyo ulikuwa una wish mke wako awe navyo vipo kwake. Na mda mwingine...
Natafuta mwanamke mwenye miaka 35 na kuendelea kwaajili ya mawasiliano ya kirafiki na kubadilishana mawazo. Mi ni mwanafunzi wa chuo, nasoma mlimani nipo mwaka wa 3. Kutokana na ugumu wa ajira...
jamani naombeni ushauri nina dada ambaye nilikuwa na uhusiano naye , mbaya zaidi ameanza kujitambulisha kwa wazazi wangu kuwa mimi nimeshamuoa na ananifuata hadi ofisini akisema amewambia wazazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.