kiukweli ninakwazika na mpenzi wangu pindi tupo katika kufanya mapenzi , after 2 minutes tu huanza kurusha majimaji .. nakufanya ladha ya mapenzi kuwa ovyo, sometimes i feel to apart her kwa...
mimi ni kijana mwenye umri 20 years nilikua na kamanzi kamoja kimahusiano
lakini siku ya siku kalibadilika na kunifanyi madharau c ndo tukatibuana kumbe kalikua
kamepata new boyfriend muda kama...
Kwa mwanaume mwenye hekima na busara lazima apigane hadi tone la mwisho ili
kuifanya ndoa isivunjike. Sio kwamba ni kichekesho ila ni simulizi ya kweli aliyokumbana
nayo rafiki yangu wa karibu...
Jirani yangu alikutwa na mauti akiwa na mke wa mwenzie. Japo na yeye ni mume wa mtu. Wote ni majirani. Source ni mimi mwenyewe .................... Msitumie dawa za kuongeza nguvu siyo nzuri.
Ukiachilia mbali kilio cha siku nyingi cha huduma mbovu za afya hapa nchini kuna changamoto kubwa ya rushwa iliyokithiri katika hospitali zetu hapa nchini... na sasa imefika hatua mbaya sana ...
Wahenga wanasema wanawake ni wajinga, lakini wanaume ni wapumbavu, mjinga anaelimika -------- hubaki na upumbavu wake
Wanawake wana nguvu na kwakweli ndio wanaendesha dunia, tunaambia kila...
Nini cha kufanya pindi unapogundua mke anatoka nje ya ndoa na pia unapobaini kwamba kumbe ni tendo la siku nyingi na pia amekuwa na mahusiano na zaidi ya mwanaume mmoja
wadau! mimi kwa kweli sipendi wala sipendezwi na hii tabia ya wazazi wetu kuwatukana matusi ya nguoni watoto!
yani utakuta mama mtu mzima kabisa na kanga yake kiunoni, anamporomoshea matusi...
from my friend's blod
lols i have to share with u mmu fans
%HII KWA VIJANA WOTE WAKIKE
NA WAKIUME%
*Una Miaka 25 badoo upo tuu
home una kaa
kaa tuu kutwa nzima wewe ni ku
chat tuu...
"" Wife : How much do you love me ?
Husband : I love U so much, I can't measure.
Wife : No just tell me....
Husband : Okay, I am like a cell phone & you are my sim card, i am...
Wakuu unapogundua kuwa mkeo kanunua kiwanja na kajenga nyumba kisiri siri bila kukushirikisha wala kukwambia, Ipi ni hatua sahihi ya kumchukulia kwa hili.
USHAURI please coz yamenikuta
Wana jf habari,
nimeoa mke mwenzi wa tano mwaka huu na toka tuoane mara nyingi tumekuwa na migogoro inayosababishwa na yeye kutaka kunikaa kichwani nami nakubali ili kumaliza gugu,
wiki...
Habari wa ndugu,
Kuna watu wengi , wake kwa wauume wana tabia ya kupeleka matatizo yao ya kimahusiano(mapenzi au ndoa) kwenye mitandao ya kijamii ili kuomba ushauri. Wanapoongea wanajaribu...
Kama siyo ujumbe wa email kutoka JF walah leo ingepita bila kutambua kwamba nilizaliwa tarehe kama ya leo
Niashukuru wana JF wote kwa namna tunavyodumisha udugu, urafiki na ujamaa baina yetu...
ajua hautamani kusikia lolote kutoka kwangu kwa kuwa sina thamani tena kwako, thamani niliyokuwanayo kabla hujanipatia ujauzito mara mbili zote ukanisihi nitoe. Kwa sababu ninakupenda nilifanya...
ndani ya daladala ama bus.
1.mtoto akiwa nadhifu atamvutia kila mtu,atabebwa,utaachiwa kiti,atanunuliwa kila kitu kama safari ni ndefu.
2.mtoto akiwa si nadhifu,ataonekana kero,hautaachiwa kiti...
Jaman kuna siku niliona uzi wa mkaka mmoja ivi aliahidi ataweka picha zake hapa watu wamtambue. Aliziweka. ...mara yupo gym...mara anatoka out...
Ni shombe shombe ivi...na anasix packs...
Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.