Wazanzibari wanajua mapenzi kuzidi wa bara?????????? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wazanzibari wanajua mapenzi kuzidi wa bara??????????

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by The Boss, Aug 6, 2010.

 1. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #1
  Aug 6, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Kwa mda mrefu nimesikia kuwa wanawake wa zanzibar

  ni wajuzi zaidi kwenye mapenzi kuliko wabara.....

  But binafsi sijawahi kuona wanachozidi......

  I mean nimewahi kutoka na wanawake wa kizenji na bara

  sanasana naweza sema wanawake wa zenji ni kama wa tanga hivi
  zaidi wanakuwa na mahaba zaidi.....walo more romantic but still

  unaweza kukuta wa bara akakudatisha kuliko wa zenji.....


  But hivi karibuni nilikuta wanawake fulani hivi wakisema
  kuwa wanaume wa zanzibar wako juu au wanajua zaidi mapenzi kuliko

  wa bara.

  Sasa kidogo nikawa najiuliza is it true?????kivipi??????

  But ukiwa zenji cha zaidi utakuta wanaume wengi wakienda sokoni
  au kufanya kazi ambazo huku bara watu huwaachia zaidi wake zao...

  Nikawa najiuliza inawezekana vitu kama hivyo ndio sababu....

  Sasa ningependa wana jf kama mmewahi sikia hili la wanawake au wanaume wa zenji
  kusifiwa kwa mapenzi.....

  Nini unafikiri ndo sababu???????kuna ukweli wowote?????????
   
 2. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Utamu wa pipi ni mate yako mwenyewe!
  Utapewa mapenzi na mahaba kufuatana na wewe unavyorespond.... ukishikwa shikamana..ukipendwa pendeka na upende vilevile.
  Usisubiri miujiza ya kizenj, kitanga, wala kizaramo au kimakonde!
   
 3. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #3
  Aug 6, 2010
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  we hujafika Chumbageni kabisa inaonyesha!!..ha ha ha
  Raha ya mapenzi inaendana na ushirikiano, usisikilizie tu ilhali we umetulia ka ukuta!!
   
 4. Yegomasika

  Yegomasika JF-Expert Member

  #4
  Aug 7, 2010
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 7,125
  Likes Received: 23,734
  Trophy Points: 280
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Aug 7, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  but why wengine husema hivyo??????

  i mean yawezekana wote hawajui wachokizungumza??????
   
 6. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #6
  Aug 7, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Wale si mabikra hadi wanaolewa? Hujawajulia tu ndo maana hujajua
   
 7. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #7
  Aug 7, 2010
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Ha haha bikira mpaka waolewe dah...so mapenzi wanayajua?
   
 8. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #8
  Aug 7, 2010
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Inategemeana na mtu alivyo mzoefu katika suala zima la kula chakula cha usiku,kadri mtu anavyofanya ndivyo uzoefu unazidi kupatikana,so kama unakutana na mtu ni mtaalamu wa mambo hayo ujue kapita kwingi au kapitiwa na wengi ndio maana anadatisha.
   
 9. Absolute

  Absolute JF-Expert Member

  #9
  Aug 7, 2010
  Joined: Jan 19, 2007
  Messages: 335
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hakuna ki2 kama hicho...
  Sorry but am very transparent... ni wavivu sana ila maneno ndo mingi
   
 10. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #10
  Aug 7, 2010
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,811
  Likes Received: 1,146
  Trophy Points: 280
  he he heee,we mama wee!
   
 11. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #11
  Aug 7, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  wazanzibar si ndio wanaongelea poani like they are very soft? BIG NO for me i dont find them turn-on at all.... samahani kama nimekwaza mtu.....
   
 12. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #12
  Aug 7, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
 13. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #13
  Aug 7, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  thats ur best line NN?
   
 14. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #14
  Aug 7, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  No...'I'll tear that ass up' is my best line....
   
 15. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #15
  Aug 7, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
 16. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #16
  Aug 7, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  oww hohoooooooo r u for real? s: NN ur behaviour is monstrous! I need to talk to your mama. ...
   
 17. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #17
  Aug 7, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  For real Noname (notice how both our names have NN? NoName/ Nyani Ngabu - that's destiny baby)...so real talk NN..you need to let me hit that pristine vajayjay of yours....you won't regret it....
   
 18. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #18
  Aug 7, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  mpaka twende chagulaga kwanza....
   
 19. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #19
  Aug 7, 2010
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  nhu huku nako wapi NN na NN nini tena kuna ni?
   
 20. M

  Mwanafunzi Member

  #20
  Aug 7, 2010
  Joined: Dec 5, 2007
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  as far as I am concerned kila mtu anajua mapenzi mazito. kitu muhimu ni "chemistry" ikiwepo ufundi utajitokeza wala huhitaji kufundishwa na mtu. na raha nayo utaiona hata pale ambapo mtu mwingine haelewi kwa nini unaona raha. kemia ikiwepo, basi hata ukimwona huyo umpendae mwili wote unakuwa tayari kwa mapenzi. Lakini kama hakuna kemia hata mtu atoe nguo waweza kuona kichefu chefu badala ya nyege...
  Kwa kifupi hakuna cha wabara, wala wazenji, wazungu wala weusi wenye kujua mapenzi kuliko wenzao......
  That's just me.
   
Loading...