Any guy here ever used Viagra? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Any guy here ever used Viagra?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Boflo, Sep 20, 2012.

 1. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #1
  Sep 20, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Au dawa ya aina yoyote ya kuongeza nguvu za kiume au kuchelewa kufika kileleni?

  Kuna spray inapulizwa kwenye kichwa ambayo inasababisha kuchelewa kufika kileleni nimewahi tumia na inasaidia

  sana.....Je ww umetumia nini na umefaidikaje?? Tuelimishane

  1.png
   
 2. The dirt paka

  The dirt paka JF-Expert Member

  #2
  Sep 20, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  wangoje waheshimiwa wataleta documents, mi sina uzoefu wowote.
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Sep 20, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  I have used cialis..
   
 4. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #4
  Sep 20, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  toa feedback bac bwan shem
   
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  Sep 20, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Heheheeee muulize Jazzie....
   
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  Sep 20, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,872
  Likes Received: 6,222
  Trophy Points: 280
  kwa nini uchelewe kufika? Au ndo wale akidumbukiza tu kamwaga?
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Sep 20, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Bongo sasa hv zipo nyingi tu, almost kila duka la dawa muhimu na zinauzwa openly.
  Mimi dukani kwangu nililazimika kuziweka baada ya wauliziaji kunisumbua kwa muda mrefu.
  Ukienda pharmacy uliza ERECTO, au VEGA, kuna 50Mg na 100mg unajihukumu mwenyewe kutokana na pafomensi yako!
   
 8. N

  Nsuri JF-Expert Member

  #8
  Sep 20, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 996
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 60
  Mhh watu wazoefu!!!!! c mfanye mazoezi??mtasaidiwa na dawa mpaka lini???
   
 9. Mc Tilly Chizenga

  Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member

  #9
  Sep 20, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 3,694
  Likes Received: 805
  Trophy Points: 280
  mmmmhhhhhhhhh!
   
 10. Blaine

  Blaine JF-Expert Member

  #10
  Sep 20, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 2,285
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  wadada wengine bwana!! usipowafikisha wanalalama 'bwana wangu goigoi', ukiwafikisha wanalalama 'bwana wangu anatumia dawa'. it's a lose-lose situation
   
 11. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #11
  Sep 20, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Kuna wengine akiona mlango wa gesti tu, kaeshachafuka

   
 12. M

  Madoido Senior Member

  #12
  Sep 20, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh,,,,ukipulizia na demu asipokuja?
   
 13. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #13
  Sep 20, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Ila ukinywa underdose, ni aibu
  Inakataa kufanya kazi wiki 2 mfululizo
  Bora tu hizi za kutegemeshea nkamam maji ya kichem chem

   
 14. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #14
  Sep 20, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Wee unasema tu

  Singekuwa nguvu za kubeba vyuma, tungebeba hata nyumba

  Lakini hizi za kitu kunyanyuka chenyewe si mchezo
  Wee shukuru kama uko vizuri, yaani kuna wakati wife kidogo aniache kabisa

   
 15. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #15
  Sep 20, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Wee naona uanichaji kama solar
  Kwa kuanika juani

   
 16. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #16
  Sep 20, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hiyo inapatikana bongo komredi?
   
 17. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #17
  Sep 20, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Are you into ladies siku hizi??

   
 18. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #18
  Sep 20, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  afu shem....unauliziwa huku......
   
 19. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #19
  Sep 20, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Mambo? Naona umekua gold member (pun intended)
   
 20. Mc Tilly Chizenga

  Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member

  #20
  Sep 20, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 3,694
  Likes Received: 805
  Trophy Points: 280

  sio siri...nimerithi toka kwa babu!sihitaji any booster zaidi ya akili yangu mwenyewe kuniongoza leo game kali au moderate
   
Loading...