Mama Mdogo
JF-Expert Member
- Nov 21, 2007
- 2,960
- 2,132
Msemo wa kwamba mwanamke na muhimu uwe na sura nzuri na uumbike kwa uwiano mengine yote juhudi yako umeenea sana katika maongezi ya kina mama. Hii hutokea wakati wakijadiliana wao kwa wao, wakimjadili mwanamke mwingine au wakibadilishana mawazo na wenzi wao. Mimi hapa nawaletea picha ya mmoja wa wanawake waliumbika kwa sura nzuri na kwa uwiano na kwa juhudi yake kajikwatua na kujiremba. Mwanamke akiamua anaweza, mwasemaje!!!
