Ndoa bila mtoto hainogi!!

Kigarama

JF-Expert Member
Apr 23, 2007
2,492
1,223
Matokeo ya uchunguzi wa DNA uliofanywa na TBS umethibitisha kwamba zaidi ya asilimia hamsini ya watoto waliopimwa DNA zao na TBS waligundulika kuwa si wa baba waliodhaniwa kuwa ndiyo baba zao. Tafsiri ni kwamba inawezekana ni kutokana na shinikizo la wanandoa kutaka kupata watoto linalowafanya wanawake watafute watoto kwa njia yoyote ile hata kama ni kwa kutoka nje ya ndoa zao.


Jee ndoa haiwezi kunoga bila ya kuwa na mtoto?
 

nyumba kubwa

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
10,312
8,344
Unataka kusema wanaume wote ambao wake zao wanazaa nje ni wagumba????

ni tabia tu unakuta watoto wako mix...wengine wa nje wengine wa ndani...wenye waume wagumba in most cases ni wavumilivu sana wengi si wazinzi.
 

chamlungu

JF-Expert Member
Oct 22, 2012
324
331
kwa ufahamu wangu TBS haifanyi vipimo vya DNA. Hiyo ni kazi ya Mkemia Mkuu wa Serikali ambayo siku hizi ni wakala
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom