Tambua kuachwa au kujiachisha

ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
13,944
2,000
Hay wanaMMU
Usiombe yakutokee akama yalivyonitokea rafiki yangu imefikia kuandika hapa ili wanaMMU wamsaidie huyu mtu, ni afadhali ujiaachishe kuliko kuachwa katika mataa, wala usiweze kujua namna gani ya kuvuka ng'ambo ingine,
Hawa ndugu zetu wanaume wana tabia za ajabu sana hawa utu hata kidogo, imenibidi au nimethubutu kusema hivi kutokanana tabia yao, wamezoea KUACHA sana akikuona leo unalipa na uko fit yeye atakuwa nawe daima na kukuimbia nyimbo nyingi za maneno ya ulaghai, kisha kesho akikuona umekondeana basi atakuacha solemba huku hujitambui akinadada wa jf kaeni chonjo na jamaa hawa hawana huruma na wema hata kidogo ni watu wepesi wa kuona sasa na sio wa kuona mbali. Isitoshe akikuzalisha ndo balaa tupu atasema ushapitwa na wakati wewe, niondokee hapa yaani wako against kwako. Wengine eti kisingizio umri jamani acha tu, rafiki yangu yamefika anaitaji msaada wenu kwani aelewi afanye nini kwa hawa watu. ila Mungu atamlipia nimemshauri sana imenibidi niwaombe ninyi wanaMMU mnisaidie nimwambie nini hivi KUACHA NA KUJIACHISHA kipi bora jamani?
 
Nicole

JF-Expert Member
Sep 7, 2012
4,274
0
Usipojua jinsi ya kuishi na hawa viumbe ndo watakuumiza kichwa,dnt take thm too serious....jipende jikubal jiamin enjoy life...
 
Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
53,135
2,000
Waongo wapo na wakweli wapo, hii ndio dunia...ila naona bado hujafunguka huyo mwenzako kapatwa na maswaibu gani haswa
 
prianka

JF-Expert Member
Aug 29, 2012
684
195
mmmmmmh pole sana mdada nasikitika sana kwa wewe kutofahau kua wanaume wamewafanya wanawake kama google kila swali analo taka kuuliza ana google anapata jibu so ndo kama style yao akikuchoka wewe anaenda kwa mwingine life inasonga cha msingi ni kuwajua tabia zao na jinsi ya kuishi nao
 
Zion Daughter

JF-Expert Member
Jul 9, 2009
8,931
1,225
Hay wanaMMU
Usiombe yakutokee akama yalivyonitokea rafiki yangu imefikia kuandika hapa ili wanaMMU wamsaidie huyu mtu, ni afadhali ujiaachishe kuliko kuachwa katika mataa, wala usiweze kujua namna gani ya kuvuka ng'ambo ingine,
Hawa ndugu zetu wanaume wana tabia za ajabu sana hawa utu hata kidogo, imenibidi au nimethubutu kusema hivi kutokanana tabia yao, wamezoea KUACHA sana akikuona leo unalipa na uko fit yeye atakuwa nawe daima na kukuimbia nyimbo nyingi za maneno ya ulaghai, kisha kesho akikuona umekondeana basi atakuacha solemba huku hujitambui akinadada wa jf kaeni chonjo na jamaa hawa hawana huruma na wema hata kidogo ni watu wepesi wa kuona sasa na sio wa kuona mbali. Isitoshe akikuzalisha ndo balaa tupu atasema ushapitwa na wakati wewe, niondokee hapa yaani wako against kwako. Wengine eti kisingizio umri jamani acha tu, rafiki yangu yamefika anaitaji msaada wenu kwani aelewi afanye nini kwa hawa watu. ila Mungu atamlipia nimemshauri sana imenibidi niwaombe ninyi wanaMMU mnisaidie nimwambie nini hivi KUACHA NA KUJIACHISHA kipi bora jamani?
Hujaeleza hasa unataka ushauri gani? Yashamkuta sasa anataka kujipanga au anataka kuacha ili asiachwe?
 
ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
13,944
2,000
Yaani katendwa ndugu yangu na isitoshe na mumewe kamchukua housegirl hapohapo home ndugu na yeye kuambiwa toka humu ndani kwani ushazeeka wewe unifai kabisa acha nile raha na kabinti, we huoni kuwa inaumiza hiyo ndugu yangu@watu8
 
ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
13,944
2,000
Asilimia 99.9% mko hivyo mtambuzi nyie watu hamna hata robo ya huruma mmejaa matatizo tu mwenzio amebandika na kubandua hapohapo home yaani kamchukua hausegirl inauma sana jamani? We acha tu mtambuzi
 
ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
13,944
2,000
Von mo yaani acha tu yeye kaachwa na kachukuliwa housegirl hapohapo yaani bandika tu mpendwa inaumiza sana
 
ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
13,944
2,000
Ni hivi ndugu yangu kisa mumeewe kamchukua housegirl hapohapo na kisha yeye kuambia aondoke maana ameshazeeka hamfai kabisa kwani amemumzalisha mtoto mmoja tu von inumiza sana
hujaeleza hasa kisa cha rafiki yako kufikia hatua hiyo.
 
destiny1

JF-Expert Member
Jun 18, 2012
249
0
si aendelee na maisha, mtoto mmoja kitu gani bwana, watu wana watoto sita na wanaanza maisha upyaaa! inauma sana lakini hapo hana jinsi kizuri keshajua.
 
Jiwe Linaloishi

JF-Expert Member
May 24, 2008
3,736
2,000
]Asilimia 99.9% [/B]mko hivyo mtambuzi nyie watu hamna hata robo ya huruma mmejaa matatizo tu mwenzio amebandika na kubandua hapohapo home yaani kamchukua hausegirl inauma sana jamani? We acha tu mtambuzi
mmhh hiyo figa iko juu sana angalau ungesema 30% wengine kama sisi akina Mtambuzi tuna roho za huruma sana basi tu huyo kakutana na walu walu... si unajua maisha ni safari ndefu mwanzo mwanzo lazima koroma ukutane nazo hazikwepeki hata sisi tulikutana nazo sana basi kila jambo lina mafundisho yake
 
Lisa

JF-Expert Member
Aug 13, 2009
1,551
1,195
Ni hivi ndugu yangu kisa mumeewe kamchukua housegirl hapohapo na kisha yeye kuambia aondoke maana ameshazeeka hamfai kabisa kwani amemumzalisha mtoto mmoja tu von inumiza sana
Sasa dada kama wewe mtoa ushauri umepanick kiasi hicho utaweza kumshauri mwenzio afanye nn? Come Down kwanza halafu mwambie huyo rafiki yako aende kwao kama anako, au kama wee unaweza kumhifadhi kwa muda mchukue ukaenaye, Then kama anafanya kazi au biashara mwambie ajipange atafute kwake na maisha yatamwendea vizuri asiwe na shaka.
"EVERTHING HAPPEN FOR REASON" na kila jambo linalokutokea katika maisha lina sababu hivyo anatakiwa amshukuru Mungu kwa sababu hajui anamletea nn na anamuondolea nn.

INGAWA INAUMA SANA , MPE POLE
 
MESTOD

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
4,788
1,500
Ni hivi ndugu yangu kisa mumeewe kamchukua housegirl hapohapo na kisha yeye kuambia aondoke maana ameshazeeka hamfai kabisa kwani amemumzalisha mtoto mmoja tu von inumiza sana
Safi sana. Mnajifanya kila kitu cha baba aandae housegirl. Sasa ngoja amuandalie na mwili wake.
Na ole wake kama alikuwa harsh kwake, ndo ataiona nyumba kwa nje kichaa kishakabidhiwa nyumba.
 
Top Bottom