Ilkua mwaka 2003 wakati nakaa kigogo mwisho nilipofaulu nikapangwa BMW sasa kuna jamaa yangu alikua kwa sasa yuko kwa malkia kaka yake alikua amemwachia nyumba mburahati yeye alikua anarisiti huku...
Mamboz jf pipo
am really curious,mwanaume unapenda unifatilie had unipate ndo inakupa uhakika wa mapenzi yetu?au pia nikiona nmekuonyesha dalili bt hata hustuki nikiku'approach utalichukuliaje...
What your Mother Couldn't Tell you and Your Father Didn't Know (Audio BooK)
How to Blow her Mind in Bed
Female Ejaculation
10,000/=
bookslibrary107@gmail.com
au Njoo PM
Habari wana JF, Shikamoni wana MMU (maana mna makubwa)..
Jamani kuna haka ka usemi hapo juu naona kadri ulimwenu unavyobadilika haka
ka usemi kana ukweli.
!!Women demand a lot o things from one...
Ndugu wana JF,
Nahitaji mwanamke wa KUOA, awe na angalau sifa zifuatazo:-
Dini: Muslim mwenye kujitambua na kumjua Mola wake kwa vitendo.
Elimu: Aliyehitimu kidato cha nne na kuendelea...
Well FL1 amenifanya nijiulize tunahitaji nini hasa kutoka kwa wapenzi/wake zetu? NImepata majibu yafuatayo:
a. Make us feel we have the biggest equipment in the whole known Universe, especially...
Kama nilivyo elezea kwenye kichwa cha habari hapo juu,
siku hizi watu wengi wamekuwa na mtindo wa kuajiri wasichana wa kazi (mahouse girl) ili kusaidia kazi za nyumbani.
Ndio hatukatai pengine...
Halafu Karucee alivyo na tabia mbaya eti akaanza kumchomolea Kaizer vijisenti vyake alivyobakiza kwenye mfuko wa nyuma.
Ila Kaizer naona wakati anachomolewa mfuko wake wa nyuma na Karucee...
Mwenzenu Nimeoa nina Mke ila hatujabahatika kupata mtoto hata mmoja. Ndoa yetu ilikuwa nzuri sana hadi niliporudi Jana jioni. Kawaida Ijumaa nawahi kurudi.
Nimefika nikamkuta wife kaandaa Menu...
Ukweli ndio huo! kila shetani na mbuyu wake aisee, kuna watu utagusa kona zote lakini hafiki kileleni ila ukweli kuna mjinga fulani humfikisha kirahisi sana ambaye akipewa wa kwako naye anaweza...
habari zenu wanajamii, katika mambo yanayoniumiza ni hili suala la kumpata mwanamke wa kuwa nae partna wa kimaisha, kila naemwona anafaa nakuta tyari ana boyfriend. Nfanyeje npate anaenifaa au ndo...
ANAPENDA UVAE KILE ANACHOTAKA YEYE!
UKINUNUA KITU CHAKO EITHER NGUO AU HATA BRAS LETS ATATAKA AIONE KWANZA KABLA YAKUIVAA,NA AKIKUTA UMEVAA CHOCHOTE BILA YEYE KUONA ANAKUGOMBEZA
NA UKIVAA...
Hi wana Jf
Natafuta mchumba mwaminifu ili aje kuwa Mke wngu. Aliyetayari ani PM.
Umri wangu ni 37, urefu sm 150, elimu yangu ni ya kawaida lkn nitafurahi sana atakayekuwa tayari bc angalau awe na...
Wakuu nipeni pole maana kijana anayenifuata nimeambiwa na mkewe kwamba jana kamlawiti mwanae wa kiume wa kumzaa!!!!! Mbaya zaidi ni first born wake!!! nimechanganyikiwa; where to start???? Please...
HII NI HADITHI YA KUFIKIRIKA TU
Kuna ubishani, kwamba ikitokea...
Mwanaume unapewa billion 2;yaani million 2000 taslimu, nyumba kubwa masaki, na gari kali ya kutembelea, kwa sharti moja tu...
A policewoman committed suicide after writing a text to a male colleague thanking him for a 'wonderful' date - but accidentally sent it to her husband, an inquest heard.
PC Gail Crocker, 46...
Nimekuwa nikishangaa baadh ya wachungaji kuomba mabinti mabikira waje mbele awaombee.
wasiwasi wangu nikuwa kama binti ameenda na wazazi wake kusali na hajatoka mbele. je wazazi si wanaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.