Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Anayekutongoza, aahidi kuwa nawe siku zote? atoe mahitaji ya muhimu? Anayekutongoza, lazima akudanganye danganye hata maahali pasipotakiwa kudanga Anayepewa tunda...lazima aahidi kuwa na wewe na...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
ni msichana niliyekuwa naye kwenye uhusiano kwa muda mrefu bila tabu yoyote na yani tulikuwa kwenye furaha jana tu tukala na kucheka pamoja sasa eti leo kaamka tu asubuh anasema...
0 Reactions
69 Replies
6K Views
sijui wadada kama mnalijua hilo mnawaazima magari wapenzi wenu na kuwajazia mafuta kumbe wanaenda kula bata na mademu wengine.Kisu chako kinakuchinja mwenyewe
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Safari tumeanza wote, tumalize wote basi, sio wewe unawahi kufika unaniacha mwenzio njiani, jitahidi nisubiri tukaze mwendo wote tufike safari yetu pamoja, tufurahi pamoja halafu tujipongeze...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wkt mwingine unaweza ukawa unalalama bure tu kwamba huna bahati ya kudumu kwenye mahusiano au kupata mwanaume wa kukuoa kumbe tatizo liko kwako ww mwenyewe Utakuta demu mkali tu tena ni...
0 Reactions
53 Replies
7K Views
Habari wana jf
1 Reactions
49 Replies
4K Views
Mshinga, huyu jamaa ni miezi kadhaa hajapita humu jukwaani.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Baada ya maisha yaliyojaa purukushani,kasheshe na hekaheka ya uanaume hatimaye nimekituliza kwa mtoto wa kinyalu tunayetegemea kufunga nae ndoa hapo mapema mwakani nikiwa kama mwana MMU...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
mapenzi yana kauli mbiu ya uongo. Unakuta jamaa ana wapenzi kama wanne na wote kawapiga picha,kinachotokea msichana m1 akitaka kuja jamaa anaondoa picha zote za m2,m3 na m4 na kuzificha,wewe...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa mda mrefu nimesikia kuwa wanawake wa zanzibar ni wajuzi zaidi kwenye mapenzi kuliko wabara..... But binafsi sijawahi kuona wanachozidi...... I mean nimewahi kutoka na wanawake wa kizenji...
0 Reactions
70 Replies
20K Views
Kumekuwa na mazoea ya kuiga na pengine kujenga mazoea ya kuvaa viatu ambavyo pengine asili yake ni kwa matukio au maonyesho ya mavazi tu na kibiasahara, lakini watu hawako na tahadhari ya madhara...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Rafiki yangu anaomba ushauri. Ni msichana wa miaka 28 mzuri wa tabia, ana mvuto, wife material, mrembo, mchakarikaji wa maisha. Ana mchumba wake wa miaka miwili sasa. Mchumba huyo hamjali binti...
5 Reactions
177 Replies
16K Views
Kuna katabia sijui ndio digitali yenyewe,mke wa mtu(wenye ndoa kabisa) akijua mwenzake: 1.Amesafiri kikazi let say siku 5-Katika siku hizo tano lazima agegedwe nje sio chini ya mara...
2 Reactions
71 Replies
5K Views
Au dawa ya aina yoyote ya kuongeza nguvu za kiume au kuchelewa kufika kileleni? Kuna spray inapulizwa kwenye kichwa ambayo inasababisha kuchelewa kufika kileleni nimewahi tumia na inasaidia...
0 Reactions
63 Replies
15K Views
Salamu kwenu wana jf, Embu nisaidieni wadau, hivi unakuta msichana hajawahi kusex ila kwa udhaifu wa kimwili anajitia vidole ukeni. Sasa kapata mchumba akamwelezea ukweli kwamba hajawahi kusex...
0 Reactions
21 Replies
41K Views
Ndugu wadau naona kuna mada nyingi sana za watu kupeana tips za kutongoza, kumu impress mtu na eventually tips za date nk mada hii inajikita baada ya kuwa mmefanya date kadhaa mbili tatu ivi au...
0 Reactions
85 Replies
15K Views
Nimekaa zangu kwa ofisi, mara kaja office mate wangu, kama kawaida, baada ya kazi kunoga tunapiga story mbili tatu kuhusu maisha. Nikatoka zangu kwenda ATM mashine kuangalia kama salio limesoma...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Yaani MATATIZO YANGU Ya Mahusiano ni sawa tu na Diamond. Kwasababu mpaka sasa sijui hataa NIMPENDE NANI coz hapa nilipo usinione hivi kwani mwenzako NALIA NA MENGI yaani nimevurugwa hadi NATAKA...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
  • Closed
imenichukua muda kidogo kujifunza tabia hii mbaya ya wachaga,hapa naongelea wachaga wa maeneo yote. 1.wanawachukua ndugu zao wa damu na kuwafanya kuwa mahouse girl ama mahouse boy kwa kisingizio...
0 Reactions
53 Replies
4K Views
Mimi ni kijana wa miaka 29 ninaishi na mke wangu ana umri wa miaka 24, tumefanikiwa kupata mtoto mmja wa kiume. shida kubwa nilionayo au tatizo linalojitokeza ni kwamba mke wangu hafurahii tendo...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Back
Top Bottom