Japo kimekuwa ni chanzo cha mapato kwa madaktari na baadhi ya hospitali hapa nchini lakini hiki kitu ni kibaya na cha kikatili mno, kutoa uhai kwa asiyeweza kujitetea tena asiye na hatia...
Tanzanian nahitaji mam aliyeteyari kunibeba nikabebeka na naaidi kukutunzia na kuheshimu penzi lake kwangu na nipoteyar kushirik mambo yako big mamy nitakufikisha pale nafsi yako aitopenda kuona...
Habari zenu...
Nasema hivi Amani itakuwepo tena kubwa sana + upendo, mkiwaruhusu waume zenu at least kuwa na mke mwengine, yaani muwe wawili... Heshima itakuwepo (mwanaume atakuheshimu sana)...
Nimetokea kumpenda binti mmoja mrembo sana. Tatizo lake anapenda sana kunipiga pini (kuniomba pesa) kiasi kwamba ninapopanga kukutana nae analazimisha nimpelekee heala au kitu na kama sikupeleka...
mimi na mume wangu tumeishi kwenye ndoa kwa miaka miwili sasa,tatizo ni kwamba tunapokua 6*6 anawah kupiz,baada ya goli moja anakua hoi hawezi kuendelea tena(goli la1 ni ndani ya dk3),na akimaliza...
Habari zenu wana-MMU,.
Jamani leo nipo upande wa wanaume wenzangu,..
Kuna katabia ambacho nimekaona kwa baadhi ya vijana/wanaume,.
Unamkuta jamaa kavaa nguo za ndani zaidi ya moja, yaani...
Wadada wabaya ndio wanaoongoza kwa kauli mbaya.
Mara nyingi nikienda maofisini kutafuta huduma mbalimbali napokelewa na akina dada. Sasa katika "observation yangu for years". Nimekuja kugundua...
Kuna aina kuu 2 za nyumba ndogo
1. Type I; Ambayo mwanaume akiwa nayo humnyanyasa mkewe, huchelewa kurudi home bila maelezo, humpiga mkewe endapo akimuuliza au kumfumania, hatoi matumiz ya...
Habari zenu wana jukwaa,
Nina tatizo moja linanisibu. Nimetokea kufahamiana na dada mmoja hapa jijini Dar. Nilimfahamu nilipokwenda kupata mahitaji yangu kwenye stationary ambayo pia ina huduma ya...
Nilikuwa nawaza hivi ningekuwa single roho yangu isingekuwa inamuwaza nimpendae,ningekuwa single nisingewaza yupo na nani maana nisingemjua,ningekuwa single nisingeumia kutokumjulia hali kila...
Poleni na mihangaiko ya kimaisha. Kuna kitu nimekuwa najiuliza na sipati jibu. Najua linapokuja swala la kufanya mapenzi kila mtu ana taste yake na kuna vitu anapenda. Baadhi ya tabia za kimapenzi...
Haiyaaa haiyaaaaa........wale wazee wa kula bata......mabilionea wa Chugga.........kama ilivyo kawaida yetu.......December ndio hiyo......
Sasa basi.........mwaka huu upepo unaelekea kanda ya...
Habari wana mmu mimi mtz mwenye miaka 34, napenda kutoa fursa kwa akina dada kuja kunitoa silidi. Mm nililelewa kimaadilri na nilichelewa sana kusoma shule, nimeenda nje na hadi sasa nina masters...
leo nilimpa lift mzee mmoja ninaye mheshimu,ktk story za hapa na pale bas akambia ukitaka kujua wapenzi walishibana na kupendana sana inakuwa mmoja akijamba lazima na mwenzake ajambe muda huo2...
Polen wadau!Nisiwe muongeaji sana ngoja nilete mada mezani,mwenzenu toka nimeyajua mapenzi nimeshiriki na wasichana wawili tu!Huyu niliyenae ni watatu kiukweli nimekua na tabia ya kukaa na demu...
Ilikuwa ni takribani miezi sita nimeamia maeneo ya mbezi beach ambapo nilikuwa nikiishi kipindi cha miaka ya nyumba. Katika eneo ambalo nilikuwa nikiishi kulikuwa na binti moja hataree. Nilifanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.